Wanaotaka kuanza kusoma CPA, karibuni tushauriane

financial services

JF-Expert Member
May 17, 2017
17,144
40,725
Habari wakuu!

Kwa wanotaka kuanza kusoma na waliosoma CPA karibuni mtushauri lolote, kwanza kabisa nahitaji kufahamu,
1) Intake ni mara ngapi kwa mwaka, yaani unaweza anza mwezi gani? Now tunaingia mwezi June je intake nyingine inaanza lini?

2) Vigezo vya kuanza ni vipi? Najua kuna levels mfano foundation, intermediate na final, Je kwanini wengine waanzie foundation level na wengine Intermediate?

3)Je kuna favor yoyote kwa mtu aliyesoma masomo yenye uhasibu kidogo mfano Finance, Banking nk? Je atafanya mitihani mingapi ya foundation?

4) Gharama zake zipoje hasa?

5) Center ipi ni nzuri kwa Review Classes kwa Dar es Salaam na hata kwa walioko mikoani nk?

Karibu mshare na sisi lolote kuhusu CPA wakuu, tutaappreciate👏
 
1. Intake ni mara mbili kwa mwaka. May na November. Ila kwa baadhi ya masomo ( A5, B4, B5, C3 na C4) yana mid session i.e February na August ambapo exam fee yake pia imechangamka. Note. Code A, B and C ni ya Foundation, intermediate na final respectively.

2. Fee tembelea website ya bodi www.nba.go.tz utapata muongozo pamoja na exemptions kwa wale waliosoma business relates course. Note exemption zinalipiwa pia.

3. Kwa ambao hawakusoma masomo ya uhasibu kabisa kama Engeneer etc mfano mimi nilisoma uchumi na takwimu.. nilianzia foundation kipindi hicho 5 subjects, intermediate 5 subjects na final 4 subject. Kumbuka intermediate na final exams hakuna exemption.

4. Tution center nzuri ni wewe tu.. kumbuka ni review classes. Ila kwa Dar wajaribu hawa ambao mimi nilipita kwa baadhi ya masomo (1) Covenant (2) Eminent na ( Kwa Rashid maarufu) hutajutia hapo..

5. Karibuni wengine......

Sent from my LG-H871S using JamiiForums mobile app
 
Duuuhhh....!!? Mambo ya kishenzi tena mkuu?
Punguza jazba mkuu... Pia, ukitulia ubaweza ukatueleza story yako tukajifunza pia na wengine wadogo zetu wanaweza kujifunza kutokana na stroy yako ili wasirudie makosa ambayo uliyafanya.
🙏🙏
 
Back
Top Bottom