jinsia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Why

    Elshamah Washira mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya anayetia mashaka kutokana na tabia zake

    Waimbaji wa nyimbo za Injili waendelea kuchafua tasnia ya nyimbo za Injili kwa kuharibikiwa kila kukicha hasa katika maswala ya ngono Tata Hivi karibuni tumesikia mwimbaji wa Injili Martha Mwaipaja katika sakata lake la kujihusisha na uchafu wa ngono tata zisizohusisha jinsia mbili tofauti kwa...
  2. S

    Kuhusisha jinsia wakati wa ugomvi wa watoto.

    Kuna msemo maarufu hasa huku mitaani kwetu watoto wakike wakiwa wanapigana au wanagombana na watoto wa kiume, utaskia wazazi wao hasa wa kike. "Usipigane nae, huyo ni mwanamke" Kwahy kama akiwa ni mwanamke hafai kupigana!?. Binafsi naona kauli Bora ni kuwaambia "acheni kupigana, ugomvi sio...
  3. F

    Ni kweli wanawake wenye jinsia mbili wapo?

    Hizo story huwaga ni kweli au ni uzushi tu? Kuna story zimezagaa huku Sinza kuna mdada anaitwa Mina wanasema ana jinsia mbili na zote zinafanya kazi. Je jambo hili linawezekana kisayansi?
  4. Hance Mtanashati

    Wanawake wanawataka wanaume wa kuishi nao na sio watu wenye jinsia ya kiume, vijana wengi hawaelewi hili

    Siku hizi kundi la team kataa ndoa linazidi kukua kila kukicha lakini wengi hawajui kiini cha tatizo ni nini? Lipo kundi la watu wachache ambao kweli ni halali kwao kususia/kukataa kuoa kutokana na madhira waliyokutana nayo au waliyoyaona kwa watu wao wa karibu. Lakini kundi kubwa lililobaki...
  5. Yoda

    Kwanini vyoo vya umma vinatengwa kwa jinsia ya wanaume(ME) na wanawake(KE)?

    Kwanini vyoo vya umma vya watu wazima huwa vinatengewa kwa jinsia ya Wanawake(KE) na Wanaume(ME)? Kuna tatizo gani kwa wanaume na wanawake kutumia choo kimoja? Kwanini vyoo havitenganishwi vya watoto na watu wazima?
  6. Magical power

    Picha iliyobeba maana kubwa kwenye jinsia zetu na matatizo mengi yaliyokosa maelewano

    Hii ni picha iliyobeba maana kubwa kwenye jinsia zetu na matatizo mengi yaliyokosa maelewano. Mwanaume hajui kuwa chini kuna nyoka. Na mwanamke haelewi kuwa juu kuna jiwe kubwa limemkandamiza Mwanaume wake. Mwanamke anafikiri, naenda kuanguka na siwezi kupanda, kwasababu nyoka atanin'gata...
  7. M

    Kuelekea 2025 Uwepo wa Dawati la Jinsia katika Vyama vya Siasa utasaidia kupunguza mazingira ya Rushwa ya Ngono

    Zanzibar: Asha Bakar (40) mtoto wa mwisho kati ya watatu wa familia ya Bakari Juma, Asha ambaye pia ni mama wa Watoto watatu, anayeishi na mume wake kisiwani Unguja, anasimulia safari yake ya uongozi ilivyokatika hafla, baada ya kutakiwa kimapenzi na bossi wake. “Bosi wangu aliniambia baada ya...
  8. Waufukweni

    Washiriki wa Mapenzi ya Jinsia Moja kufikishwa Mahakamani, Serikali Yajipanga Kusimamia Sheria

    Serikali imeahidi kuendelea kutoa elimu kwa jamii ili kukomesha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja ambavyo vinakiuka sheria, taratibu, mila na desturi pamoja na kuwakamata wanaojihusisha, sambamba na kuchukua hatua za kuwapeleka Mahakamani Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini...
  9. 6 Pack

    Tofauti ya utawala wa awamu ya nne na sita ni jinsia tu, vingine vyote vinafanana

    Niaje waungwana Japo mimi sio mchambuzi mzuri wa mambo ya siasa, lakini nina imani kuwa wengi mtakubaliana na mimi kwamba utawala wa awamu ya nne na ya sita vinafanana sana, sema tofauti ipo kwenye jinsia ambapo awamu ya sita wanawake wameongezeka zaidi katika uongozi kuliko ilivyokuwa awamu ya...
  10. J

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Riziki Pembe Juma atembelea JamiiForums

    DAR: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, (Zanzibar) Riziki Pembe Juma ametembelea Ofisi za JamiiForums jijini Dar, leo Oktoba 28, 2024. Ziara yake ililenga kujenga mashirikiano katika maeneo anuai ikiwemo kuwalinda na kuwajengea uwezo Watoto na Wazazi wao hasa katika...
  11. Mshana Jr

