Search results

  1. Gotze Giyani

    Mfumo mbovu wa elimu ndio unazalisha ukosefu wa ajira kwa wasomi vijana wa kitanzania

    Wadau habari za muda poleni na majukumu ninaomba kuuliza kwa wazoefu kwa nini serikali aitaki kuona elimu yetu imepitwa na wakati wabadili mfumo wa elimu uliopo uwe kama nchi zilizoendelea ili nasisi tuweze kupunguza matatizo ya kukosa ajira kwa wahitimu wa chuo.Mfano unakuta ajira zimetangazwa...
  2. Gotze Giyani

    Wasomi wengi kuburuzwa na viongozi tatizo ni ubovu wa elimu yetu au nini

    Wadau habarini za jioni, poleni na jukumu la kujenga taifa, Ndiyo tunaelekea mwisho wa mwaka bado siku 30 tu mwaka uishe je umefikia malengo yako au ndio kuishi kwa mazoea kama watanzania wengi tulivyozoea niende kwenye mada. Hivi karibuni kumetokea tabia au mazoea ya wanasiasa kuwazarau...
  3. Gotze Giyani

    Kuendelea kuungua kwa magari aina ya Nissan Dualis nchini Tanzania

    Mtu mmoja Mwajuma Mohamed mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa Veta Jijini Mbeya amenusurika kifo usiku wa kuamkia leo Julai 31 baada ya gari alilokuwa akiendesha aina ya Nissan Dualis kuteketea kwa moto katika eneo la Kabwe kata ya Iyela Jijini Mbeya Afisa habari wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji...
  4. Gotze Giyani

    Kozi ya kusoma halafu baada ya kumaliza chuo isaidie kujiajiri .

    Wadau poleni na majukumu kuna dogo home kamaliza HKL na ana division 1 ya 5 ni kozi gani nzuri anaweza kusomea na chuo kipi ili akimaliza aweze kujiajiri maana uwezekano wa ajira kwa sasa ni mdogo sana naomba mawazo yenu wadau.
  5. Gotze Giyani

    Kununua hisa za NMB au CRDB

    Wadau nimeona serikali ikipokea gawio la hisa za Nmb bank na CRDB bank hivi karibu kama billion 45 hivi wadau kwa anayejua haya maswala ya hisa za hizi bank mbili ningeomba anifafanulie kidogo na vijana tufaidi uwekezaji wa taifa letu japo najua muitikio utakuwa mdogo karibuni wadau kwa michango...
  6. Gotze Giyani

    Serikali kuanza kutoza ushuru wa bidhaa wa 5% kwenye magari yenye uwezo wa injini kati ya 1,000CC-2,000CC

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaanza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha asilimia tano kwenye magari yenye uwezo wa injini (Engine Capacity) wa kati ya 1,000 CC hadi 2,000CC. “Ushuru huo utatozwa ili kuwianisha na magari mengine yenye ukubwa unaofanana...
  7. Gotze Giyani

    Msaada: Ufahamu juu ya Kozi ya Bachelor of Public Health inayotolewa Chuo cha Makerere pamoja na hali ya ajira

    Wadau habari za muda poleni na majukumu na changamoto za hapa na pale zikiwepo za mkataba wa kubinafsisha bandari kwa DP world. Mambo yasiwe mengi, nimevutiwa na Course ya Public Health inayotolewa Makerere University. Kwa anayeijua hiyo kozi vizuri naomba ufafanuzi ikiwepo kazi gani mtu...
  8. Gotze Giyani

    Kununua Dhahabu kama mbadala wa Dola kutokana na kuadimika kwa Dola ya Kimarekani Tanzania pamoja na Dunia nzima

    Wadau poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Kama Mtanzania mwenye ndoto na malengo ya kufika mbali nimewaza na kuona njia mbadala ya kuwekeza kwa Dunia ya sasa ni kununua dhahabu. Hii imetokana na hizi siku chache kutokana na kuadimika kwa Dollars kitu ambacho sio ishara nzuri kwa wanauchumi...
  9. Gotze Giyani

    Jinsi ya kununua hisa NMB au CRDB

    Wadau poleni na majukumu nilikuwa naomba kuuliza jinsi ya kunua hisa za NMB au CRDB ni mpaka uwende DSE. Kingine je faida za hizo hisa zake kwa aliyejiunga zikoje naomba mwenye uzoefu tafazali maana napenda sana uwekezaji nimevutiwa na platform mbali mbali nilizokuwa napitia nimeziona pia...
  10. Gotze Giyani

    Nawezaje kukuza kipato nje ya ajira?

