kusoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamayu

    Hivi ni msomi mzuri wa 'sociology' au 'psychology' ndio mwenye utaalam wa kusoma tabia ya mtu na kubashiri matokeo? Je, jibu la Rais ni sahihi?

    Wakati wakiaapishwa makatibu tawala wa mikoa, Mhe. Rais Samia alisikika katika hotuba yake kuwa aliwasimamisha wakuu wa mikoa na makatibu tawala hao wa mikoa ili kusoma sura zao na kubashiri yatakayotokeoa mikoani. Alisema kwa msomi mzuri wa sociology atafahamu nini kitatokea kwa kuangalia...
  2. financial services

    Wanaotaka kuanza kusoma CPA, karibuni tushauriane

    Habari wakuu! Kwa wanotaka kuanza kusoma na waliosoma CPA karibuni mtushauri lolote, kwanza kabisa nahitaji kufahamu, 1) Intake ni mara ngapi kwa mwaka, yaani unaweza anza mwezi gani? Now tunaingia mwezi June je intake nyingine inaanza lini? 2) Vigezo vya kuanza ni vipi? Najua kuna levels...
  3. MamaSamia2025

    Tujitahidi sana kusoma vitu vinavyotupasa kusoma. Dili nzito zinakuwa kwenye maandishi na si maneno matupu

    Natumaini mko poa. Nawasalimu katika jina la Chama Cha Mapinduzi. Chama kiendelee. Leo tena nimeona niandike kuhusu jambo la kusikitisha sana ingawa linachukuliwa kikawaida. Tukiachana na hili tatizo la kuchanganya "R" na "L" kuna tabia nyingine hatari zaidi. Kama mjuavyo kwa miaka mingi nchi...
  4. GENTAMYCINE

    Wanafunzi wa Kidato cha 5 wanaanza lini Kusoma?

    Tafadhali Wizara husika na Serikali iliangalie hili tena ( Upya ) kwani Wanafunzi wa Kidato cha Tano ( 5 ) Kumaliza Shule November na kukaa Idle ( Mtaani ) mpaka July mwaka unaofuata ni Kuhatarisha sana Ustawi wao wa Kitaaluma na Kuwaathiri Kimaadili na hata Kisaikolojia pia. Kiukweli 24/7...
  5. comte

    Kwa ambao hawajaoa na kwa bahati wanajua kusoma kiingereza waraka wenu huu

    Marry now with the little you have. Don't wait to be a millionaire, Have kids early so you can grow with them. Grow with your kids and succeed with your wife. You will never finish making money or achieving your plans. You might still not succeed at your target year. So start your life early...
  6. R

    Liangaliwe upya: Si rahisi kupata 'C' kwenye Chemistry kuweza kusoma Health-related programmes

    Jedwali limetoka, C ni 60-69 out of 100. Hizi ni alama za juu kidogo kwa A level chemistry. Hili lingeangaliwa upya maana wengi watakosa sifa hiyo. Kwa shule za private inaweza isiwe shida sana, lakini za Kata shida ipo (na si kosa lao, mazingira yao ya kusoma ni shida. Wataachwa nyuma)
  7. Roving Journalist

    DAWASA wabadili siku ya kusoma Mita za Maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea na zoezi la kutoa elimu kwa wateja wake wa Jiji la Dar es Salaam na miji ya Pwani juu ya mabadiliko ya usomaji wa mita za maji na upokeaji wa bili za maji uliofanywa hivi karibuni. Hatua hiyo inatokana na mabadiliko ya...
  8. USSR

    Profesa Ndalichako: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na masomo kwa njia mbadala

    Wizara ya Elimu imesema kuwa inaandaa utaratibu wa kuruhusu wanafunzi waliobeba mimba wakiwa masomoni kuendelea na masomo kwani ni haki yao ya msingi.Haki hiyo ya msingi inatajwa kuzuiwa kipindi cha uongozi wa awamu ya tano. Profesa Joyce Ndalichako amesema haya... Kwenye upande wa watoto wa...
  9. MSEZA MKULU

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile. Hapa...
  10. The Mongolian Savage

    VIDEO: Aliyekuwa katibu mkuu CCM alivyosimamisha Msafara wake kusoma mabango

    Yeereeeeeh! Maisha yanaenda kasi sana na kubadilika ghafla. Video hapo chini aliyekuwa katibu mkuu CCM alivyosimamisha Msafara wake kusoma mabango.
  11. Rakims

    AKIKI au AQEEQ: Jiwe/kito chenye nguvu ambacho utatamani kuwa nacho Baada ya kusoma hapa!

    JIWE LA AKIKI Katika makala hii nitakuelezea kuhusu kito chenye nguvu za miujiza zilizojificha ndani yake na baraka Kito cha Aqeeq faida zake ni nyingi na kipo katika historia mbalimbali na maarufu kama pete iliyowahi kuvaliwa na Mtume Muhammad Swala Allahu 3aleyhi wasalam. Nitakuelezea...
  12. N

    Msaada: Radio Sony genezi mhc-gtr55 inasoma "please wait" au "reading" tu nikiweka flash drive. Nini tatizo wakuu?

    Habari wakuu, Radio hii Sony genezi mhc-gtr55 tangu ikiwa mpya inasoma flash ikiamua tu. Labda kuna masharti nakosea. Naweza weka flash mara hii ikasoma fasta na kucheza nyimbo. Naweza weka baadae ikawa inasoma "please wait" au "reading" kwa muda mrefu hata siku nzima. Tatizo laweza kuwa nini...
  13. mwampepe

    Naomba msaada wa mawazo nijiajiri vipi

    Habari za muda huu jamani, Kuna mtu ananiambia tatizo la mimi mwalimu kukosa ajira serikalini, nisiilaumu serikali, bali tatizo lipo kichwani kwangu kwa kuitegemea serikali inipe ajira, na kushindwa kujiajiri. Naomba msaada wa mawazo nijiajiri vipi kiasi ambacho nitaweza kukidhi mahitaji yangu...
  14. A

    Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

    Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi Aisee elimu hii jau sana.
  15. Paula Paul

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Hi, I used to think that reading was boring until I found books that really sparked my interest. Reading became important to me because it’s fun and it teaches me new things. It keeps my mind active and inshape and it makes a difference for me if I go long periods without reading books, my mind...
  16. Lusungo

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Ndugu wana JF, Kwa muda mrefu kumekuwa na masuala mbalimbali yahusuyo kujilipua (kwenda nje ya nchi) ambayo watu wanauliza mmoja mmoja kwa lemgo la kutaka msaada na ushauri namna ya kufika na jinsi ya kuanza maisha huko nje. Kutokana na kutoa msaada kwa wengi (binafsi) kwa kutumia njia binafsi...
Back
Top Bottom