Nimepigwa tena na mke wangu nimeunguza mboga na kuchelewa kurudi nyumbani, kweli hii ni kanda ziwa

Nesi mkunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2022
701
1,866
Wakuu jana maana kukutana na yule demu muathirika wa virusi.vya ukimwi niliamua kurudi kimya kimya maskani ila mke wangu sikumkuta kumuuliza dada wa kazi akaniambia ameelekea mwanza tokea jana daah nilishukuru sana maana ningemkuta ama hakika angenivunja miguuu na ukizimgatia jana ilikuwa zamu yangu ni kupika aisee

Sasa nikaingia jikoni.nikaanza.kupika ila kutokana na wenge la jana nikaunguza mboga ya majani maboga daaah nilikumbwa na stress maana wife akija nitachabangwa makofi aisee

Wakati nipo jikoni wife akarudi toka mwanza aliniona tu akafura kwa hasira mimi nikakimbilia chumbani akanifuata akanitandika.makofi mawili,akanipiga mitama kama matatu na akanjshushia ngumi.yaani mpaka anamaliza.kunigonga alishanitoa.damu aisee na nipo hospital wananjstitch nyuzi.hapa
 
Back
Top Bottom