Nimekuja kugundua kumbe mwanamke niliyefanya nae mapenzi jana kumbe ni muathirika wa virusi vya ukimwi( V.V.U)

Nesi mkunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2022
701
1,873
Huu upwiru utakuja kutuua jamani aisee tunapaswa kuwa na tahadhari wakati huu wa ujana wadau ama kweli ujana ni kaa la moto wakuu ukiuvhezea vibaya utakuja kujuta uzeeni kiukweli yaliyonikuta jana ni habari nyingine wakuu mniombeea

Jana maeneo fulani ya Binyampola hapa Kahama nilienda zangu kuosha rungu kwa sababu bado ni shida na wife wangu hatujakaa sawa kitu kinachopelekea kuninyima unyumba na kuniongelea maneno ovyo kitandani. Sasa bwana wakati naenda pale kuna pisi nikaiona wakuu sasa bwana si ndiyo nikaipiga sound?

Pisi ikajaa kabisa niakenda kumnunulia pombe pale amekunywa weee mishale ya saa sita nikaondoka nae na ndinga yangu ya prado tx mchaga mpaka lodge kwa jina x pale per day 150,000 sasa bwana mimi si kwasababu ya upwiru? Nikamvamia pale mbaya zaidi nilimpakia mkongo eti ili kumkomoa bwana wewe nimepiga mshindo wa goli 8 jana wakuu

Baadae baada ya kukulana leo nimemuita hapa hospital ili tupime afya nikampima na sd bioline ikaonesha mistari miwili aisee nilishituka ila demu ananiangalia fresh nikaona sio isiwe nikampima na unigold kitu ikasoma aisee kwamba binti ni positive aiseee moyo ulilipuka na ukaenda mbio nikajikuta nimetandikiwa na ringer lactate hapa hapa hospital lengo wani resuscitate nimeamka nimekutana na pep ila mimi nakataa kunywa
 
Jana maeneo fulani ya binyampola hapa kahama nilienda zangu kuosha rungu kwa sababu bado ni shida na wife wangu hatujakaa sawa kitu kinachopelekea kuninyima unyumba na kuniongelea maneno hovyo kitandan. Sasa bwana wakati naenda pale kuna pisi nikaiona wakuu sasa bwana si ndiyo nikaipiga sound?

Pisi ikajaa kabisa niakenda kumnunulia pombe pale amekunywa weee mishale ya saa sita nikaondoka nae na ndinga yangu ya prado tx mchaga mpaka lodge kwa jina x pale per day 150000 sasa bwana mimi si kwasababu ya upwiru? Nikamvamia pale mbaya zaidi nilimpakia mkongo eti ili kumkomoa bwana wewe nimepiga mshindo wa goli 8 jana wakuu

Pole sana kiongozi
 
Kataaa kuinywa leo utakuja kuikumbuka miez 3 mbele na haitakuwa na msaada tena. Meza hiyo kitu kama kweli hili tukio ni la kweli
 
Huu upwiru utakuja kutuua jamani aisee tunapaswa kuwa na tahadhari wakati huu wa ujana wadau ama kweli ujana ni kaa la moto wakuu ukiuvhezea vibaya utakuja kujuta uzeeni kiukweli yaliyonikuta jana ni habari nyingine wakuu mniombeea

Jana maeneo fulani ya Binyampola hapa Kahama nilienda zangu kuosha rungu kwa sababu bado ni shida na wife wangu hatujakaa sawa kitu kinachopelekea kuninyima unyumba na kuniongelea maneno ovyo kitandani. Sasa bwana wakati naenda pale kuna pisi nikaiona wakuu sasa bwana si ndiyo nikaipiga sound?

Pisi ikajaa kabisa niakenda kumnunulia pombe pale amekunywa weee mishale ya saa sita nikaondoka nae na ndinga yangu ya prado tx mchaga mpaka lodge kwa jina x pale per day 150,000 sasa bwana mimi si kwasababu ya upwiru? Nikamvamia pale mbaya zaidi nilimpakia mkongo eti ili kumkomoa bwana wewe nimepiga mshindo wa goli 8 jana wakuu

Baadae baada ya kukulana leo nimemuita hapa hospital ili tupime afya nikampima na sd bioline ikaonesha mistari miwili aisee nilishituka ila demu ananiangalia fresh nikaona sio isiwe nikampima na unigold kitu ikasoma aisee kwamba binti ni positive aiseee moyo ulilipuka na ukaenda mbio nikajikuta nimetandikiwa na ringer lactate hapa hapa hospital lengo wani resuscitate nimeamka nimekutana na pep ila mimi nakataa kunywa
FaizaFoxy unaona madhara ya kugombana na mumeo na kumnyima unyumba? ataenda pahala ytu akajipatie kiburudisho.
 
Kuanzia Fantom yote mpaka bija kumeoza wewe umejiamin nn kufata dem bija??!

Halafu tueleze vzr hotel gan ya gharama kias hcho hapo kahama. Hatukatai Kuna hotel nzur ila kwa gharama hio labda imejengwa juz.
 
Juzi ulikuja na stori zako za kula mke wa diwani na kiongozi mkubwa leo tena umekuja na stori za kula baa medi kweli umechanganyikiwa ww mkunga

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Asee we mchaga fala ...we mchaga wa wapi yani kama hutaki PEP unakuja kulalamika nini sasa ? Hivi mnafikiria nini kuandika thread humu ndani kabla ya kufikiria??...kama hutaki kachonge jeneza tuu sasa
 
Back
Top Bottom