Search results

  1. Pdidy

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatetea Palestina tu, halioni yanayoendelea kule Congo?

    Kati ya vitu sitaki kusikia ni vikao visivyo na tija vya baraza la usalama la UN. Nimewaza hawa jamaa kila siku vikao nani anawalipa hizo perdiem na matumizi mengine. Hawa mabwana wanaona Palestina tu pale Congo wamekufa watu kama nzi kimya kabisa. M23 imewashinda mtaiweza Israel kweli...
  2. Pdidy

    Airtel muache hii tabia, haipendezi

    Hili jambo nimejaribu kuongea na jamaa wa 100 nikajua watabadilika Sasa sijui ni X wangu yuko airtel anafanya haya Yaani na wiki ya pili natumiwa Meseji ya bundle lako limeisha tafadhali. Saa saba usiku mpaka saanane na robo Nimewaza sana n mm pekee ama n wote? Sasa hamwoni huu mda mnaweza...
  3. Pdidy

    Hii ni hali ya Rainbow Beach Serikali ya Mtaa safishen hili eneo limejuwa hatarishi kwa uchafu

    Kuwa uone mengi Hii ni sehemu ya Rainbow Mbezi Beach ambapo watu mbali mbalihuuja kupumzika na wengine hufanya mazoezi kukimbia magonjwa hatarishi Kwenu serikali za mitaa Mbezi Beach embu tuache siasa tusaidie kulisafisha na kutunza eneo letu hili la siku nyingi.
  4. Pdidy

    Mwanafunzi wa Upadri aliyejinyonga Tanga atazikwa kikristu?

    Huu mwezi wa majanga ya kujinyonga tu, kaanza Askofu, kafata mwanafunzi akisomea upadre amebaki masister nao mjihadhari na hii roho mtaumbuka. Nimeona huyu askofu amezikwa kikristo baada ya kujinyonga. Swali langu, roman catholic kutokana na sababu za dogo kujinyonga zinaeleweka nae mtamzkka...
  5. Pdidy

    Mkifanya maombi jihadharani kutaja Gadi, Mungu ni God

    Hasaa wale mnaopenda kusali kizungu, maombi mengine hamjibiwi kutokana na kuomba kwenu. Unasikia mtuu dear Gadi, help m uvwxyz Gadi, please dear Gadi. Maombi mengine mnapeleka kwenye kampuni za walinzi. Mnamaliza mnajua Mungu amewasikia, mnaanza kumlalamikia Mungu hajibu maombi kumbe wewe...
  6. Pdidy

    Azam inataka Simba iwe ya pili huku Simba ikitaka Feitoto achukue kiatu cha ufungaji. Unafikiri nini kitafuata?

    Mpira ni anasa kweli kweliii. Huku Azam wakitamani Simba awe wa pili, simba nao wanatamani Feitoto achukue kiatu cha dhahabu ampite Azizi Ki. Ni mechi nzuri itakayoamua uhalisia nini kiendelee kwenye ligi hii na mwisho nini kimalizike.
  7. Pdidy

    Kumbe kombe lao

    INAONEKANA HII MICHEZO YA KUNYAKUA JUMLA YANGA INAIMUDU SANAA 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗞𝗨𝗣𝗘𝗪𝗔 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗘 𝗝𝗨𝗠𝗟𝗔 Kwa mujibu wa kanuni za ligi kuu. ✨ Yanga SC watakabidhiwa kombe hili JUMLA JUMLA na kuliweka kabatini. Wadhamini wakuu (NBC) na bodi ya ligi watachongesha kombe lingine la namna hii baada ya klabu hiyo...
  8. Pdidy

    KKKT mbona roman catholic hawaangaiki na hao wa mafuta mahubiri yenu kila siku vs mafuta si nanyie muanze uza mafuta?

    Yaani imekuwa kama keroo sasaa mnafanya wengine tusiende makanisan Yaan kuna viongozi kila ukisikia ibada mahubiri yao 50 perc wanaanza kukandia wach wa mafuta sijui mkaa sijui majivu ooh mtanyeshwa, Kwa nini msichukue mda kufundisha neno la Mungu waelewe wapone Mbaya. Mnalalamika...
  9. Pdidy

    Wapangaji wananila chabo msaada?

    Chabo vyuoni wanaita deo, yaani nimeleta wapangaji hawana miezi miwili ikifika saa sita naanza kuhondomola shemeji yenu nasikia kama panya anakwaruza ukuta. Mwanzo nkavumilia nkahisi pakaa sasa asbh ya leooo niliposikia nikampanga mke apige makelele ya mapenzi gafla nasikia dirisha...
  10. Pdidy

    Sheria ya Kikristo inasemaje kwa mtoto wa nje ya ndoa?

