Kupitia MMU & JF, Je ni wangapi? wamepata wapenzi wa kweli mpaka kufikia kuwa mke au mume

gwahe

Senior Member
Nov 24, 2014
147
84
Wanajukwaa na wapenzi wa MMU na JamiiForums kwa ujumla. Utafiti uliofanywa kupitia mitandao ya kijamii kama tinder, OkCupid, twoo, badoo na n.k,Takwimu zimeeleza kuwa 19% watumiaji wamefanikiwa kupata marafiki wa kweli mpaka kufikia kuwa mke au mume. Tafiti pia inaeleza kuwa BLIND DATE ikitumiwa vizuri na watumiaji kuacha kusema uongo, ndiyo itakuwa njia bora katika karne ya 21.

Swali langu, Je JF na wana MMU. Kuna record yeyote ya wana jukwaa wamebahatika kupata wenza wao kupitia jukwaa hili?
 
Wako waliokutana hapa na kufunga pingu za maisha, bahati mbaya utakuta mmoja yuko tayari kujianika hadharani na kusema walikutana hapa na kuanza penzi hadi kuoana na mwingine hataki kabisa kujitangaza kama mumewe/mkewe alikutana naye JF.

 
Last edited by a moderator:
mlio pata wke na waume zenu humu njooni huku kuna jambo linawahusu eti
 
Back
Top Bottom