Nimekutana na rafiki yangu wa kitambo kwa ghafula. Ni mahala ambapo hata ndotoni hakuna kati yetu ambaye angeamini kama tungekutana baada ya miaka 13 ya 'tusitambuane'.
Ilikuwa miaka ya ujana mbichi wenye utoto ndani yake. Alinipora "Shilingi niloithamini kabla hata sijaonja kuitumia" zingatia...
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania ondoka ofisini, na fanya ziara za kiwilaya na kimikoa, nenda katembelee wilaya ya Chunya, Kata ya Matundasi, Kijiji cha Itumbi, kuna wahamiaji haramu kutokea nchini China.
Ukifika hutauliza utajionea mwenyewe. Watu kutokea nchi hiyo ni wengi kupitiliza...
Wakuu kichwa Cha habari kinajieleza vizuri ,wote tumeona yaliyotokea ijumaa ambapo team zetu pendwa ziliondolewa katika cafcl
Ukweli ni kwamba hakuna vibe zuri kama la cafcc na Cafcl Sasa tumelikosa huku tukiwaangalia wengine wakisonga mbele
Kwa Sasa ni wito wangu kwa Yanga na Simba linapokuja...
Usisubiri hadi 2025 ifike ndio ukurupuke kutafuta kadi ya CHADEMA hasa kama unataka kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya CDM.
Ng'ombe hanenepi siku ya mnada, chukua nafasi yako mapema kabla hujachelewa. Nenda kwenye tawi lolote la CHADEMA lililo karibu na wewe, chukua kadi ya uanachama...
Nimeikuta hii makala mahali, nikajisemea, wanafiki wote hata geti la mbinguni hawataliona, Makonda akiwemo.
Paulo Makonda akiwa Mkuu wa Mkoa DSM, alimtafuta mwanamke anaitwa Fatma Chikawe, akampa jina la ‘Fatma Lowassa’. Edward Lowassa alikuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA.
Paulo Makonda...
Mimi kwa kweli nimechoka kabisa. Wakati wote ninafanya kazi kwa bidii, nalipa kodi zote, lakini kila mwaka kuna matatizo, yaani tangu tupate uhuru. Vitabu vya historia vinaonesha matatizo tu.
Sasa leo Mhe. Makonda anazunguka nchi nzima na kuibua matatizo tu. Au labda haya matatizo ni kidogo...
Idadi ya single mother ni ndogo mno lakini watu wanavyosema kuhusu single mother utadhan ni janga la taifa.
Post nyingi zinawesema vibaya single mother kwamba sio wife material.
Humtaki single mother Nenda kaoe ambae hajazaa stop kueneza chuki.
Kidato cha 5 muwaachie watoto waliotoka familia zilizoendelea.
Miradi ya kimkakati karibu yote itaajiri vijana kutoka technical colleges ngazi ya diploma na certificate (NTA level 5&6).
Ukiwa kazini utaipambania degree utaitwa boss
Utakuwa hero aliyetoka mavumbini.
Msije kusema sijawaambia.
Kwa sababu Chanika kuna " uhai" .
Huhitaji kuwa expert wa kusoma alama za anga na alama za ardhi kun'gamua kwamba chanika kuna " uhai" . Kama sauti yako ya ndani ( inner voice) ipo active and effective, siku ukifika Chanika uta detect " uhai" juu ya ardhi ya chanika.
Siku hizi wafanya biashara...
Wakuu, hii kitu nawaambia ni kweli kabisa.
Nimegundua baada ya kautafiti, kutokana na kukosekana kwa uaminifu hasa kwa wadada walivyo wepesi kutumiwa hasa makazini, kama kazaa na MTU utagundua kwa ufanano wa sura, tembeleeni maofic ya wake zenu au jengeni ushkaj na wanaofanya kaz nao...
Hasira walizonazo watanzania, wapalestina wanaishi nazo miaka miaka yote. Let’s be realistic.
Kilochofanyika na Hamas sio sahihi lakini kinaelezeka. Tatizo watu wanaendeshwa na chuki ya dini. Kuna mtu humu amekua na hasira mpaka kusema atamtafuta member ambae yuko upande wa palestine.
Hasira...
Watu wengi wanaliwa sana maana wanataka kutajirika kwa pesa ndogo, yani MTU anaweka 500/ odds 300 hapo probability ya kushinda ni ndogo sana tajiri, Weka team zako chache tia mzigo wa kutosha, utanishukuru badae
Niwakumbushe kwa mfano match ya Singida Fountain Gate na KMC kwenye ukurasa wa...
Mkuu wa mkoa umeonekana kwenye TBC 1 saa mbili usiku ukitoa shutuma kuwa wafanyabiashara wamefoji majina! Pamoja na udogo wao kimadaraka shutuma hizo si za kweli.
Mkuu wa mkoa kabla ya soko la awali kubomolewa wafanyabiashara waliokuwepo manispaa ya Temeke iliwapiga picha kila mmoja kwenye...
Nimeona leo jinsi mvua ilivyoleta shida pale jangwani.
Sio leo tu bali ni miaka nenda rudi, miaka yote hali ni hiyohiyo. Tangu uhuru hadi leo tupo serikali awamu ya 6.
MUDA MWINGINE NAHISI NAWEZA KUKUFURU lakini MWENYEZI MUNGU ANISAMEHE. NAHISI UAFIRIKA NI LAANA.
Mwafrika ni jamii ya mwisho...
Mfano ulipanga kununua simu kwa 200,000/= muuzaji akikupa punguzo akakuuzia kwa 150,000/= ile 50,000/= inatakiwa kwenda kanisani kama sadaka.
Ukipanda daladala, mtu akakulipia nauli, ile nauli yako inapaswa kwenda kanisani, usiile ni laana.
Kuna kenge zitakuja kubisha hapa, nazikemea...
Je Tundu Lisu Ameenda kutoa ripoti na mrejesho Kwa Wanaomfadhili? Huyu bwana huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka, akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu.
Je, Serikali haioni ni wakati muafaka sasa kumdhibiti huyu kibaraka kabla ya kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa...
Yes mpenzi H nmeshindwa sasa , its cool to admit
this break up i swear it will not be easy ,it'll do me dirty but my heart no longer beat for her.
Yes ni vile uliniona ni great guy with sense of humor,
Laughter yes , Kwa little joke yangu ulicheka , actually you was the first person after my...
Mchanganuo wa Nyaraka za zinazohitajika kwa anayetafuta Pasipoti ya Kusafiria Kwa Safari ya Ulaya na Kuweka Mipango ya Maisha.
Kabla ya kuanza safari yako ya Ulaya na kuanza hatua mpya ya maisha yako, unahitaji kuwa na nyaraka sahihi zinazohitajika wakati wa kuomba pasipoti ya kusafiria. Hizi...
Wakuu maisha ni kushare love.
Nataka niwaambie vijana na watafutaji wengine ikiwemo hata watumishi wa umma wenye mishahara midogo midogo.
Hakuna sehem Tanzania hii panafaa Kwa mtu anayejitafuta Kama Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.
Wilaya ya Mbarali ina fursa jumuishi nyingi Sana lakini kubwa...
Ndugu zangu mnajua fika rasmilimali pekee tulizonazo ambazo tungekuwa na viongozi wenye maono zingetutoa kwenye umasikini,Madini,mbuga (utalii),bahari & maziwa na bandari.
Taarifa zinaonesha Rais Mstafu Mkapa alibinafisisha Migodi ya madini ya dhahabu ya Mkoa wa Geita & Mara,Mgodi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.