What is the etymology of the Swahili words you are coining? The science of the origin of the words you are coining ni ipi?
Mfano, Akili Mnemba, Mnemba etymology yake ni ipi?
Mfano, in English, Tele means FAR, and PHONE means sound, therefore TELEPHONE means FAR SOUND ie one can hear a sound...
Hakuna maana yoyote ya kijinadi kama taifa la Kiswahili kama kwenye vyombo vyetu vya habari vinakuwa na makosa mengi kwenye matamshi ya Kiswahili.
Au la basi mmoja wa Watangazaji anayekidhi vigezo apate ithibati ya Baraza. Walau kwa vile vituo vya rediuo vyenye Wasikilizaji wengi.
Kazi yake...
Nimeshangaa kusikia eti wanaojiita wataalam wa Kiswahili wakisema kwamba Tafsiri ya neno ‘Decoder’ ni ‘Kisimbuzi’, huo ni uongo wa wazi kabisa.
‘King’amuzi’ ni neno lililonyumbuliwa kutoka kwenye neno ‘ng’amua’ , kung’amua maana yake ni ‘Ku-decode’ , na hivyo kitu kinachofanya hiyo kazi ya...
BARAZA la Kiswahili Taifa (BAKITA) limeonya matumizi ya maneno “Famchezo nini, Famasihara nini, na Fautani nini” yanayotumiwa na watu katika majukwaa mitandaoni likisisitiza kuwa maneno hayo sio fasaha wala sanifu.
Limeshauri watumiaji wa Kiswahili kutumia maneno “Unafanya mchezo nini, Unafanya...
Huu ni mfano mdogo tu unaoonesha hatujui tunachokifanya kielimu!
Tazama majina ya sayari kwa kingereza halafu ulinganishe na kiswahili chake, huu ni mzigo kwa watoto lakini hatuoni kama taifa!
Miaka saba asome majina kwa Kiswahili halafu tena kitu kilekile aje aanze upya kukisoma secondary...
KESHO ISIYOFIKA
“Unasikia midundo iyoo Chris!!? Yule Shayo mgombea wa PMP amekuja bwana!” Madokola, alimshtua Chris kwa kelele maana kwake yeye alidhani Chris alikwishazama katika ndoto na usingizi mzito.
“Naamka aisee!” alijibu Chris kwa sauti ya chini “Kwani watu wamekwisha jaajaa uwanjani?”...
SABABU ZA KUKUA KWA LUGHA YA KISWAHILI KIMATAIFA NA KUDUMAA NCHINI
Kiswahili ni Lugha inayozidi kukua barani Afrika na duniani kote kadri siku zinavyozidi kusogea hili likidhihirishwa na maboresho na mabadiliko ya mitaala ya elimu katika mataifa mbalimbali barani Afrika ili kutoa mwanya wa...
Sensa ina mambo mazuri. Nimeona KISHIKWAMBI likimaanisha Tablet. Sasa hili neno mmelitoa wapi? Etymology ya Kishikwambi ni ipi? Au unaamka unafikiri kineno chochote basi unaita Tablet
Mfano, Tablet: Etymology. From Middle English tablet, from Old French tablete (Modern French tablette)...
POST
MSANIFU LUGHA DARAJA II - 1 POST
EMPLOYER
Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA)
APPLICATION TIMELINE:
2022-06-14 2022-06-27
JOB SUMMARY
NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kusaidia kufanya kazi za utafiti kuhusu istilahi za masomo mbalimbali;
ii. Kukusanya na kuchambua istihali...
Kutokana na mwendelezo wa baadhi ya watu kutumia 'graphics' za Baraza la Kiswahili Taifa (BAKITA) na kutumia kuweka maneno yao kisha kuandika maana potofu katika Lugha ya Kiswahili, baraza hilo limekuja juu.
Haji Manara ni mmoja wa watu maarufu ambao walitumia ufundi kama unaotumiwa na BAKITA...
BAKITA LIVUNJWE IUNDWE TAASISI NYINGINE YA KUSHUGHULIKIA LUGHA NA UTAMADUNI WA KISWAHILI.
Baraza la kiswahili Tanzania liliundwa kwa sheria ya bunge tangu mwaka 67 likiwa Na majukumu mbalimbali ya kushughulikia kiswahili.
Baraza hili limepitia mafanikio kadha wakadha katika utekelezaji...
Huko twittani nimekuwa nakumbana na post mbalimbali za Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA). Inaonyesha wanaongeza kasi ya kuonekana katika mitandao. Nawapongeza kwa hilo.
Tatizo moja ninaloliona ni kuwa kila mara nikiziona post zao, mara moja nadhania ni habari kutoka Mamlaka ya Mapato, TRA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.