Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?

Oa unaemuona anafaa, sikuhizi makabila sio kigezo sana jamii zimechanganyika, utandawazi, malezi ya asili ya kiafrika yamepungua, n.k.

Ila kama ni kwa kigezo cha kabila ambacho hakina uzito kwa sasa jaribu Wahehe na wabena waweza bahatika ila hakuna guarantee, kila kabila kuna malaya, wezi, wachawi, n.k. japo wanatofautiana idadi na kiwango
 
Kuoa inategemeana na mambo mengi.kuna makabila yana tabia fulani fulani.
Mfano,
1.Waha,wahehe,waruguru,Wamasai,Wanyakusya & Wasukuma wanawake wao wengi ni wachafu
2.Singida,Manyara,Dodoma &Tanga-Wanawake wengi ni wamalaya
3.Wachaga,wapare& wameru-Wanawake wengi ni Makatili na majeuri
4.Geita,Shinyanga,Simiy,Tabora-Wanawake wengi ni washirikina
5.Lindi,Mtwara,Pwani -Wanawake wengi wavivu

Chagua kaburi lako upendavyo,na ukumbuke 80% ya vifo vya Wanaume vinatokana na Wanawake.
 
Wabena hawapendi ndugu upande was Mume!!

Proved!
wabena na wahehe wengi (sio wote) hawana noma na ndugu. ni moja ya sifa waliyojizolea hadi kusifika kuwa kabila linalotoa wife material japo bado nakazia sio wote.

Kaka yangu kaoa mbena, sijaona shida kwetu ndugu wa mme wake.

Ila siwezi kushangaa maana kila kabila lazima ukute kila tabia ila kinachotofautisha ni idadi na kiwango, Kuna wakimya kwenye makabila yanayosifika kuongea, kuna warefu kwenye makabila yenye wafupi wengi, n.k.
 
Back
Top Bottom