ulimwengu

Thomas Emanuel Ulimwengu (born 14 June 1993) is a Tanzanian football striker who is currently playing as a forward for TP Mazembe and the Tanzania national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Jenerali Ulimwengu: Inanichosha kusikia sifa za Rais kila dakika

    Ifikie wakati tuache kuona kila anachofanya Raisi ni msaada kwetu na si majukumu yake. Hizi sifa za uongo zimekuwa nyingi mpaka kuondosha mantiki ya uhalisia wa utendaji wake. Alichosema Jenerali Ulimwengu "Mimi inanichosha kusikia sifa za rais kila dakika. Rais ni mtu mwema nadhani. Lakini...
  2. BICHWA KOMWE -

    Jenerali Ulimwengu amepitwa na wakati; Huu sio muda wa harakati za kisiasa

    Huyu jamaa anayeitwa Jenerali Ulimwengu (sijui hata huo ujenerali alivishwa na nani), nimeona anawafokea wanavyuo kuwa ati hawafanyi midahalo! Kwanza aelewe, hizi sio zama za TANU na ASP, zama za kugombana na mabeberu kama wendawazimu. Hizo zama zilishapita na tumevuka tuko kwenye nyakati za...
  3. The Burning Spear

    UDSM kuwa Form 10 Jibuni hoja za jenerali Ulimwengu

    Nimemskiliza kwa makini ulimwengu yuko sahihi maana chuo kimezubaa scna siku za hivi karibuni. Sijui nkruma hall wanaitumia kwa kazi gani siku hizi. Najiuliza je huenda siku hizi vijana wanaoenda vyuoni ni wadogo sana kiasi amabacho hawawezi kujenga hoja. Hapana wanasiasa wamekikandamiza...
  4. R

    Je, wajua nini hutokea katika Ulimwengu wa Roho wawili wanapoungana katika NDOA Takatifu?

    Salaam / Shalom!! INTRODUCTON. (Mwanzo 2:18,21-24) na (Mathayo 19:3-9). NDOA ni muunganiko wa KIMWILI kati ya mume mmoja na mke mmoja KIMWILI na kiroho. Asili ya NDOA ni Mbinguni, NDOA ni usafi, NDOA ni utakatifu. Kila mtu aliyezaliwa Huwa anae mtu mmoja ambaye Huwa ndiye ubavu wake. Na hao...
  5. tutafikatu

    Mimi Mwarabu na sielewi kwanini ulimwengu hauwezi kukubali maumivu ya Kiyahudi

    Miaka mingi iliyopita, nilijifunza Kiebrania kutokana na udadisi na kwa nia ya kupenya katika ulimwengu ambao hapo awali nilidhani ulikuwa mbaya na kupanga njama dhidi ya Waarabu na Waislamu. Mara tu nilipoingia, nilishangaa jinsi nilivyokuwa nimekosea, jinsi karibia kila Mwarabu na Mwislamu...
  6. Ahmet

    Hakuna nadharia yoyote ya Kisayansi inayoelezea kikamilifu chanzo cha ulimwengu

    Habari wapendwa, Kuna hizi theories zinazoelezea chanzo cha Ulimwengu, kwa uelewa wangu hakuna hata moja inayoelezea kikamilifu chanzo cha huu Ulimwengu, bali nyingi zinaelezea modifications na evolution tu ya Ulimwengu ambapo katika kuelezea huko zinaweza zisiwe sahihi pia. Tuziangalie kwanza...
  7. K

    Israel yaumbuliwa kwa kupandikiza silaha zake ndani ya hospital ya Shifah na kuhadaa Ulimwengu- kua ni zaHAMAS na makao makuu ya HAMAS!

    Israel iimefanya mauaji ya watoto, wanawake na raia wasio na hatia kwa kuipiga mabomu hospital kuu Gaza kwa kisingizio kua ni chini kuna makao makuu ya HAMAS,wamefichwa mateka na ni hifadhi ya silaha za HAMAS. Tazama uongo wa Israel ambayo yenyewe binafsi imepandikiza silaha na kutengeneza...
  8. GreenLight

    Ulimwengu wenye neema na furaha

    Habari wakuu, NIna wazo limenijia na kutafakari binafsi. Nimejiuliza katika maisha ya mwanadamu upi wakati sahihi wa kuipata furaha ile yenye uhalisia wake kwa 100%. Nikaishia kukumbuka miaka nipo mdogo kwa wazazi. Unaaga unaenda shule unasoma na kucheza na marafiki muda wa kuondoka unaondoka...
  9. Chizi Maarifa

    Kama ni Kweli Yanga tulifanya hivi sisi ni mazuzu, mazumbukuku ulimwengu upo huku. Inasikitisha sana kwa watu wenye akili

    Hili tatizo nadhani tunalo muda mrefu. La uswahili, kijicho, wivu na uzumbukuku wa baadhi ya watu. Kama anayosema huyu Prof ni kweli sisi Yanga ni watu wa ajabu sana. Lazima watu watakuwa wanatucheka, wanatushangaa sana. Msikilize mwenyewe ingawa kaongea kwa lugha ya Kikristo.
  10. D

    Unabii wa Jenerali Ulimwengu umetimia mapema mno

    Katika moja ya mikutano ya wanaharakati na wasomi (nimepoteza clip) lakini Ulimwengu alisema maneno haya: "Kwa miaka mitano nchi hii imepitia kipindi kigumu mno maana alikuwepo mtu pale kwenye executive ambaye aliweza kusaga saga kila kilichokuwa mbele yake na kuweka ya kwake anayotaka yeye...
  11. B

