usikivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Ushauri: Maisha yamekuwa magumu kutokana na changamoto yangu ya usikivu hafifu, natamani nikimbilie Afrika Kusini nikafie huko!

    Ndugu zangu wenye Usikivu Hafifu. Mmewezaje kutoka kimaisha? Mwenzenu naona mambo magumu sana. Kazi sina, zingine napata wananitosa, mtaji sina, mpenzi sina. Natamani nikimbilie South Africa nikafie huko. Nisije nikatia aibu kwenye familia. Sasa simeanza kumuelewa Mpauko kwanini alichukua...
  2. A

    Natafuta Kazi

    Habari za Jioni Ndugu zangu. Mimi ni Kijana Nina Changamoto Ya Kusikia ( Usikivu Hafifu) Tatizo hili Sikuzaliwa nalo Bali Limenitokea Ukubwani. Niliumwa Maralia Nikachomwa Kwinini ndo ikasababisha. Kiukweli Nimekuwa Mpweke Sana, Sina Kazi, Sina Mishe, Naombeni Mnisaidie Kazi Yoyote Ya...
  3. Walt white

    Nina changamoto ya usikivu hafifu. Natafuta kazi; ikiwa ya kutengeza sofa itanifaa zaidi

    Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana wamiaka 24 kwasasa, elimu yangu ni kidato cha nne ambapo nilifaulu vizuri ila nilishindwa kuendelea na masomo kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo kutosikia vizuri. Baada ya kumaliza shule mwakav2015, kuanzia 2017 nilianza rasmi kujifunza kutengeneza sofa...
  4. OCC Doctors

    Usumbufu wa sikio na shida za usikivu

    Maumivu ya sikio, kupoteza kusikia, uchafu wa sikio (otorrhea), mngurumo na kuvuma kwa sikio (tinnitus), na kizunguzungu (vertigo) ni dalili kuu za matatizo ya sikio. Mbali na masikio, pua, koo ya hewa (nasopharynx), na mashimo ya hewa karibu na pua (paranasal sinuses), meno, ulimi, tonsils...
  5. mama D

    Kuhani Musa Richard Mwacha ni Mwalimu bora kwa kizazi hiki kisicho na usikivu, kabla ya kukubali au kukataa tafuta kumjua na kuujua ukweli kwanza

    Niliwahi kuweka Uzi huku nikiuliza huyu mtumishi ni mtu wa aina gani, na kwa kuwa mimi napenda kufuatilia mafundisho mbalimbali yenye tija nimegundua 1. Kuhani Musa Richard Mwacha ni mtumishi wa Mungu na Mwalimu mzuri sana katika nyakati hizi kwa jamii yetu, ana mvuto au haiba ambayo inaweza...
  6. BigTall

    Mwaka 2050 watu Bilioni 2.5 watakuwa na matatizo ya usikivu

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa watu hao wanatarajiwa kuwa na matatizo ya usikivu wakati Watu Milioni 700 watahitaji tiba ya matatizo ya usikivu. WHO linaeleza kuwa zaidi ya vijana wadogo Bilioni 1 wapo kwenye hatari ya kukumbana na upotevu wa kusikia unaoweza kuepukika. =========...
  7. B

    Tozo: Wadau Walalamika na Serikali kukosa usikivu

    Mjadala mkali kabisa ktk kituo cha televisheni cha ITV Tanzania ====== Katika mjadala mpana na wa wazi wadau waonesha wasiwasi kuhusu serikali kutochukua hatua za haraka kupata ufumbuzi wa kusitisha tozo inayolenga chanzo kimoja tu cha mapato kukatwa mara kadhaa. Mfano mishahara ipitayo...
  8. beth

    World Hearing Day: Watu Bilioni 1.5 Duniani wanaishi na tatizo la usikivu

    Machi 03, 2022 ni Siku ya Usikivu Duniani ambapo inaelezwa takriban Watu Bilioni 1.5 Duniani kote wanaishi na tatizo la usikivu. Wataalamu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wanasema idadi hii inaweza kuongezeka hadi Bilioni 2.5 kufikia Mwaka 2030 Inaelezwa, Mamilioni ya Vijana wapo hatarini...
  9. L

    Nauza hearing aid kifaa cha kuongeza usikivu, pia inasaidia kupunguza kelele

    nauza hearing aid kifaa cha kuongeza usikivu , pia inasaidia kupunguza kelele maikion bei laki 4 dar gongolamboto 0684340704 sikio la kushoto
  10. C

    #COVID19 Marekani: Maelfu walaumu chanjo ya COVID-19 kwa kupoteza uwezo wa kusikia baada ya kuchanjwa

    Waziri wa Afya, alilihakikishia Taifa kwamba Chanjo za Covid-19 ni salama, baada ya kufanya scientific research. Leo dunia imeanza kupata majibu ya maswali ambayo wafanyabiashara walizuia watu wasishirikishane. Wengine hapa walitukanwa matusi, wakaitwa kwenye vikao hadi wakahisi maisha yao...
  11. J

    Serikali yajielekeza kuondoa kabisa tatizo la usikivu wa radio ifikapo 2025

    SERIKALI YAJIELEKEZA KUONDOA KABISA TATIZO LA USIKIVU WA RADIO IFIKAPO 2025. Mpaka sasa asilimia 66 ya maeneo ya kijeografia yanapata mawasiliano Yafungua milango kwa wadau kutumia miundombinu ya Serikali Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe, Dkt. Faustine Ndugulile amesema...
  12. S

    Serikali kwa hili la tozo za miamala mmechemka na kukosa ubunifu

    Serkali inatakiwa kutambua kuwa watanzania wako tayari kuchamgia lakini tatizo ni viwango vya makato mfano: Mtu akitoa 10,000 anatozwa makato ya serkali wastani wa shilingi 320 lakini serkali ingeweza kukata shilingi 100 kwenye makato ya kuanzia mtu anapotoa 1,000-10,000 Mtu akitoa 100,000...
  13. EP cosmetics

    Ninaomba msaada wa kimawazo au ushauri wa kutatua changamoto ya usikivu mdogo (Hearing loss) au kupunguza adha zake

    Habari za humu ndugu zangu. Poleni kwa majukumu. Changamoto inayonirudisha nyuma sana: Ninachangamoto ya usikivu mdogo(Hard hearing, Hearing loss), kushindwa kuelewa kinachozungumzwa kwa kiasi fulani (Word deafness) hasa kwa sauti za besi sana sometime ninaweza nisikuelewe maneno utamkayo...
  14. J

    Siku ya Kimataifa ya Usikivu: Maoni na Ushauri kutoka kwa Daktari Bingwa kuhusu changamoto ya Usikivu

    Leo tarehe 3 mwezi Machi 2021 ni siku ya usikivu duniani. Hii ni siku ambayo inasherehekewa duniani na kampeni yake inaendeshwa na Ofisi inayojulikana kama “Prevention of Blindness and Deafness” ya Shirika la Afya Duniani (W.H.O) Jambo kubwa linalofanyika katika siku ya leo ni kukumbushana...
  15. Tabutupu

    Muundo mpya wa makutano ya Mbezi Mwisho. Hongera sana Tanroad kwa usikivu

    K2a hissani ya lethy mleta mchoro ni kwamba hatimaye mbezi mwisho haitakua na mataa kama design ya mwanzo. Design mpya inaonyesha morogoro road itapandishwa juu na goba-malamba mawili kinyerezi itakua underpass. Kama ni hivi kwa niaba ya wapenda maendeleo wote naomba niwapongeze tanroad kwa...
Back
Top Bottom