Hivi ni kweli huyo mchumba, mume au mke ulonaye sasa hivi mlikutana humu JF?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,388
11,737
Maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa haraka sana, mara mume alie serious anahitajika au natafuta mchumba au fulani kwa kutajwa jina kabisa anamkosesha mtu usingizi.

Achilia mbali mitandao mingine...

Sasa,

Je, ulonae ulikutana nae humu ili kuwatia moyo wengine wasikate tamaa kwamba kupata mchumba, mume au mke jf inawezekana kabisa 🐒
 
Niliwahi pata mchumba humu miaka kama 7 hivi imepita tulidumu nae kwa relationship kama1 year nilikuwa serious nataka kumuoa ila alikuja kuniletea uswahili mwingi sana nakusalim popote pale ulipo nimekumic sana i wish to see you my lovely ex mana hata ID yake mpaka leo sijawahi kuiona tena ipo siku nitakuandia uzi wako special

Ulikuwa last year UDOM home kwenu mbeya nami nilikuwa naishi mbeya
 
aloooo
 
Yupo sema kabadili
 
Ooh,
inaonekana ulimkubali sana japo labda hukukubalika sana kwake na halafu wala hilo halikua shida kwako.

and that is how the real gentleman should be 🐒
 
Niliwahi pata mchumba humu miaka kama 7 hivi imepita tulidumu nae kwa relationship kama1 year nilikuwa serious nataka kumuoa ila alikuja kuniletea uswahili mwingi sana nakusalim popote pale ulipo nimekumic sana i wish to see you my lovely ex mana hata ID yake mpaka leo sijawahi kuiona tena ipo siku nitakuandia uzi wako special

Ulikuwa last year UDOM home kwenu mbeya nami nilikuwa naishi mbeya
Huyo ni Makiwendo alibadili id.
 
Back
Top Bottom