    Mtu asiye na jinsia

    Pichani ni Msanii Mkubwa Nchini Marekani Jennifer Lopez akiwa pamoja na mwanae “asiyekuwa na jinsia”… Huyu dogo ni wa kike, lakini hajitambulishi kwa jinsia yoyote… Jamii ya watu wa aina hii inaitwa “Non-binary” yaani asiyetambulika kwa jinsia yoyote (Siyo KE wala ME)… Mtu wa jamii hiyo...
  12. mdukuzi

    Kesi ya P Diddy ni ndogo sana,wazungu hawana tatizo na mapenzi ya jinsia moja

    Ni endapo itadhihirika kuwa aliwaingilia watoto under 18, Vinginevyo P Diddy kesi yake ni ndogo sana Majimbo mengi ya USA yameruhusu ushonga. Wengi wanaohisiwa kupakwa mafuta ni wababa watu wazima ambao huenda walifurahia tendo na hawakulazimishwa.. Wazungu wanajua kutetea haki za ; 1...
  13. The Watchman

    SI KWELI Tundu Lissu amekiri kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja

    Nimekutana na post inasambaa mtandaoni Tundu Lissu akisema anaunga mkono ushoga na video ina maneno yanayosema "Lissu akiri kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja" je post hii ina ukweli wowote?
  14. U

    Nimeshiriki meza ya Bwana Kanisa Wasabato salasala, wanaume wamewaosha miguu wake zao!, kawaida jinsia moja hutawadhana kama alivyofanya Bwana Yesu

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeshiriki meza ya Bwana (Lords Supper) kama ilivyoagizwa na Bwana wetu Yesu Kristo kama njia ya kumkumbuka. Hata hivyo nimeshuhudia utaratibu mpya kwenye zoezi la kutawadhana/ kuoshana miguu ambao sijawahi kushuhudia hata siku moja ndani ya Kanisa Kawaida watu...
  15. The Boss

    Majina ambayo ni moja ...yanatofautishwa na jinsia za watoto...tuweke list

    Nimeona niweke thread tuweke majina ambayo kiuhalisia ni jina moja. .. tofauti ni jinsia Tu ya mtoto anaepewa.. . Twendeni... Joseph/Josephine . Noel / Noela . Shariff/Shariffa.. Aziz/Aziza
  16. SankaraBoukaka

    Wanawake kwenye kuanika mwili huwa hawana uoga kulinganisha na wanaume!

    Hii dhana kwamba wanawake huenda wasiwe na hofu kubwa ya kuwa kuuanika mwili kuliko wanaume inaweza kuathiriwa na mchanganyiko wa mambo ya kijamii, kitamaduni, kisaikolojia, na kibiolojia: Mazingira ya Kitamaduni: Katika tamaduni nyingi, wanawake mara nyingi hufanyiwa ubaguzi au kuhukumiwa...
  17. Moto wa volcano

    Duniani kuliwahi kuwa na jinsia ya tatu ukiacha ya me na ke

    Husika na kichwa cha habari hapo juu Ukisoma maandiko kitabu cha mwanzo kwenye habari za nuhu aliyejenga safina maandiko matakatifu ya biblia yanatumbia kuna malaika walimkosea Mungu wakaja Duniani kwa hali ya kimwili walifahamika kama wanefiri , wanefiri wakavutiwa na wanawake...
  18. and 300

    Tukatae ndoa za Jinsia moja - Si utamaduni wetu

    1. Kwa pamoja tukatae ndoa za Jinsia moja. Huu si utamaduni wetu wa-Tanzania, ndugu zangu. 2. Pia, apps zinazohamasisha Ushoga zifungiwe. Hizi apps zimekua msiba Kwa vijana (Hasa wanachuo). 3. NGOs, vituo vya watoto yatima na Sober house zifuatiliwe Kwa karibu. Huko ndo agenda za Ushoga...
  19. Mzee Saliboko

    KWA JINSIA YA KIKE

    kwenu jinsia ya kike, huwa mnajisikiaje mkiulizwa umri wenu?
  20. W

    Mara nyingi wanawake hawaoini kuna tatizo na huzoeana kama mabesti na gays, hii imechangia sana kundi kubwa la gays kuwa watoto wa single mothers.

    wanawake wengi wanaona hakuna tatizo lolote kwa mwanaume kushiriki ama kuwa na viashiria vya mapenzi ya jinsia moja, kwao huchukulia ni sawa tu.. Tumeshajionea mpaka mitandaoni wanaume wanacheza vigodoro na wanasifiwa sana na wanawake, wanawake hawaoni kuna tatizo lolote. Mwanaume anavaa...
Back
Top Bottom