kurejea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Kuelekea 2025 Ni wakati muafaka na sahihi kwa David Kafulila kurejea Bungeni mwaka 2025

    Ndugu zangu Watanzania, Kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya mbingu. Nafikiri sote tunamfahamu vyema Mheshimiwa David Kafulila,tunafahamu uzalendo wake kwa Taifa letu,uchapa kazi wake, upendo wake kwa Wananchi. Tunafahamu vyema na kwa undani uwezo wake wa kujenga hoja...
  2. Victor Mlaki

    Biblia inaonesha kurejea vitabu vingi ambavyo havipo: Je, kuna siri imefichwa?

    Katika mambo yanayoshangaza ni namna Biblia inavyoonesha kurejea vitabu vingi ambavyo havipo ndani yake. Swali la kujiuliza ni je vitabu hivyo vimetajwa tu havipo au vimeondolewa? Na kama vimeondolewa ni kwa nini? Ni nani anafaidika na kutokuwepo kwa vitabu hivyo? Angalia namna maandiko haya...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mawasiliano ya Barabara ya Dar - Lindi Kurejea Kesho, Panapitika: Waziri Bashungwa

    MAWASILIANO YA BARABARA DAR - LINDI KUREJEA KESHO, SOMANGA PANAPITIKA: WAZIRI BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa anaendelea kuisimamia timu ya wataalam na Makandarasi kurejesha mawasiliano ya barabara ya Lindi - Dar es Salaam ambapo tayari eneo la somanga limeanza kupitika na...
  4. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa: Mawasiliano ya Barabara ya Dar - Lindi Kurejea Ndani ya Saa 72

    MAWASILIANO YA BARABARA YA DAR - LINDI KUREJEA NDANI YA SAA 72: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya barabara ya Lindi – Dar es...
  5. P

    Jambo TV: Wakazi wa Dar wamshukuru Rais kwa huduma ua umeme kurejea!

    Yaani kuzungumza na watu wawili ndio imekuwa "Wakazi wa Dar"? Jambo mmeanza kuzingua. ===== Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kutokana na huduma ya umeme kurejea baada ya kuwapo kwa hitilafu katika gridi ya Taifa...
  6. BARD AI

    Waziri Mkuu wa Haiti ajiuzulu baada ya Makundi ya Uhalifu kumshinikiza aachie madaraka kabla ya kurejea nchini humo

    HAITI: Waziri Mkuu Ariel Henry amekubali kujiuzulu baada ya kuwepo shinikikizo la Makundi ya Uhalifu yaliyomtaka kuachia madaraka kwa hiari kabla ya kurejea nchini humo kutoka Puerto Rico alikofikia wakati akirejea kutoka nchini Kenya. Henry alichukua nafasi hiyo mwaka 2021 baada ya Rais...
  7. DR Mambo Jambo

    Hatimaye APHFTA na Hospitali Binafsi zote Warejesha huduma za HNIF Hospitalini

    Wizara ya Afya Tanzania wameupongeza Uongozi wa Bodi ya Wamiliki wa Vituo vya Afya binafsi (APHFTA) kwa hatua hii nzuri yenye kuleta matumaini katika kufikia suluhisho la changamito iliyojitokeza. "Sote ni wamoja, turudi kwenye majadiliano, huduma bora za afya ziendelee kutolewa kwa wananchi."...
  8. B

    Vita Gaza katika mwelekeo mwema, busara inapoanza kurejea

    Vita vya nini kama mazungumzo yanaweza kuzaa mapatano yenye tija? 1. Ama kweli amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga: 2. Kwamba Israel kwenye hasira kali na pepo la kisasi na mtafaruku ule Oct 7, wameuwa wengi wakiwamo wasiokuwa na hatia? 2. Kwamba wameuwa hadi raia (wakiwamo wa...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Hawa ndio Wadada wa JF ambao wakiniambia tuliza Munkari ninaweza kutulia na busara zangu kurejea

    Kwema Wakuu! Taikon huambiliki, Taikon ni mbishi sana. Taikon sijui unamfumo dume. Taikon much know. Taikon unadharau na kuwachukia Wanawake. Oooh! Taikon kutwa kucha kuwakandia wanawake. Alafu unakuwa aggressive kama mwendawazimu. Taikon kapime magonjwa ya Akili. Sawa yote NIMEKUBALI...
  10. benzemah

    Rais Samia afupisha ziara yake Dubai kurejea nchini haraka iwezekanavyo, Serikali kugharamia mazishi na matibabu ya majeruhi wa mafuriko ya Hanang

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuwa serikali igharamie mazishi ya wote waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa iliyotokea na mafuriko katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang. Rais Samia pia ametaka majeruhi wote...
  11. B

    Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi

    HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano: HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao. HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi. Kauli ya wengi ni kauli Mungu. Aluta continua!
  12. GENTAMYCINE

