Habari wana jamvi,
Serikali ya Marekani kwa mara nyingine tena imetoa fursa kwa watanzania kwenda kufundisha lugha ya kiswahili nchini Marekani kwa kipindi cha mwaka mmoja, ukipata nafasi hii basi utaenda kufundisha katika chuo kikuu,
Hii ni njia nzuri kwa wale wanaopenda kutoka nje ya...
Yani inauma sana hawa wakenya wanajua kutembelea code za Tanzania kwenye fursa zilizopo hapa. Kumbuka Kenya asilimia kubwa imejaa kikabila kuongea na ndio maana lugha yao kubwa ni Kingereza ila suala la kujitangaza kiswahili kipo kwao wameshinda hili.
Nimeshangaa fursa hii tumeshindwa kupeleka...
What is the etymology of the Swahili words you are coining? The science of the origin of the words you are coining ni ipi?
Mfano, Akili Mnemba, Mnemba etymology yake ni ipi?
Mfano, in English, Tele means FAR, and PHONE means sound, therefore TELEPHONE means FAR SOUND ie one can hear a sound...
Kirefu cha ACT WAZALENDO ni neno la kiingereza. Sisi Watanzania ni waswahili ni wakati muafaka Chama chenu kiwe kama CCM (CHAMA CHA MAPINDUZI) au CHADEMA(CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO).
Jifunzeni kutoka kwa Vyama hivyo viwili. Sisi siyo Waingereza. Lini mtu wa Kibondo atajua maana ya...
Jana nilifika katika ofisi za BAKITA (Taasisi ambayo inabeba dhamana ya lugha ya Kiswahili inayotuunganisha sisi kama Watanzania). Nilichokiona kimenisikitisha sana.
Nilihitaji kupatiwa huduma ya Tafsiri cha ajabu niliambiwa hakuna umeme ofisi nzima (kutokana na mgawo ambao unaendelea nchini...
Habari.
Natafuta mtu anayesomea Shahada ya Kiswahili UDSM anipe msaada wa uchambuzi wa vitabu fulani vya Kiswahili. Ni Muhimu awe mwanafunzi maana kazi tutaifanyia chuoni.
Naomba aniDM.
THE GRANDPA THAT NEVER GREW UP
Kabla hujasoma kilichoandikwa ni muhimu kwanza umjue msanii Cher na sherehe za Pride
Cher ni msanii mkongwe ambae ana mchango mkubwa sana kwenye itikadi za kuhalalisha mapenzi ya jinsia moja, Harakati zake zilianza kipindi cha miaka ya 60 kipindi ambacho...
Position: History and Kiswahili Teacher (O-Level)
About us
The School of St Jude is a pioneering leader in charitable education within Africa. Every year we give 1,800 students with free, quality education, 100’s of graduates with access to higher education and provide more than 20,000...
Heri ya mwaka mpya wadau
Mimi ni Mwalimu wa Kiswahili kwa Wageni na nimethibitishwa na Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) mwaka 2019. Nina uzoefu wa miaka miaka 7 na nimefundisha wageni katika taasisi mbalimbali zikiwemo za kitaifa na kimataifa. Pia nimeshiriki kuweka kozi ya kiswahili kwa...
Rais Biden amesema ni Wajibu wa Marekani kuisaidia Israel hadi kundi la Hamas litakapoangamizwa kabisa na kubakia raia Wema wa Palestine
Biden amesema ana hakika mwisho wa Magaidi wa Hamas umefika
Source BBC news
Waziri Tabia Mwita Afungua Kongamano la Saba la Kiswahili la Kimataifa (Kiswahili na Diplomasia Duniani)
Serikali ya Zanzibar imesema lugha ya kiswahili ina mchango mkubwa katika kukuza diplomasia ya uchumi hivyo ni wajibu kwa taasisi zinazofundisha lugha hiyo kuongeza kasi ya kuikuza na...
Ni mjadala wa miaka mingi, lakini bado muafaka haukafikiwa.
Kuna wanaotaka Kiswahili kitumike kufundishia kuanzia Chekea Hadi Chuo Kikuu, na kuna wanaotoka English iwe lugha rasmi ya kufundishia madarasa yote.
Mimi nakubaliana na wanaotaka Kiingereza ndiyo kitumike?
Kwa wale wanaotaka...
Ndugu zangu kuna Msukuma anakijua vizuri zaidi basi please:
Umo wing'we anambeleje kutafsiri Lugano lwenulu na mambo gose du.
Tusaidiane tafadhali wasukuma. Nitumie tafsiri yake kupitia 0734189022 tafadhali
The DEDE legend: Sukuma tradition
""Lugano lwa DEDE, lwa kabili:
Dede 1 Kimala...
Hivi hakuna mamlaka inayosimamia na kuchuja kiasi cha uongo kilichomo kwenye movie ya kiingereza zinazotafsiriwa kwa Kiswahili humo kwenye mabasi nimemsikia akisema?
My pleasure = hamna shida
Let us go = nenda nyumbani
How! = Wapi sasa
TANZANIA KUWASILISHA OMBI CAF MATANGAZO YA KISWAHILI
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatarajia kuwasilisha ombi la kurusha matangazo ya mechi zitakazochezwa katika...
Kuna makosa mengi yanajitokeza katika uandishi ambayo ni makosa ya kuunganisha maneno kana kwamba ni neno moja ilhali ni maneno mawili tofauti na yenye uamilifu tofauti.
Mfano wa maneno hayo ni kama;
Nakadhalika badala ya Na kadhalika.
Halikadhalika badala ya Hali kadhalika.
Kwanini badala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.