Search results

  1. N

    Serikali ya Tanzania inapaswa kuilinda sana nch ya Burundi

    MPANGO WA RWANDA KUITAWALA BURUNDI ILI KUINGIA KONGO KUPITIA ZIWA TANGANYIKA NA NAFASI YA SERIKALI YA TANZANIA KATIKA MEDALI ZA UJASUSI NA INTELIJENSIA UKANDA WA ZIWA TANGANYIKA BY LUGETE MUSSA LUGETE. "Ndugu Mheshimiwa Rais tunapaswa kuilinda Burundi kwa hali na mali ili isiangukie mikononi...
  2. N

    Nimepigwa tena na mke wangu nimeunguza mboga na kuchelewa kurudi nyumbani, kweli hii ni kanda ziwa

    Wakuu jana maana kukutana na yule demu muathirika wa virusi.vya ukimwi niliamua kurudi kimya kimya maskani ila mke wangu sikumkuta kumuuliza dada wa kazi akaniambia ameelekea mwanza tokea jana daah nilishukuru sana maana ningemkuta ama hakika angenivunja miguuu na ukizimgatia jana ilikuwa zamu...
  3. N

    Nimekuja kugundua kumbe mwanamke niliyefanya nae mapenzi jana kumbe ni muathirika wa virusi vya ukimwi( V.V.U)

    Huu upwiru utakuja kutuua jamani aisee tunapaswa kuwa na tahadhari wakati huu wa ujana wadau ama kweli ujana ni kaa la moto wakuu ukiuvhezea vibaya utakuja kujuta uzeeni kiukweli yaliyonikuta jana ni habari nyingine wakuu mniombeea Jana maeneo fulani ya Binyampola hapa Kahama nilienda zangu...
  4. N

    Nimepigwa na kufungiwa ndani ya nyumba na mke wangu

    Wakuu samahanini kwa mada zangu za kuhusu mapenzi aisee ila kusema za ukweli mapenzi yananiumiza sana hivi wanaume wenzangu mnafanyeje ili kukabiliana na hali hii? Sasa leo wakuu nimepigwa na kufungiwa ndani na mke wangu aisee, kisa cha kunipiga ni kumuuliza kwanini unachelewa kuamka na kwanini...
  5. N

    Baada ya kumuacha mke wangu amelia sana, naanza kumuonea huruma, nifanyeje?

    Wakuu naanza kumuonea huruma huyu mke wangu baada ya kumpiga chini sasa amenza kulia na kusaga meno yaani napata na huruma aisee na mimi naanza kulia na kusaga meno nakumbuka zile moment lakini moment nyingi zilikuwa za mimi kupigwa,kuchambwa na kutukanwa aiseee lakini sio kesi Wakuu nifanyeje?
  6. N

    Mchumba wangu kaniambia "Mimi ni mzuri bwana nitaolewa na mwanaume wowote yule tena kwa mahari juu"

    Huyu mwanamke sasa anakoelekea nampiga chini kimya kimya na kumpotezea mazima japo nimetoa mahari kubwa aisee kwanza kwenye uchumba ndugu zake walikuwa waongo waongo sana just imagine mpaka leo sijawahi kuona call yoyote ile kutoka kwa mzazi wake wala ndugu yake yoyote yule je likitokea tatizo...
  7. N

    Kumbe kuna watu wanaenjoy kwenye ndoa? Nawachukia sana! Nasumbuliwa na post traumatic syndrome I hate all woman even my sister

    Nachukia ndoa na wala sipendi watu wanaofurahia ndoa zao na wala nawachukia those people who start to establish relationship na kwamba ndoa ni utapeli na kupotezeana muda tu and I hate those woman even my sister I hate too Nasumbuliwa na post traumatic syndrome yaani ambapo nikitaka kuoa au...
  8. N

    Najuta kuoa mwanamke kutoka kanda ya ziwa, aisee najuta indeed!

    Kwanza vijana ambao hamjaoa please ukitaka kuoa jaribu kuoa karibu na zone.yenu au nyumbani kwenu kabisa kuliko.kuoa.far away na.pia ukitaka kuoa mwanamke sahihi ni mwenye hofu ya mungu kabisa aisee Yamenikuta nilioa mwanamke kutoka kanda ya.ziwa.huko.wale.waupeee na wanao nyoa fanki wale aisee...
  9. N

    Hatimaye barua imefika Ikulu kwa Rais kuhusu balozi mteule Jen. Patrick Nyamvuba wa Rwanda nchini Tanzania

    Habari Ndugu zangu? Naitwa Lugete Mussa Lugete mchambuzi wa siasa za Kimataifa, Mwanahistoria na Mwanamajumui wa Afrika. Nachukua nafasi hii kuwapongeza wasomaji wangu wote kwa sababu Barua yangu kwa Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kuhusu Balozi mteule wa Rwanda nchini Tanzania Generali...
  10. N

    Elimu ya Tanzania ina shida gani? Eti Physics, Kiswahili na Geography nayo ni combination moja

