Hapo jana Februari 12, akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara Sirari, jimbo la Tarime vijijini, Makamu Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amehoji juu ya kukamatwa na kunyimwa dhamana kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Slaa na pia...
Yawezekana hapa ndipo penye utitiri mkubwa wa vituo vya kuuzia mafuta ya magari katika barabara ya Bagamoyo.
Kutoka Bunju pale njia panda ya Moga unaanza na Lake Oil mkono wa kushoto hadi Mapinga kabla hujapanda kilima cha Marian Boys unamaliza na TOTAL mkononwa kulia. Ni mwendo wa dakika 10...
Jamani nimetafakari sana,nimeona kama baadhi ya vituo vingine vya mwendo kasi walivijenga vikubwa sana bila sababu yoyote.
Mfano hivi vya katikati,Magomeni hospitali,Jangwani,Manyanya etc.Nadhani kuna maeneo ni kweli kuna abiria wengi lakini maeneo mengine abiria ni wachache sana.
Sikuelewa...
Uongozi wa Kampuni ya China Tanzania Security umetoa ufafanuzi kuhusu madai ya Mwanachana wa JamiiForums.com aliyeandika kuwa wafanyakazi wa ofisi hiyo ambao ni Walinzi wanaosimamia Vituo kadhaa vya Usafiri wa Mabasi ya Mwendokasi hawajalipwa mishahara kwa muda wa miezi mitatu na kuwa wakidai...
Karne ya 18 hadi 20 huko Ulaya na Marekani kanisa Katoliki huko Ulaya na Marekani walikuwa na vituo vya kurekebisha tabia kwa wanawake hasa mabinti wa makundi mbalimbali wakiwemo single mothers, makahaba, wanawake walioonekana wajeuri na walioonekana mzigo kwa familia zao.
Wanawake wengi...
Nimeona Habari hii ITV, nikasema ngoja nishare na wanajukwaa.
Inatoka uko Kijiji cha Nyangunge kilichopo katika Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, wananchi wa Kijiji hicho wanasema wamekosa huduma ya maji safi na salama kutokana na vituo vya kuchotea maji kufungwa zaidi ya miezi miwili Sasa...
Baadhi ya Watu waliotoa ripoti za kuibiwa simu katika vituo vya Polisi Stakishari Ukonga Jijini Dar es Salaam na katika Kituo cha Kilwa Roads Police wanasema kila wanapofuatilia simu zao zilizoripotiwa kuibiwa huzikuta kwa watu ambao wamezinunua kutoka kwa watu waliopewa simu hizo na maafande...
Mapinduzi ya nishati ya magari yanazidi kushika kasi nchini Tanzania, lakini ukosefu wa vituo vya kujazia gesi unalifanya mchakato huo kusuasua.
Kama ilivyo kwa Nigeria na baadhi ya nchi nyingine barani Afrika, Tanzania imeanza kukumbatia gesi asilia iliyoshindiliwa (CNG) kama mbadala wa...
TANGAZO TANGAZO
HlHabari njema kwa vituo vya afya au shule za serikali
Kuna huduma ya internet kutoka Vodacom, unachagua package mnawezeshewa.
Huduma hii kuwezeshewa ni bure kabisa.
Vigezo
✅Tin namba ya shule/kituo cha afya cha serikali
✅Kitambulisho cha muwakilishi anaefuatilia
✅ Barua ya...
Jeshi la Wananchi wa Tanzania ni jeshi la sita kwa ubora duniani.
Kwa mujibu wa Umoja wa mataifa, duaniani kuna nchi 195.
Katika nchi zote hizo, jeshi la Tanzania ni la 6 kwa ubora. Maana yake ni kwamba Tanzania imezipita nchi 189 kwenye ubora wa kijeshi.
Hakika Tanzania iko juu sana. Ubora...
Ilikuwa ni kama utamaduni wa jumba jeupe kufanya hivyo kwa mahospitali, vituo via yatima au wazee.
Labda mnikulu yuko bize, amesahau kufanya hivyo krismas hii
TAMISEMI ondoeni shida ya usafiri kutoka vituo vya SGR.
Malalamiko ya shida ya usafiri kutoka vituo vya SGR sio mageni.
Ni kama viongozi wa mikoa hii ya morogoro na wenzao wa Dodoma wamechagua kuweka pamba masikioni.
Jamani viongozi mnaohusika amkeni kufanya jambo kukomesha shida hii ya...
Wakuu salamu zenu.
Awali ya yote nitoe shukrani zangu za dhati kwa wana JF wote hasa jukwaa la ujenzi na makazi. Niliomba kuelekezwa mahali pazuri pa kuishi Dar nikitokea mkoani. Nashukuru kupitia maelekezo yenu nimeweza kussetle vema kabisa jijini.
Baada ya hapo naomba kupewa tena msaada juu...
Wakuu
Haya Matangazo ya viwanja "Vinauzwa na Hati" yanayosikika karibu kila kituo cha daladala hapa mjini Dar kupitia sauti kubwa kutoka kwenye spika zilizowekwa, ni kero kubwa kwa abiria na wananchi kwa ujumla. Kila ukigeuka, unaskia matangazo yanayohusiana na viwanja vinavyouzwa, na hivyo...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe, Issakwisa Thobiasi Lupembe amedai wakati wa mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana Novemba 27, 2024 kulikuwa na matukio ya vitisho kwa Wanachama na viongozi wa Chama hicho kutoka kwa baadhi ya Watu.
=====================
Taarifa ya...
Wananchi na viongozi wa kada mbalimbali wameendelea kujitokeza katika upigaji kura kwenye vituo mbalimbali kuanzia majira ya saa 2 asubuhi
Akizungumza muda mfupi baada ya kupiga kura Mkuu wa mkoa wa Iringa Peter Serukamba amewasihi wananchi kuimarisha utulivu wakati wote wa zoezi hilo
Mkuu wa mkoa wa Kagera Khajati Fatma Mwassa akiwa kituo cha kilima hewa kata Kashai akiangalia namna wanavyoendelea kujitokeza kwa wingi kupiga kura .Pia ametumia fursa hiyo kuwaomba wananchi kuendelea kujitokeza katika vituo vilivyopo katika maeneo yao kupiga kura
Pia soma > LIVE - LGE2024 -...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.