#COVID19 Marekani: Maelfu walaumu chanjo ya COVID-19 kwa kupoteza uwezo wa kusikia baada ya kuchanjwa

Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,796
11,882
Waziri wa Afya, alilihakikishia Taifa kwamba Chanjo za Covid-19 ni salama, baada ya kufanya scientific research.

Leo dunia imeanza kupata majibu ya maswali ambayo wafanyabiashara walizuia watu wasishirikishane. Wengine hapa walitukanwa matusi, wakaitwa kwenye vikao hadi wakahisi maisha yao yako hatarini si kwa corona bali kwa watu ambao sijapata neno sahihi sana la kuwaita.

Leo maelfu kwa maefu waliochanjwa, wamechanganyikiwa kwa kupoteza uwezo wa kusikia na badala yake wanasikia filimbi na kengere masikioni mwao.

Waziri Gwajima njoo tena uzungumze na watu wako uliowaaminisha kwamba kulala na mme wako kumekuthibitishia kwamba chanjo haina madhara.

More than 10,000 Americans have reported tinnitus as a possible side effect of the COVID-19 vaccine, and some are now questioning why the FDA and CDC are not taking a deeper look into their claims about hearing problems.

Did you experience tinnitus or other hearing issues after getting coronavirus or the COVID-19 vaccine? Contact Investigator Melissa Blasius at Melissa.Blasius@abc15.com.

“It's a constant high pitch string,” Robert Edmonds told ABC15 during a July visit to Phoenix for tinnitus-related medical care. Tinnitus is a ringing or buzzing noise in one or both ears that may be constant or come and go. It is often associated with hearing loss.

Edmonds describes the noise as louder than his car stereo. He’s a federal government employee from New Mexico, and he said he developed tinnitus, along with tingling of the face and headaches, shortly after receiving his first COVID-19 vaccine shot in January. He did not make a connection right away.

“I then went to a clinic, and that doctor thought he couldn't find anything wrong with my ears,” Edmonds said. “He tried antibiotics for an ear infection.”

Since then, Edmonds said he saw multiple specials and underwent diagnostic testing.

“We've ruled out as many things as possible, and we're left with the vaccine played likely some role in the development of the tinnitus,” Edmonds said.

In Seattle, George Hu also had hearing issues after getting vaccinated in February

“The very next morning, I noticed I started having what felt like congestion in my ear,” Hu recalled. “It got worse by the second day, and the third day, I literally couldn't hear anything out of it.”

George said his hearing returned after treatment with steroids, but he was left with tinnitus.

“Everybody's very skeptical in the medical community,” Hu said. “My own family members didn't think that it could possibly be.”

Hu said his son experienced similar hearing problems post-vaccine.

Hu, a former Microsoft employee, started a support group on Facebook, and he said he’s not anti-vaccine. In fact, he was one of the computer programmers who created CovidWA.com, a vaccine finder website for the entire state of Washington.

Dr. Greg Poland, Director of Mayo Clinic's Vaccine Research Group, works every day to dispel myths about the COVID-19 vaccine. However, he is not willing to discount a connection between the vaccine and tinnitus because he experienced it himself.

“I can't tell with absolute confidence that it was a result of the vaccine,” Dr. Poland said. “I can only say that it happened an hour, hour-and-a-half after getting the vaccine.”

Source: Unheard Concerns: Thousands blame COVID-19 vaccine for hearing problems
 
Mbaya zaidi Hali hi imenipata huku nikiambiwa nisinywe tumaji tuchungu Hadi siku tatu zipete.

Mama piga show live na mumeo hadharani tupunguze kengele na miluzi masikioni mwetu
 
Naona hizi Yanga Day na Simba day zinawachanganya mpaka mnasikia filimbi na kengele mnasingizia chanjo. Wadanganyeni hao hao ambao hawajachanjwa.

Chanjo inakufanya ukose uwezo wa kusikia? Hujaona hiyo clip hapo ndani? Wanawadanganya ambao hawajachanjwa? Hata kwa hili bado unathibitisha madhara ya hizo chanjo. Nahisi kuna madhara kwenye ufahamu pia. Watu waendelee kuangalia mchezo.
 
