akemea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Ulega Akemea Ubabaishaji na Rushwa

    ULEGA AKEMEA UBABAISHAJI NA RUSHWA Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amekemea vitendo vya ubabaishaji na rushwa miongoni mwa watumishi wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) akisema vinaweza kufuta mazuri yote ambayo taasisi hiyo imeyafanyq na inaendelea kuyafanya. Akizungumza na...
  2. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa akemea tabia ya viongozi katika kata kuchonganishana

    BASHUNGWA AKEMEA TABIA YA VIONGOZI KATIKA KATA KUCHONGANISHANA. Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa amekemea tabia ya viongozi wa kisiasa katika kata ya Kituntu Wilayani Karagwe kuvutana na kuchonganishana na kupelekea kuchelewesha utoaji wa huduma kwa wananchi...
  3. Ojuolegbha

    Sheikh Kundecha akemea Maudhui ya Twitter ( X ) hususani chapisho la Maria Sarungi, awataka Waislam kuikataa Twitter (X)

    Na Mwandishi wetu. Mwenyekiti Jumuiya na Taasisi za Kiislaam nchini Tanzania, Shekhe Mussa Kundecha amefunguka na kukemea wazi wazi kitendo cha Mwanaharakati wa mitandaoni Maria Sarungi kuweka chapisho la Picha za Kumdhihaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu na kusema...
  4. Suley2019

    Kuelekea 2025 Nchimbi akemea vyama vya upinzani kuhamasisha mauaji

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Nchimbi akikemea na kuonya vikali viongozi wa vyama vya upinzani ambavyo baada ya kukosa hoja, agenda, kuishiwa ushawishi na uwezo wa kiuongozi, vimeanza kutumia majukwaa ya mikutano ya hadhara kuhamasisha mauaji wakati nchi yetu inapoelekea...
  5. sonofobia

    Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

    "Nataka kuwaeleza foot soldiers wa CHADEMA kitu muhimu sana. CHADEMA haiwezi kushinda Urais wa Tanzania bila ya Kura za WAISLAMU na WAKRISTO. Huu mchezo wenu wa UDINI ni double edged sword. Utawakata CCM kwa Wakristo but rest assured utawakata CDM tena SANA Kwa Waislamu. Endeleeni tu!" ====...
  6. Petro E. Mselewa

    Kinana akemea makada wanaowadhalilisha watendaji wa Serikali majukwaani

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Abdurahman Kinana amekemea tabia ya viongozi na makada wa CCM kuwadhalilisha watendaji wa Serikali kwenye majukwaa ya kisiasa. Pamoja na kukiri kuwa chama tawala kinaisimamia Serikali na kuishauri, Kinana amesema si vyema viongozi na makada wa chama tawala...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Magesa akemea upotoshaji mradi wa maji Chamkolongo

    MHANDISI MAGESA AKEMEA UPOTOSHAJI MRADI WA MAJI CHANKOLONGO Mbunge wa Jimbo la Busanda, Mhandisi Tumaini Magesa amewatoa hofu wananchi wa Mamlaka ya Mji mdogo wa Katoro juu ya mradi wao wa maji wa Chamkolongo unaondelea kutelekelezwa kwani umefikia hatua za mwisho kumalizika na kupuuza maneno...
  8. MTAZAMO

    Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

    Wakuu, Askofu mkuu Jimbo Katoliki la Dar es Salaam anaongea na waandishi wa habari juu ya Pugu Marathoni lakini pia amegusia swala la maadili ya jamii. Amesema amefurahishwa na kauli dhabiti ya Rais Ruto wa Kenya juu ya kulinda maadili ya nchi hiyo na kupinga hadharani mambo ya ushoga. Lakini...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Zaytun Swai akemea vitendo vya ukatili wa kijinsia - Mkoa wa Arusha

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Mhe. Zaytun Swai ametoa salamu za pongezi kwa WanaCCM katika hafla ya kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa Ndugu Halima Mamuya. Mhe. Zaytun Swai amempongeza Ndugu Halima Mamuya na amesema ni heshima kubwa kwa wanawake wa Tanzania na...
  10. The Sunk Cost Fallacy 2

    Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  11. BARD AI

    Mwenyekiti wa Jumuiya wa Wazazi CCM Dar awakataa "Machawa"

    Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi mkoa wa Dar es salaam, Khadija Ally Said amekataa tabia ya makada wa chama hicho kumsifu hovyo (uchawa), huku akiwataka wafanye kazi kwa ushirikiano bila kujiona miungu watu. Amesema kufanya hivyo kutasaidia kufanikisha utekelezaji wa dira ya jumuiya hiyo...
  12. tpaul

    Askofu akemea wizi wa uchaguzi mkuu 2020

    Bila kumumunya maneno wala kumuogopa mtu yeyote askofu huyu amekemea vikali wizi wa uchaguzi uliofanywa na mwendazake mwaka 2020. Hebu msikilize anavyopiga nyundo laivu bila chenga 👇 MAONI YANGU Wizi huu wa kipumbavu ndio umesababisha mchi imepata laana kwa kukosa mvua na umeme kila mahali...
  13. Dr Matola PhD

    Ridhwani Kikwete akemea vikali wauza dawa za kulevya na ataka sheria kali itungwe

    Dj walete na song letu la Iyena iyena. Kwa Mara ya kwanza namuona Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akichangia hoja ya marekebisho ya muswada wa sheria ya Dawa za kulevya na ametaka sheria Kali zitungwe kukomesha wauza Dawa za kulevya. Ni kipi kimekushangaza? Mwanakondoo ameshinda tumfuate...
  14. Mohamed Said

    Baba wa Taifa akemea udini

    BABA WA TAIFA AKIKEMEA UDINI Mjamaa wa kisasa anamnukuu Baba wa Taifa katika suala la udini msome hapo chini: - Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa Ni kiongozi aliyepiga vita vikali kuhusu ubaguzi wa kidini au kikabila ndani ya taifa letu la Tanzania. - Baba wa Taifa...
  15. JanguKamaJangu

    Spika Tulia akemea Wabunge wanaotangatanga na kupiga kelele wakati Bunge likiendelea

    Spika wa Bunge, Tulia Ackson ametoa onyo kwa Wabunge ambao hawafuati utaratibu wanapokuwa Bungeni ikiwemo kupiga kelele na kuzungukazunguka ndani ya Bunge pasipo kufuatilia kinachoendelea. “Tufuate kanuni zetu na utaratibu humu ndani ikiwa pamoja na kanuni ya 73 inayozungumzia staha ndani ya...
  16. Analogia Malenga

    Rais Samia akemea suala la siri za Serikali kuvuja mitandaoni

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri na manaibu Waziri wahakikishe siri za serikali hazivuji kufika katika mitandao ya kijamii kama ambavyo imeendelea kuwa Nukuu 'Imekuwa kama maradhi, document za Serikali tunazikuta mitandaoni, watu wanabishana huko mtu anaende kuchomoa document...
  17. B

    Rais Samia akemea fujo na vurugu za vyama vya kisiasa

    15 December 2021 Dodoma, Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akemea fujo na vurugu za vyama vya kisiasa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Jumatano Disemba 15, 2021 amefungua mkutano wa wadau wa vyama vya siasa nchini ambao unalenga kujadili hali ya...
  18. Kamanda Asiyechoka

    Rais wa JMT akemea makundi yanayodai ufisadi umerudi. Je, ni makundi gani?

    "Kuna makundi wanajua wanayoyafanya ndani ya serikali, na yanageuka kusema serikali ya awamu ya 6 ufisadi umerudi mambo yako hovyo kumbe wao ndio wako hovyo, mambo hayo yalifanyika huko nyuma, gari bovu linaangushiwa awamu ya 6 sitakubali.
  19. Analogia Malenga

    Rais Samia akemea urasimu Kituo cha Uwekezaji Tanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna kasumba ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC) kutoa kipaumbele kwa wawekezaji wa nje na kuweka urasimu mwingi kwa wawekezaji wa ndani. Amesema hayo alipokuwa akizindua kiwanda cha Faddy Fiber wilayani Mkuranga ambacho ni cha nne kwa ukubwa Afrika, na...
Back
Top Bottom