    Habari za uzima, naamini mmeamka salama, wale walio na magonjwa Allah akawape wepesi na mlio hospitali Mungu akawape wepesi pia mtoke huko, sio kuzuri na hakuzoeleki. Rejea kichwa cha habari hapo juu, wenye ufahamu - mzazi wa kiume akifa watoto wa nje kwa dini ya kikristo wanarithi?
  11. Pdidy

    Msemaji wa Simba kaamua kukaa kileleni yeye mwenyewe

    Tafadhali, Usifungue kama ukoo chiini ya miaka 18 🔞 unaweza cheka ukakosa nguvu.
  12. Pdidy

    Ndoa zina mambo kha!

    Wanasema imani n kuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo n bayana ya mambo yasioonekana Dah nnina dada yangu kaolewa kama mwez umepita jana kapiga mumewe kahamishiwa dodoma.... Hapo tuna mwingine kaolewa toka mwakajuzi mume anaishia songea mke dar na wanae Jamaa anakuja kukagua kama anachukua...
  13. Pdidy

    Safari hii Yanga atuendi bungeni naona wabunge watatuchoka kila mwaka

    Najua mtatuchoka lakini hakuna jinsi ndio Yanga tamu Tunaomba tukicheza na Dodoma tualikwe hata nje tu bungen tupate chai na spika na pongezi zenu
  14. Pdidy

    Mwendokasi za Mwenge-Tegeta-Bunju zitakuja lini?

    Rejea kichwa cha habari hapo juu, naomba kuuliza hivi wanaleta lini mwendokasi maeneo haya? Ahsanteni sana.
  15. Pdidy

    Ikitokea ajali tunaambiwa dereva ametoroka na anatafutwa, kwanini mkiwapata hamtuambii?

    Yaan hizi taarifa nikisiaga nafungaga simu. Sijawahi sikia dreva anasababisha vifo amekamatwa. Nasikiaga tu dreva anatafutwa. Ushauri mkiwapata mtuoneshe pia amekamatwa hasa hawa wanaobeba wasomali na waethiopia, unasikia dreva amekimbia na watu waliokuwepo. Wakipatikana mtujuze basi.
  16. Pdidy

    Yanga impekele Okra Ihefu akajifunze zaidi

    Kuna ambao wanajiuliza mbona hatumuoni ndugu yetu. Kweli kuna shida sana. Sasa Yanga cha kufanya mpelekeni Ihefu akapambane akimaliza mkataba wake mpeni thank you.
  17. Pdidy

    Hivi hizi simu wanazonunua mbovu zinaenda wapi??

    Nimejaribu sana kuwaza hilo swala wale watu wanapita na makelele majumbani tunanunua simu mbovu shida nini na zinaendaga wapi zikinunuliwa?? Tulishazoea chuma chakavu. Pesa mbovu. Hivi sasa wananunua na simu mbovu aisee. Majuzi niko bar naona mtu na mkewe wana sumaku mkononi wanaokotaaa...
  18. Pdidy

    Barabara ya lami Kimara Bonyokwa inaanza lini watu wamevunjiwa majumba yao mkasema Aprili sasa Mei

    Kuuliza si ujinga. Nakumbuka mara ya pili walitangaza kujenga barabara Ubungo Kimara. Watu waoga wakavunja mpaka leo hii ile njia haijajengwa. Sasa kuna hii njia ya kmr bonyokwa tunapenda sana mafanikio jamani. Tukafurahia mno ghafla tukaona malori madubwasha ya kuvunja na kukwangua njia...
  19. Pdidy

    Mkude ana nyota ya Kisinda

    Kati ya wachezaji wenye bahati ni mkude. Yaani wakati Simba wanamwona wa nini Yanga watamtaka lini Dili ikatimia kijana anabeba makombe hivi sasa. Likewise ndugu yetu kaka yetu kisinda wa Berkane alikuja Yanga. Kila mtu akaongea yakee baana imetoshasasaà arudi alipotoka. Kisinda anacheza...
  20. Pdidy

    Hii bodi ya TFF nashauri ijiuzulu baada ya ligi imetuchosha

    Baada ya yanga kuchjkua ubingwa. Wa nbc Nashauri hii bodi ichukue mda kujitafakari ijiuzulu tu Wasione aibu kwa yale yalioendelea kwenye hii ligi huu mwaka n kichefuchefu Pia mabosi wa waamuzi wote washauriwe kujiuzulu. Tumechoka sana yaan marefa wanaingia na matokeo uwanjani na kukataa...
Back
Top Bottom