Waziri wa Afya, alilihakikishia taifa fkwamba Chanjo za Covid ni salama, baada ya kufanya scientific research ya kufanya ngono na mme wake (Kama mchawi fulani hivi).
Leo dunia imeanza kupata majibu ya maswlai ambayo wafanya biashara walizuia watu wasishirikishane. Wengine hapa walitukanwa matusi, wakaitwa kwenye vikao vya kipumbavu hadi wakahisi maisha yao yako hatarini si kwa corona bali kwa watu ambao sijapata neno sahihi sana la kuwaita. Leo maelfu kwa maefu waliochanjwa, wamehanganyikiwa kwa kupoteza uwezo wa kusikia na badala yake wanasikia filimbi na kengere masikioni mwao. Kabla watu hawajaanza kuona ya Gwajima Askofu yanatimia kwa kasi, kwamba sasa jamaa wa networking wameanza ku activate applications zao za ku internet watu, waziri Gwajima, njoo tena uzungumze na watu wako uliowaaminisha kwamba kulala na mme wako kumekuthibitishia kwamba chanjo haina madhara.
Labda ufanye ngono nyingine, pengine sasa hadharani ili watu waone namna unavyopata scientific proofs za chanjo ili uwajengee imani zaidi.

Ujinga ni tatizo kubwa sana kwa binaadamu, siku zote mjinga huinua masikio yake kama popo ili asikie jambo la kijinga litakalompa nafuu kichwani mwake. Watu waliochanja wako kimya wamekwisha sahau kama walichanja, chaajabu wale wajinga kila siku wanayoyoma kuhusu madhara ya chanjo kama vile wamechanja, King Kikii alisema, hata kama nikila makongolo na familia yangu wewe inakuhusu nini?
 
kale kafilimbi ka amapiano wengi kanawasumbua
Kuna ile wanaita Shayi Mpempe...halafu wanasingizia chanjo🤣
20210922_054116.jpg
 
Mbaya zaidi Hali hi imenipata huku nikiambiwa nisinywe tumaji tuchungu Hadi siku tatu zipete.

Mama piga show live na mumeo hadharani tupunguze kengele na miluzi masikioni mwetu
mkuu!umekatazwa tu maji tu chungu coz tu maji huto tuna quinine ambayo huharibu chanjo hiyo na kukufanya uwe huru kama mwanzo!!!
 
kwanza angejiuzulu mapema tu baada ya mtu mwenye mtazamo tofauti juu ya uviko kuchukua madaraka, yeye akabadili mtazamo wa mwanzo na kuonekana ni kituko, haya sasa uviko itawaumbua wote walioshadidia chanjo zake kuwa ni salama
 
Taifa kama taifa huru si lazima lifuate mataifa mengine yanafanya nini, kila taifa lina mila na tamaduni zake. Kuigaiga mataifa mengine ni kupumbazwa na kutawaliwa kifikra katika nyanja zote na hatimaye kuwa watumwa, Taifa ni lazima lijitofautishe na misimamo ya mataifa mengine juu ya mambo mazito yanayoikumba dunia, taifa linaweza kuwa ndiyo msaada kwa mataifa mengine duniani
 
Waziri wa Afya, alilihakikishia taifa fkwamba Chanjo za Covid ni salama, baada ya kufanya scientific research ya kufanya ngono na mme wake (Kama mchawi fulani hivi).
Leo dunia imeanza kupata majibu ya maswlai ambayo wafanya biashara walizuia watu wasishirikishane. Wengine hapa walitukanwa matusi, wakaitwa kwenye vikao vya kipumbavu hadi wakahisi maisha yao yako hatarini si kwa corona bali kwa watu ambao sijapata neno sahihi sana la kuwaita. Leo maelfu kwa maefu waliochanjwa, wamehanganyikiwa kwa kupoteza uwezo wa kusikia na badala yake wanasikia filimbi na kengere masikioni mwao. Kabla watu hawajaanza kuona ya Gwajima Askofu yanatimia kwa kasi, kwamba sasa jamaa wa networking wameanza ku activate applications zao za ku internet watu, waziri Gwajima, njoo tena uzungumze na watu wako uliowaaminisha kwamba kulala na mme wako kumekuthibitishia kwamba chanjo haina madhara.
Labda ufanye ngono nyingine, pengine sasa hadharani ili watu waone namna unavyopata scientific proofs za chanjo ili uwajengee imani zaidi.

Mtapata taabu sana. Tuliochanjwa tuko vizuri wala hizo tinnitus hamna!

Ajabu na kweli ni kuwa washadadia madhara ya chanjo hawataki chanjo. Si mliambiwa chanjo ni hiari?
 
Unapoteza muda wako kuandika ujinga kama huu, ungekaanga vitumbua uuze.
 
Naona hizi Yanga Day na Simba day zinawachanganya mpaka mnasikia filimbi na kengele mnasingizia chanjo. Wadanganyeni hao hao ambao hawajachanjwa.
Hata mie nashangaa. Nimechanja na wala sina dalili hata moja ya hizo zinazotajwa
 
Back
Top Bottom