MUASISI WA TANU TANGA: HAMISI HERI AYEMBA
Tanga iliibuka mwaka 1955 na kukabiliana na serikali ya kikoloni kupitia juhudi binafsi za kikundi cha wafanyabiashara wadogo wadogo katika soko la Ngamiani.
Kikundi hiki kiliongozwa na kijana Peter Mhando, katibu wa zamani wa kile kikundi cha...
Hii...kwakweli ni AIBU Sana na tuna create taifa masikini na OMBA OMBA pale ambapo katika Population ya watu milioni 61 wanaolipa kodi ni ni milioni 3 tu.
Unajua hadi inatia woga hata kule kufikiri tu, kuwa huo ndio ukweli...
Ndio maana Taifa letu tuna shida kubwa sana hilo eneo ili hali...
"Kuna clip moja mimi nimeipata, Rais Samia alipokuwa madarakani Lissu alisema Rais Samia amebadilisha upepo wa siasa, nilikuwa na kesi 6 za hovyo hovyo zimefutwa na mama anafanya kazi nzuri. Sasa leo anasema mambo yote hayajafanyika, leo anahoji nani alimwalikwa kwenye baraza la wanawake la...
Nimesikitishwa sana na kitendo cha mwanariadha Mtanzania Gabriel Geay kutomaliza mbio za Boston Marathon na kuachia katikati mara baada ya kuvuka 21km.
Huu ni ukosefu wa uzalendo na kukata tamaa. Hii sio mara ya kwanza kwa kijana wetu kufanya hiki kitendo cha hovyo. Mbio sio kuanza ni kumaliza...
Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo.
Yapi maoni yako?
Wana JF
Niko hapa Kinondoni Makaburi, kuwaletea pumziko la milele la mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe.
https://www.youtube.com/live/PA4ndBZNpIE?si=EeOI7LGNCd2OU0J2
Tangu nimejiunga JF ile 2006, hii ndio mara yangu kwanza kuja kumzika mwana jf makaburi ya Kinondoni. Kwa jinsi makaburi ya...
Natoa ushauri kwa ACT Mzalendo. Kwa mawazo yangu chama chenu kina nguvu kuliko nyie mnavyo jichukulia. Tatizo lenu ni kukubali kidogo bila kujua mkikomaa vizuri mnaweza kupata zaidi na nitawapa mifano.
Kila mtu anajua ACT mlishinda Zanzibar sasa ni kwanini mlikubali kuwa na mawaziri wachache...
Wakuu habari za jioni.
Ni mimi kijana mzalendo wa taifa langu, pia mwanafunzi hapa mlimani , ndugu Wana jf nahitaji kuonana na MH: Daktari Samia Suluhu Hassan nipo na project proposal ya muhimu Sana ambayo itakwenda kuliokoa taifa hili na watu wote kwa ujumla.
Najua wengi mtanidhihaki Lakini...
1.Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.
2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.
4. Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa.
5. Cheo ni dhamana. Sitakitumia cheo changu wala cha mtu mwingine...
Msaliti hana maisha marefu kwenye siasa. Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo waliandaa njama yakuivuruga CHADEMA , wakakamatwa na kufukuzwa. Akaenda kuanzisha chama chake kwa lengo lakuisambaratisha chadema . Amepambana awezavyo ameshindwa imemlazimu aamue kung'atuka chama kisife mikononi mwake...
UCHAMBUZI WA KIJANA MZALENDO NKINDIKWA DAVIDKUHUSU TATHMINI YA ZIARA YA KATIBU WA ITIKADI NAUENEZI WA CCM TAIFA, NDG. PAUL CHRISTIANMAKONDA ALIYOIFANYA KATIKA MIKOA YA KANDA YAZIWA MWEZI NOVEMBA 2023.
1. UTANGULIZI
Ndugu waandishi wa habari leo jumatatu tarehe 20/11/2023 nimewaitaili...
Salaam, Shalom!!
Tuliiona Kasi ya Kassim Majaliwa kiutendaji chini ya Hayati Magufuli, lakini baada ya kufariki Kwa Magu na Kuingia kiongozi mwingine, alijaribu kuendeleza Kasi hiyo lakini ghafula akaanza kuwa mpole, Amepitia misukosuko kadhaa akishutumiwa Kwa tuhuma zisizo na UKWELI wowote...
"Tuna kiwanda cha Esther Bioscience Africa kinazalisha chanjo lakini chanjo nyingi tunaagiza nje ya nchi, tuna viwanda vya viuatilifu lakini bado viuatilifu tunaagiza nje ya nchi. Tukisema tunalinda viwanda kwa hapa tunavilindaje?" Luhaga Mpina, Mbunge wa jimbo la Kisesa
Uwekezano wa kuingizwa mjini na Samia ni mkubwa sana. Tunahitaji tumpate Rais wazalendo 2025 akauchunguze huu mkataba wa Bandari.
CCM Hawaaminiki na hawajawahi kuaminika kamwe. Mpaka 30 iishe robo tatu ya tuliomo humu aidha tutakuwa tumeshakufa au tu wazee sana.
Hiyo miaka 30 ikiisha hakuna...
Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi pasipo kuwachosha. Rais Dr Samia atajaribu kumuiga Magufuli lakini kamwe hataweza asilani hadi anaondoka madarakani. Wakati Dr Magufuli akiwa Rais aliusaidia sana mkoa wake wa Chato kimaendeleo na kiuchumi. Hili halihitaji utafiti kwani liko wazi...
Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikisoma nyuzi nyingi za huyu kijana mzalendo na kupata moyo kwamba nchi bado ina vijana wazalendo. Komredi Lucas mwashambwa bila kuchoka amekuwa akishusha nondo nzito nzito na kuwaacha wapinzani wa Dr Samia Suluhu Hassan wakitapatapa. Hii inaashiria nini...
Kama kweli wewe ni mzalendo Kwanini una support mkataba wa DP world bila marekebisho?
Sababu je ni hipi hasa
1. Je, wataalamu wetu wanatudanganya?
2. Haujauelewa mkataba?
3. Umenufaika binafsi?
4. Unajali siasa kuliko nchi?
5. Haujali mkataba kwasababu kuna mikataba mingi?
Je, kwanini...
Kijana Mzalendo Nkindikwa David amemvaa Katibu Mkuu wa CCM, Chongolo kushabikia Mkataba wa Bandari licha ya kupingwa kila kona ya nchi.
Niwaombe watanzania tuendelee kushikamana kutetea rasilimali zetu na kamwe tusikubali kugawanyishwa na mtu au kikundi cha watu kwa misingi ya dini, itikadi za...
MCHANGO WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) KUHUSU MAPENDEKEZO YA KURIDHIA MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA SERIKALI YA DUBAI KUHUSU USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA KIJAMII KWA AJILI YA UENDELEZAJI NA UBORESHAJI WA UTENDAJI KAZI WA BANDARI...
KUSUDIO LA KIJANA MZALENDO DAVID LEVI NKINDIKWA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI KUPINGA MKATABA WA
BANDARI.
Ndugu waandishi wa habari, leo tarehe 5/8/2023 nimewaita ili kuujulisha umma wa watanzania dhamira yangu ya kufungua kesi Mahakamani kupinga mkataba wa bandari kwenye baadhi ya vipengele na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.