Wanaotaka kuanza kusoma CPA, karibuni tushauriane

Tofauti kati ya CPA na CPA-PP ni nini?
Na pia mitihani na procya CPA-PP iko vipi?
CPA-PP kirefu chache ni Certified Public Accountant in Public Practice. Kuipata CPAPP inatakiwa ufanye kazi kwenye audit firm for at least 3 years. Ukiwa CPAPP unapata mhuri wa kuruhusiwa kuwa auditor hivyo unaweza kufungua audit firm yako.

Huwezi kuwa CPAPP bila kwanza kuwa na CPA. Ukishapata CPA ndio unatakiwa kuajiriwa kwenye audit firm for at least 3 years ili uweze kuwa cpapp.
 
CPA-PP kurefu chache ni Certified Public Accountant in Public Practice. Kuipata CPAPP inatakiwa ufanye kazi kwenye audit firm for at least 3 years. Ukiwa CPAPP unapata mhuri wa kuruhusiwa kuwa auditor hivyo unaweza kufungua audit firm yako. Huwezi kuwa CPAPP bila kwanza kuwa na CPA. Ukishapata CPA ndio unatakiwa kuajiriwa kwenye audit firm for at least 3 years ili uweze kuwa cpapp.
Shukrani sana mkuu kwa maelezo yaliyonyooka.
 
Hahahahaha....!!
La saba mjanja mjanja mwenye uzoefu wa muda mrefu, kipi kitamshinda mkuu?
La saba huwezi kuruhusiwa kusoma CPA, hata form four kama hana ufaulu wa hesabu na English hawezi kusoma CPA. Kwa Tanzania CPA wameirahisisha sana vigezo vya kuingia, kwa nchi kama South Africa ambako inaitwa CA (Chartered Accountant) minimum entry requirement ni degree ya uhasibu tu yaani iwe uhasibu pure ambayo ni financial accounting.
 
CPA-PP kurefu chache ni Certified Public Accountant in Public Practice. Kuipata CPAPP inatakiwa ufanye kazi kwenye audit firm for at least 3 years. Ukiwa CPAPP unapata mhuri wa kuruhusiwa kuwa auditor hivyo unaweza kufungua audit firm yako. Huwezi kuwa CPAPP bila kwanza kuwa na CPA. Ukishapata CPA ndio unatakiwa kuajiriwa kwenye audit firm for at least 3 years ili uweze kuwa cpapp.
Kwa kuongezea
Kuna seminars zinaandaliwa na bodi Kila mwaka, kwa mwaka unatakiwa kuhudhuria seminars angalau 4 (sina hakika na idadi). Wakati wa kuomba muhuri wako bodi wataangalia na idadi ya seminars ulizohudhuria

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
CPA-PP kurefu chache ni Certified Public Accountant in Public Practice. Kuipata CPAPP inatakiwa ufanye kazi kwenye audit firm for at least 3 years. Ukiwa CPAPP unapata mhuri wa kuruhusiwa kuwa auditor hivyo unaweza kufungua audit firm yako. Huwezi kuwa CPAPP bila kwanza kuwa na CPA. Ukishapata CPA ndio unatakiwa kuajiriwa kwenye audit firm for at least 3 years ili uweze kuwa cpapp.
Ahsante kwa madini muhimu Konda, i wish kuwa CPA-PP
 
Umevuka madaraja mangapi hadi ufike level hiyo? Ni msomi ndiyo kwa sababu ukiipata kwa muajiri wako wewe ni KINGUNGE mwenye maslahi mazuri. Hongera sana ninayo ndiyo na ikanifungulia milango mingi. Namshukuru Mwenyezi Mungu 🙏🏾
Haahaa kusoma CPA ndiyo kuwa msomi? Haya ahsante kwa ushauri mkuu vipi wewe ulishasoma na kupata hiyo CPA?
 
Umevuka madaraja mangapi hadi ufike level hiyo? Ni msomi ndiyo kwa sababu ukiipata kwa muajiri wako wewe ni KINGUNGE mwenye maslahi mazuri. Hongera sana ninayo ndiyo na ikanifungulia milango mingi. Namshukuru Mwenyezi Mungu 🙏🏾
Ni kweli ni levels nyingi tumepita tangu nursery hadi chuo si mchezo. Hongera kwa kuwa CPA-T mkuu, how i wish too😋
 
CPA-PP kurefu chache ni Certified Public Accountant in Public Practice. Kuipata CPAPP inatakiwa ufanye kazi kwenye audit firm for at least 3 years. Ukiwa CPAPP unapata mhuri wa kuruhusiwa kuwa auditor hivyo unaweza kufungua audit firm yako. Huwezi kuwa CPAPP bila kwanza kuwa na CPA. Ukishapata CPA ndio unatakiwa kuajiriwa kwenye audit firm for at least 3 years ili uweze kuwa cpapp.
Kwahiyo hiyo CPAPP unapewa tu baada ya kufanya kazi kwenye Audit firm miaka 3 au utatakiwa kuisomea kwanza kama ilivyo kwa CPA ?
 
Hapana hauisomei tena. Hiyo CPAPP ni kama kupata experience tu kabla hujawa licensed auditor. Kuna form utakayokuwa unaijaza kila mwaka na kuituma NBAA inayo-monitor kama kweli upo kwenye audit firm na unafanya hizo kazi za ukaguzi.
 
La saba huwezi kuruhusiwa kusoma CPA, hata form four kama hana ufaulu wa hesabu na English hawezi kusoma CPA. Kwa Tanzania CPA wameirahisisha sana vigezo vya kuingia, kwa nchi kama South Africa ambako inaitwa CA (Chartered Accountant) minimum entry requirement ni degree ya uhasibu tu yaani iwe uhasibu pure ambayo ni financial accounting.
Ahsante mkuu kwa maelezo mazuri, kuna mtu aliwahi nipotosha kuwa hata darasa la saba anaweza ku enroll kwenye CPA
 
Back
Top Bottom