natamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Aucho: Natamani kucheza na Chama Yanga Sc

    "Nafikiri ndiye mchezaji pekee ambaye hayupo yanga, natamani kucheza nae sababu napenda watu wanafanya mchezo kuwa rahisi. Kama akija sawa na asipokuja pia sawa. Namfahamu nilianza kumtazama Chama tangu nikiwa misri." Aucho aliongea hayo akijibu swali la mwandishi juu ya tetesi za chama...
  2. Mjina Mrefu

    Nimeoa ila natamani sana wanawake wengine

    Wakuu kwema? Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza. Mimi nimeoa, mke mzuri na mrembo hasa. Ila cha kushangaza, ktk kipindi cha miezi miwili hivi, nimejikuta natamani sana pisi za pembeni, hata kama hazina urembo kumzidi mama watoto. Huu ni ugonjwa au nini wakuu? Maana hadi wake za watu...
  3. navigator msomi

    Natamani sana biashara ya kudaka mitumba na kuitembeza mtaani!

    Wakuu nisaidieni kunipa mbinu,nina ka mtaji kama laki hivi nataka daka mitumba kadhaa na kupita nayo kitaa kuizungusha, Mm ni mgeni mwanza ila nataka hii iwe starting point yangu ya kuijua mwanza, ni eneo gani zuri nitapata hii mitumba na je ni sehem zipi nzuri naweza tembea mitumba yangu...
  4. Suley2019

    Muuza Madafu: Mimi sio mtu Mwanajeshi. Natamani kuonana na Kamanda nayefananishwa naye

    Baada ya maswali kuwa mengi juu ya msemo wake maarufu “ukija bila gadi nagawa kwa idadi ya wastani” , kijana muuza madafu ameweka wazi kuwa ule ni msemo tu na haina maana kuwa yeye ni mtu wa ndani. Kijana muuza madafu ameujulisha umma kuwa yupo tayari kukutana na afisa usalama ambaye...
  5. OlaryMoleli

    Natamani kuwa kiongozi wa Kitaifa

    Poleni na majukumu ndugu zangu elimu yangu ni advanced Diploma in Accounting. Natamani Sana kuwa kiongozi wa Taifa hili lakini kila nikiangalia uwezekano wa kupata nafasi nakwama kwa sababu kila Chama hakioneshi mwanga wa kuingia bila INTEREST.
  6. N

    Natamani kumcheki lakini nashindwa kwa kuhofia kuonekana dhaifu kwake

    Yapata wiki sasa tangu tupishane kiswahili na mwandani wangu Kuna muda wazo la kumcheki linanijia lakini najikaza kisabuni kwa kuogopa ataniona niko so weak kwake. Ooh my God why this happen to me. Lord give me strength to overcome this Kilichobaki akili na moyo vinapingana, moyo...
  7. K

    Natamani Tanzania Bara tungekuwa na Mahakama iliyo huru na yenye maamuzi thabiti kama iliyopo Zanzibar

    Mahakama Kuu, Zanzibar imebatilisha kifungu cha 33(1) cha Sheria ya Kudhibiti Vileo (LCA) ya mwaka 2020 kinachoweka ukomo wa kampuni zinazoruhusiwa kuagiza vileo ikisema kinakinzana na Katiba ya Zanzibar. Uamuzi huo umetolewa na Jaji George Kazi katika hukumu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa...
  8. MaylaGladson

    Natamani sana Dar es Salaam ingeweza kuzingatia sana kwenye usafi wa mazingira maana kwa mazingira yalivyo kwa sasa sio salama

    Habari wana Jamii Forum Ningeomba niwasilishe hili swala kwa jamii ili tuliongelee. Dar es Salaam ni Jiji zuri sana kwa hapa Tanzania ambalo linapendwa na wengi na huo ndio ukweli usiopingika,lakini pamoja na uzuri wake wote kuna kitu kimoja tu kinashusha thamani ya Jiji hili nacho ni MAZINGIRA...
  9. D

    Natamani kusoma Mechanical Engineering, naomba ushauri

    Mimi mdogo wenu nimemaliza kidato cha nne mwaka Jana na ufaulu wangu ni kama ifuatavyo Phy D math D chemia C Biology C. Huo ndio ufaul wang na Nia yangu ilikuwa ni kwenda chuo nikasomee mechanical engineering badala ya kwend advance maan combination zinabalance arts na mm Sina Nia ya kusoma arts
  10. M

    Natamani nije niwe mwandishi wa filamu au tamthilia, nishaurini nianzie wapi?