    Jenerali Ulimwengu (2021): Samia Haijui Tanzania. Prof. Mwandosya (2015) Magufuli haijui CCM, hajawahi hata kuwa Mjumbe

    Viongozi wetu wanapatikanaje? Na tunapimaje uwezo wao wa kuongoza? Je tuna mfumo wa kuwatengeneza? Job Description ya Kuwa Rais, Waziri Mkuu, Spika kwa Tanzania inataka vitu gani? Nimekumbuka hayo kutoka kwa hawa Nguli wawili. Mwaka 2015 baada ya vikao vya CCM DODOMA, Prof na Mwalimu wangu...
  12. T

    Walimu tunawatendea haki Wanafunzi?

    Habari wadau wa elimu ,naomba kuuliza: hivi Ni kwanini walimu tunatakiwa ku identify mwanafunzi Kama delicate entity ,na wakati unaandaliwa kuja kwenye ulimwengu ambao Ni hursh sana?. Kwasababu ukifuatilia hapa kila mtu ,Awe mfanyakazi serikalini au private ,au amejiajiri au raia wakawaida...
  13. chiembe

    Jenerali Ulimwengu: Wakosoaji hawamtendei haki Paul Kagame

    Jenerali Ulimwengu alitoa kauli hiyo wakati akihojiwa na chombo Cha habari kinachofahamika kwa jina "chanzo". Jenerali Ulimwengu aliunga mkono ukandamizaji demokrasia unaofanyika Rwanda kwa kisingizio Cha mauaji ya kimbati, ambayo hata hivyo yametokea miaka karibu thelasini Sasa. Kagame amejaza...
  14. Academic Teacher

    Sheria 12 zinazotawala ulimwengu tunaoishi

    Sheria 12 za Jumla: Jinsi ya Kuzitumia. Sheria 12 za Ulimwengu ni zipi? Sheria 12 za ulimwengu wote ni maelezo yasiyopingika ya jinsi mambo yanavyofanya kazi katika hali halisi ya anga ya saa. Sheria hizi haziwezi kuundwa au kuharibiwa. Wanaelezea tu jinsi mambo yalivyo. Sheria 12 za Ulimwengu...
  15. Legend46

    SoC03 Elimu hubadili hadhi ya ulimwengu

    Kikawaida elimu yetu iko katika mtazamo ambao unawanufaisha wachache, mtazamo wangu unagusia maeneo manne (4) ambayo yakiangaliwa na kuboreshwa basi manufaa makubwa yatakua matokeo yake. kama vile:- WAKATI WA ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI Kila kitu kinaanzia hapa ambapo kijana anaanza safari ya...
  16. Surya

    Uthibitisho wa uwepo wa roho na ulimwengu wa roho ni ndoto

    Kila mtu anapo lala usingizi kuna kitu hutokea kinaitwa rapid eye movement (REM) macho kuzunguka kwa haraka. Hutokea baada ya saa 1 hadi masaa 2 katika usingizi. Ndipo utaanza kupata ndoto au maono ambayo ni kama jambo halisi nala kawaida. Wengi wenu manapokua kwenye ndoto, ndoto hizo huja na...
  17. Mshana Jr

    Kuna ulimwengu usioonekana?

    Si wa kiroho bali uko katikati ya kiroho na kimwili na pengine huo ndio unapokea cords toka kwenye ulimwengu wa roho na kuzibadili na kuzitafsiri kwenye ulimwengu wa kimwili. Niliwahi kuripoti kituo cha polisi wiki nzima lakini hiki kituo hakikuwa halisi... Yaani kila fahamu zikinijia...
  18. Mzee wa Kosmos

    SoC03 Sehemu tajiri kuliko zote ulimwenguni, taifa tajiri la Tanzania 2050

    UTANGULIZI Miaka 7 iliyopita niliamua kufanya uchunguzi na tafiti mbalimbali kwa nini mataifa mengi sana ya afrika ni masikini pamoja na taifa letu la Tanzania. Katika uchunguzi na tafiti zangu niliamua kusoma historia ya ulimwengu wa kale,nikasoma na ulimwengu wetu wa sasa na nikasoma...
  19. Richard

    Baada ya tukio la Jumamosi, Putin, Lukashenko na Prigozhin wameuthibitishia ulimwengu kwamba wao ni "gangsters" halisi na Russia si nchi ya kuichezea

    Kwa hayo yaliyotokea Jumamosi yameithibitishia dunia kwamba Russia ni nchi kubwa, na hatari sana duniani kwa kila kitu. Pia Putin, Lukashenko na Prigozhin ni watu hatari sana na ni wale twasema "real gangsters". Prigozhin amewahi kufungwa jela kama miaka 10 hivi na akatolewa kwa msamaha wa...
  20. Kabende Msakila

    Mbowe, Lissu, Dkt Kitima, Jenerali Ulimwengu, Dkt Slaa - ni wapotoshaji kuhusu DP World?

    Taifa la Tanzania limebahatika kuwa wa baadhi ya watu wenye ushawishi ktk jamii - ingawa wakati mwingine watu hawa huweza kupotosha jamii kwa maslahi ya vyama au madhehebu yao. Hili suala DP World kuwekeza ktk bandari zetu halina hasara kwetu kama Taifa. Lina faida nyingi sana kwetu tofauti na...
Back
Top Bottom