Ndugu zangu,
Nimekutana na hii tafakuri juu ya baraka za mzazi kwa watoto. Tafakuri hii imejengeka kupitia mandiko ya vitabu vitakatifu kwa kile alichokifanya Isaka kwa mtoto wake Yakobo.
Kwamba Isaka alipokuwa Mzee sana na kuona siku zake za kuishi zinaelekea ukingoni, akamtaka mwanaye...