Hivi ni kweli huyo mchumba, mume au mke ulonaye sasa hivi mlikutana humu JF?

mi mamsapu wangu nimempata huko kunako Instagram, na kilichotukutanisha mambo ya mipira. wote tunapenda Yanga hatari.

kwa humu JF walichonifanyia wanawake wa humu sina hamu nao na sitaki tena mwanamke humu, mtanisamehe kwa hili dada zangu.

niliyemwonea huruma alitaka kunidhuru na nillyemwona ana akili akaniona mimi zezeta.

SITAKI TENA MWANAMKE HUMU NDANI, MAMSAPU WANGU ANATOSHA.
 
Niliwahi pata mchumba humu miaka kama 7 hivi imepita tulidumu nae kwa relationship kama1 year nilikuwa serious nataka kumuoa ila alikuja kuniletea uswahili mwingi sana nakusalim popote pale ulipo nimekumic sana i wish to see you my lovely ex mana hata ID yake mpaka leo sijawahi kuiona tena ipo siku nitakuandia uzi wako special

Ulikuwa last year UDOM home kwenu mbeya nami nilikuwa naishi mbeya
Kama ulisuuza rungu sio mbaya mkuu
 
Back
Top Bottom