    Shikamooni wakubwa zangu, sina mda mrefu sana hum jamii forum ila nlichogundua asilimia kubwa hum mnautambuzi wa mambo tofauti tofauti,ata kwa hili langu naamin hamtashindwa kunipa mawazo. wakuu mimi nna kipaji cha uandishi wa hadithi au simulizi tofauti tofauti, nna stori nyingi sana ambazo...
  11. BICHWA KOMWE -

    Nimemtukana Baba Mkwe kimakosa: Natamani kukimbia mkoa, nimechanganyikiwa

    Ukisikia kuyabananga, basi mie komwe sio tu nimeyabananga, nimeyavaa jumla jumla. Nimeboronga, nimekanyaga divi bichi. Baba mkwe wangu ni mwanajeshi, ana nyota nyingi begani, jitu jeusi, refu, linatisha na lina matuta usoni kama Mizengo Pinda. Alikuja nyumbani kwangu kwenye sherehe ya...
  12. Chance ndoto

    Natamani zitto kabwe awe raisi wa Tanzania uchaguzi ujao

    Nimeona mambo yanakua mengi sana viongozi wengi wa CCM wanapotezea kero za kila siku. Katika machaguo yangu naona zitto kabwe nchi inamfaa
  13. Z

    Nimempenda sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina

    Habari za Usiku wana JF, Kuna mdada nimempenda Sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina. Mtoto ana miaka 6. Naomba ushauri tafadhali!
  14. SPONSA

    Nimekubali huyu binti bikra anazitesa hisia zangu. Nimekubali nimekamatika. Natamani kutoka lakini nashindwa sijui nifanye nini

    Habari wana jamvi kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu. Dhumuni la kuandika hii thread nikutaka ushauri kwa ambao watakuwa tayari kunipa ushauri nitaupokea. Huyu binti anaezitesa hisia zangu ni bikra na nimethibisha kwakuwa nilishakuwa nae faragha zaidi ya mara moja na nikalithibisha...
  15. S

    Kwa uongo huu wa Serikali ya CCM, natamani kuhama nchi

    Reli ya SGR kipande cha Dar - Morogoro imetangazwa kufunguliwa na kuanza kutumika tangu 2021 , lkn ahadi hiyo haitimii. Ni uwongo juu ya uwongo Hebu tazama ahadi hizi hapa chini, kisha unaiambie nchi hii inafafaa kwa mtu kuendelea kuishi kweli??
  16. The Burning Spear

    TAWA ni matapeli tu hawana lolote. Natamani Hayati Magufuli angekuwa hai

    Hawa wahuni tangu watuambie wanafuatilia zile nyara zilizo kamatwa Australia mpaka leo Hakuna mrejesho mwaka unaisha sasa Afu leo wanakwambia wataleta ufafanuzi juu ya mamba aliyeuawa upuuzi Mtupu. Ivi tuna TISS kweli? Nchi hii kuna watu wanafaa kunyongwa ili kuwatia Adabu nao ni TAWA na...
  17. Nsanzagee

    Natamani Israel apigwe hadi amrudie Mungu wake aliye hai JEHOVAH

    Sijui itatokea lini, ila mimi natamani sana wayahudi wachapwe kichapo kitakatifu hadi wamtii Mungu wao aliyewatoa Misiri utumwani kwa ishara za ajabu yaani (JEHOVAH) Ichi ambayo imekuwa na ukaribu na Mungu tangu kipindi cha Ibrahimu, Ichi ambayo kipindi cha Musa, Mungu alifanya maajabu mengi...
  18. OKW BOBAN SUNZU

    Natamani kila mpangaji angekuwa kama nilivyokuwa mimi

    Nilihamia kwangu mwaka 2016. Kabla ya hapo nilipanga nyumba ya mama mmoja mstaafu. Yule mama alikiri hakuwahi kupata mpangaji kama mimi. 1. Kodi alitaka nilipe kwa miezi mitatu lakini nilikuwa namlipa kwa mwaka mzima. 2. Mara nyingi nilikuwa nalipa kodi kabla haijaisha. Nikishapata hela isiyo...
  19. Kariakooking1978

    Nikiwa bado na mashaka ndani yangu lakini bado natamani angalau nifikie hatua ya mafanikio kidogo kama yanavoonekana kwenye picha hapo chini

    Hellow members,baada ya harakati za mchana leo nikasema ngoja niingie online kidogo na mimi nione uwezo wa AI katika kutupa picha ya vitu tunavoviwaza. Basi nikaingia bing.com nikasearch AI image generator then nikaimbia maneno yafuatayo "Create an image of warehouse of the transportion...
  20. GENTAMYCINE

    Naomba idadi ya Wachangiaji hapa Jamiiforums isipungue leo kuanzia Saa 1 Kamili za Usiku

    Halafu kuanzia Saa 1 Kamili hiyo ya leo tarehe 5 Novemba, 2023 ukija ( Uki Log In ) hapa Jamiiforums usije na Mihasira yako bali kuwa tu Mvumilivu kwani huo ndiyo Maana na Ukomavu wa Utani wa Jadi.
Back
Top Bottom