    Feitoto kama unataka kurejea Yanga SC rejea tu

    Yaani Wewe badala ya Kufanya Kazi (Kucheza Mpira wa Nguvu) ili uisaidie Azam FC yako Wewe kila mara uko busy Kuchekeana (Kukenua Mimeno yako mibovu) na Wachezaji wa Yanga SC akina Aucho, Mudathir, Job na Mwamnyeto. Ndiyo maana hata sijashangaa baada ya Mechi Kumalizika na Kufungwa kwa Uzembe wa...
  13. GENTAMYCINE

    Kwa kipigo cha juzi na kwa hii ratiba ya mechi zao tano zijazo kuna mtu anaweza kurejea kwao Maradona Country kwa kufukuzwa

    Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza. Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam. Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam. Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam. Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga. Kila...
  14. GENTAMYCINE

    Kwanini tumeamua kurejea Dar saa 7 za usiku kutokea tulikofungwa na Ihefu FC jana, wakati awali tulipanga kurejea 'Kimadaha' saa 4 asubuhi leo?

    Sasa na wale Waandishi wa Habari na Mashabiki wenu mliokuwa mmewaandaa (kwa Kuwalipa kama kawaida yenu) mkiamini kuwa Jana mngevunja mwiko pale Highland Estates Mbarali mmewapa au mtawapa majibu gani? Hatutakatai kuwa katika Mpira Kufungwa ni Jambo la Kawaida ila GENTAMYCINE na Wadau wengine wa...
  15. M

    Tunduli Lissu kurejea wakati wowote kuanzia kesho Oktoba 6, 2023

    Msomi Tundu Lissu anatarajiwa kurejea nchi wakati wowote ili aweze kuendelea na ziara zake mikoani ambazo ndio amekuwa akizutumia kama chanzo kikuu cha mapato yanayotokana na michango ya wananchi wanaohudhuria mikutano yake. Imekuwa ni tabia ya huyu msomi kukusanya hii michango na kurejea...
  16. GENTAMYCINE

    Asanteni kwa Kumbakiza kwa Mganga wa Kienyeji Tanga Mchezaji Aubin Kramo tokea Fainali ya Community Shield na kurejea Dar Juzi

    Na hapa GENTAMYCINE nawaonya wazi kuwa acheni kudhani kuwa Winga Machachari Aubin Kramo karogwa na Yanga SC ila ukweli ni kwamba Karogwa na Mchezaji Mmoja maarufu wa Simba SC kipenzi cha Kocha ila asiyeaminika na Mashabiki. Niliwaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hakikisheni kabla ya Ligi Kuu...
  17. BARD AI

    Vikao vya Bunge kurejea tena Agosti 29, 2023, Miswada miwili kujadiliwa

    Mkutano wa 12 wa Bunge unaoanza kesho unatarajia kujadili miswada miwili na maazimio matatu. Ratiba ya Bunge iliyotolewa leo Agosti 28, 2023 inaeleza kuwa mkutano huo utafanyika kwa muda wa wiki mbili kuanzia kesho Agosti 29 hadi Septemna 8, 2023. Kesho wabunge wataanza na kupokea taarifa ya...
  18. GENTAMYCINE

    Baada ya Kumsajili kwa Kumkopa na Kushindwa Kummalizia Pesa zake 'Dusku' Kaamua kurejea Kwao Bondeni

    Kuliko kupoteza muda na Wapuuzi na Wadhulumati wa Kigamboni Town ni bora Mimi 'Dusku' nirejee Kwetu ili nikasaidiane na Waimbaji wa Amapiano ili nijifunze Styles mpya za Kucheza Nyimbo zao. Nimezoea kuona Wachezaji wengi Wakiondoka JNIA pale Terminal III Wakiwa ni Watu wenye Furaha na...
  19. Mag3

    Asanteni Watanzania, hatimaye kamwanga ka uelewa kanaanza kuchomoza na hivyo tumaini lililopotea kuanza kurejea!

    Hizi picha mbili (screen shots) zimebeba ujumbe mzito kuliko maneno elfu moja (a picture is worth a thousand words) Nani angeota ndoto kwamba iko siku uzalendo ungechukua nafasi yake katika kulitetea taifa letu hili? Nani aliota ndoto kuwa iko siku Watanzania watazinduka kutoka usingizi wa...
  20. JanguKamaJangu

    Arusha: Usafiri wa daladala kurejea, madereva wamaliza mgomo

    Mgomo huo ulioibuka asubuhi ya leo Julai 3, 2023 baada ya madereva Daladala kudai kuingiliwa ruti na wenzao wa Bajaj, hatimaye wameyamaliza na usafiri unaratijiwa kurejea kama kawaida kuanzia asubuhi ya Julai 4, 2023. Baada ya mazungumzo hatimaye maridhiano yamefikiwa kati ya Mamlaka ya...
Back
Top Bottom