    Lengo ni nini? Haya maamuzi yamefanyika kwa kushirikisha wataalamu kweli? Tunakusudia kujenga taifa la aina gani? Mtu akisoma Physics, Kiswahili na Economics (PKE) anaadaliwa kuwa nani? Au anayesoma Chemistry, Comerce na Mathematics (CCM) mnamuandaa kuwa nani kama sio kuwa chawa? Nadhani idadi...
  11. N

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    BARUA YA WAZI KWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KASHFA MBALIMBALI ZA BALOZI MTEULE WA RWANDA NCHINI TANZANIA GENERALI PATRICK NYAMVUMBA. Ndugu Mheshimiwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan nakusalimu na kukupongeza kwa sababu...
  12. N

    Utekaji umeanza tena? Imam Mkuu wa msikiti wa GPB Geita atekwa

    TAARIFA KWA UMMA WA KIISLAMU. Jana Tulipokea Taarifa ya kutekwa kwa Ustaadh Abdulrahmaan Imam mkuu wa msikiti Wa GPB Shell Mtaa wa Nyankumbu Mji wa Geita. Imam Abdulrahmaan Alitekwa akiwa anatoka msikiti kuswalisha Taraweh akiwa Ameambatana na mtoto wake wakiume. Akiwa njiani aliitwa na watu...
  13. N

    Hizi media house zinazopiga kwaya asubuhi hawaoni kuwa ni udini? Wakristo wengi tunachukizwa sana

    Nyie media house ambao kutwa adubuhi na mapema mnaanza na kupiga kwaya za kikristo mnatukera na mnatuchukiza sana sie wakristo na tunaona huo ni.udini mkubwa sana kwanini hata siku moja moja mkaweka mawaidha mtapungukiwa nini? Hamuoni huo ni udini Sisi kanisa ni mwanzo na mwisho kuanzia leo...
  14. N

    Eti sikukuuu ya wanawake! Ina manufaa gani kwa wanawake walio vijijini?

    ACHANENI NA HIZI SIKUKUU. NI MIRADI YA WATU Mimi mamaangu sikuwahi kumuona akisherehekea siku hii. Wala Sijaona jinsi sikukuu hii ilivyomsaidia mwanamke au msichana kijijini. Kila mwaka ni wajanja wa mjini tu. Anyway, hii sikukuu haiko peke yake. Mara sikukuu ya vitaulo, viziwi, albino, n.k...
  15. N

    Mwinyi ndiye Rais bora kuwahi kutokea katika Taifa hili, anaondoka wala hatuna kinyongo nae

    Tafakuri Jadidi: Mzee Mwinyi Anaondoka Na Hatuna Kinyongo Nae.. "Kila zama na kitabu chake"- Ali Hassan Mwinyi. Na leo Watanzania zimetufikia habari za kuhitimishwa kwa Sura ya Mwisho ya Kitabu Cha Mzee Mwinyi. Ameifariki Dunia. Umma umegubikwa na simanzi. Mzee Mwinyi tulimpenda sana. Naam...
  16. N

    Hauwezi kutaja historia ya Lowassa bila kuitaja Chadema vile vile hauwezi kutaja historia ya Chadema bila kumtaja Zitto Kabwe

    Bila unafiki na wala kupepesa macho ukweli usemwe tu Zitto Kabwe ndiye role model wa vijana wengi sana kuingia kwenye Siasa yaani kile kipindi ambacho Zitto yuko kwenye prime yake vijana wengi sana walivutia kuingia kwenye Siasa na sio vijana tu hata wazee walikuwa wanaelewa jamaa alichokuwa...
  17. N

    Hii nchi ina mambo ya ajabu sana! Eti wanapima uzalendo kwa mtu kuteseka

    Kuna picha moja inatend ya mmoja wapo wa mtumishi wa Afya akiwa amebeba vaccine carrier kwa maana chanjo akivuka mto kwenda kutoa chanjo. Ile picha imenifikirisha sana kwanza yule mtumishi wa Afya ni mpumbavu,mjinga na hajielewi yaani unavuka kwenye mto ili iweje? Je, haoni hatari ilioje? Na...
  18. N

    Sina furaha kwenye ndoa yangu, nahisi nilikurupuka

    Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa. Yaani sina furaha kabisa wakuu yaani najuta kuoa mwanamke wa chop money yaani yeye ni kula...
  19. N

    Hata mchungaji wangu simuamini

    Kwenye safari ya kwenda mbinguni, hata mchungaji wangu simuamini. Simuamini kila mtu anayesema BWANA BWANA BWANA. Ishu ya kwenda mbinguni ipo ndefu sana. Nawakumbusheni, hao wachungaji, mashehe ni binadamu kama wewe, wanakwenda chooni, wanakula, wanakasirika, wanafanya dhambi na kadhalika...
  20. N

    Niliachana na ajira nikaingia kwenye kilimo, na kweli mambo yamejipa

    Yule aliyesema ajira ni uti wa mgongo aisee hakukosea hata kidogo na kiukweli kilimo nitakiheshimu na nitazidi kukiheshimu kusema za ukweli ukubali au ukatae Baaada ya kuachana na ajira niliingia kwenye kilimo maeneo ya Mpanda mkoani Katavi.Nilienda kufanya kilimo cha mpunga. Aisee kilimo...
Back
Top Bottom