Hivi ni kweli huyo mchumba, mume au mke ulonaye sasa hivi mlikutana humu JF?

hongereni sana aise, inatia moyo sana kwa wapambanaji kutokukata tamaa, kumbe inawezekana 🐒

ni muhimu kung'ang'ana apo apo kwa uangalifu, ili kuepuka kutishia afya na uhai wa mahusianao yenu 🐒
Wenye mwanzo humu tupo wengi tuna mtoa mada sema Ndoivo wengine hawapendi mbambambaa kwa usalama wa afya za mahusiano yao
 
Back
Top Bottom