Nilichogundua, waimbaji wengi wa injili wa sasa hawana Yesu, ni biashara zaidi

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
10,419
35,968
Baada ya sekeseke la waimbaji wengi wa Injili hususani wa kike kuharibu ndoa zao, watu wengi wamehoji nini chanzo cha hayo yote.

Ukweli ambao hausemwi na labda haujulikani ni kuwa, wengi wa waimbaji wa injili hawana maisha ya Yesu ndani yao, wapo waliowahi kuwa na Yesu hapo kabla lakini walipopata umaarufu kiburi kikainuka na wakamwacha Yesu, lakini wapo wengine tangu mwanzo wa uimbaji wao hawakuwa na Yesu kabisa katika maisha yao.

Wote hao ni kuwa, waliona kuimba injili ni njia rahisi au bora zaidi ya kujiingizia kipato na wala sio msingi wa kutaka kueneza injili.
 
Baada ya sekeseke la waimbaji wengi wa Injili hususani wa kike kuharibu ndoa zao, watu wengi wamehoji nini chanzo cha hayo yote.

Ukweli ambao hausemwi na labda haujulikani ni kuwa, wengi wa waimbaji wa injili hawana maisha ya Yesu ndani yao, wapo waliowahi kuwa na Yesu hapo kabla lakini walipopata umaarufu kiburi kikainuka na wakamwacha Yesu, lakini wapo wengine tangu mwanzo wa uimbaji wao hawakuwa na Yesu kabisa katika maisha yao. Wote hao ni kuwa, waliona kuimba injili ni njia rahisi au bora zaidi ya kujiingizia kipato na wala sio msingi wa kutaka kueneza injili.
Exactly
 
Wahuni wale wanajificha chini ya koti la injili
 
Wengi ni ufuska na pesa
 
Back
Top Bottom