    Wadau habari za muda, Mimi ni kijana wa Kitanzania, ninaomba mnisaidie mawazo yenu. Nilikuwa nimewekeza pesa zangu kama 30m kwenye mfuko wa UTT Amis, sasa faida ipo ila sio kubwa sana maana ni kama 300k kwa mwezi. Sasa ninataka nianze biashara maeneo ya Kanda ya Ziwa. Biashara gani ninaweza...
  11. Gotze Giyani

    Kama kijana wa kitanzania kuwa na mawazo yenye tija na maendeleo ya baadae

    Wadau habarini za muda huu nimeleta hii mada mbele zenu tujadili. Nimekua nikiona maada mbali mbali humu watu wenye uwezo mkubwa kufikiri wakizileta huku na watu wamekuwa wanazipondea mfano mtuu anaweza kuuliza kwa mtaji wa 10m nifanye biashara gani watu wanaishia kumuambia oo sijui anunue...
  12. Gotze Giyani

    Ndoa ni kusudio la Mungu

    Habari za muda wadau kutokana na kampeni za kupinga ndoa ninaona kabisa nitaaribika kisaikologia hivyo ninataka nijitaidi niache kutumia jamii forum ila mnaopinga sijui nini shida maana mnatumia nguvu kubwa na hili ni tatizo kubwa nimeliona kwenye jamii haswa kwa wenye uwezo mkubwa kiuchumi ni...
  13. Gotze Giyani

    Mifuko ya uwekezaji ya pamoja na elimu ya fedha

    Wadau habari za muda huu imetokea watanzania wengi tena wasomi kutokuwa na elimu ya kutosha ya fedha na yote hiyo ni kwa sababu atufundishwi darasani. Sasa nilikuwa napitia kuhusu mfuko wa uwekezaji mpya ulionzisha unaitwa faida fund au watumishi Housing investment, je, hii faida yake ikoje au...
  14. Gotze Giyani

    Kipimo cha mafanikio na malengo ndani ya mwaka

    Wadau habari za mida hii, poleni na jukumu la kujenga taifa kwa wale wapambanaji tuu. Nisiwe na mambo mengi niingie kwenye maada. Mwaka mmoja una siku zaidi ya 365, kila mmoja huku kajiwekea malengo yake, ila kuweka malengo ni jambo moja na kufikia malengo ni jambo lingine. Na sisi Watanzania...
  15. Gotze Giyani

    Uwekezaji wa UTT liquid Fund faida yake mbona ni tofauti na uhalisia wanaousema

    Habari wadau poleni na majukumu ya taifa lisiloeleweka kama sio lenye jana janja nyingi na yote ni kutokana na watanzania wengi kutokujali. Tuachane na hayo niliwai kusoma uzi mmoja huku jamii forums nikavutiwa nao nikajitaidi kufuatilia na kuuelewa zaidi basi nikaamua kuwekeza UTT amis mfuko...
  16. Gotze Giyani

    Namba E inakimbia sana kulikoni

    Wadau nimeona mpaka EAM tena huku mkoani kabisa kulikoni namba E inakimbia hivi ni watu wananunua sana magari au walificha magari walipoona namb D inamalizikia au ndio maisha bora kwa kila mtanzania na kama mtuu anataka kumiliki ndinga awe na kipato cha shiling ngapi kwa mwaka ndinga kama premio...
  17. Gotze Giyani

    X wangu anataka turudiane ila mimi ni mwanaume mwenye msimamo sana

    Wadau habari za muda huu poleni na majukumu na Mungu awabariki katika kazi zenu za mikono. Twende kwenye mada moja kwa moja, kuna mwanamke mmoja mwenye miaka 34 hivi, hajaolewa, mtoto wa Kikurya, tulikutana naye nikamtumia rafiki yake kumtongoza kama utani tuu akakubali. Basi tukawa wapenzi...
  18. Gotze Giyani

    Pesa za sensa zimewasaidia wasio kuwa na ajira au ilikuwa ni mihemuko tuu

    Wadau habari za mida huu poleni sana na tozo zinazoongezeka kila siku huku walioziweka hata hawajali na ni kwa sababu kwenye uchaguzi tuchague tusichague lazima washinde. Tukienda kwenye mada watu wengi hapa jamii forum waliunga sana mkono vijana waliomaliza chuo na wasio na ajira kupewa...
  19. Gotze Giyani

    Kwanini wasomi wengi ni masikini tena waliopo sekta za umma

    Wadau habari za mida naomba mchango wenu wa mawazo kwanini wafanyakazi wengi wa umma ni masikini unakuta mtuu ana bachelors degree ila unakuta anaishia kumiliki nyumba na gari moja tuu ambapo ukiangalia ni vitu vya kawaida sana yani hata hakuna maajabu wanauofanya kama wenzetu ukichukulia...
Back
Top Bottom