Search results

  1. K

    Maajabu: Maraisi wastaafu wa USA wanafungua maktaba wetu wataka kujengewa maikulu binafsi!

    Maraisi wastaafu wa USA wanafungua maktaba tena kwa kuchangiwa wa watu. Wapendwa wetu maraisi wazalendo eti wanataka kujengewa nyumba kama Ikulu na wenza wao kulipwa. Hawajali hali ya wananchi, mabadiliko waliyofanya na historia wanayoacha zaidi ya matumbo yao. Sijasikia wazo la maktaba...
  2. K

    Mzee Kinana abadilishwe kwa manufaa ya umma

    Mzee Kinana muda wake umepita. Raisi anatakiwa atafute makamu ambaye anaweza kufanya vitu kwa manufaa ya umma kwa ujumla wake na sio kwa CCM pekee. Kwa mwenendo wa sasa watu wasio elewa wataona ni powa lakini tukiendelea hivi katiba itakuja kwa ulazima na uchungu sana. Kuna uwezekano kabisa...
  3. K

    Tetesi: Kuna Mwekezaji KIA? Je, ni siri siri tena?

    Kumekuwa na usiri siri wa ajabu sana. Kwanza waziri alikuwa anachenga changa mpaka akabanwa na wabunge kuhusu mikataba ya KIA na kuhakikisha kiwanja kinarudi serikalini. Sasa tunasikia kuna mwekezaji kutoka Uarabuni ?. Kama ilivyokuwa bandari Nasikia kabla ya uwekezaji wanawekwa wanzanzibari...
  4. K

    Mwalimu Mushi wa Ilboru apewe maua yake “Nishani ya kitaifa”

    Kwa mawazo yangu kati ya walimu wakuu ambao wanahitaji nishani za kitaifa ni Mwalimu mkuu wa zamani wa Ilboru. Huyu ndiyo alifanya Ilboru kuwa shule ambayo kwa miaka yote ni ya kipekee kwa kutoa madaktari wengi, wanasheria wengi na vipaji vya juu sana hapa nchini kwetu. Kila nchi nilienda watoto...
  5. K

    Uchaguzi 2025 Ushauri wa Serikali: Uchaguzi wa serikali za mitaa usogezwe mpaka mwaka kesho

    Mimi nashauri uchaguzi wa serikali za mitaa usogezwe mpaka mwaka kesho na sheria ziwekwe vizuri. Wataalamu wengi wanasingizia muda wakati huo huo wanasema sheria zinahitaji kubadilishwa. Hivyo hakuna sababu ya kwenda kwenye uchaguzi ambao kwa ulivyo sasa utashusha na kupunguza uaminifu wa hata...
  6. K

    Mapungufu Lissu anayosema hajawezi kupigwa kwasababu ni ukweli

    Kwa wanao mpinga Lissu watueleze ni kitu gani anachosema cha muungano sio cha kweli? https://www.youtube.com/live/hmLasxyFJQg?si=lLw63NG_Fuxm-byT Kama kuna mtu ambaye sio Mzanzibari hapa ana haki Zanzibar atujulishe bila hivyo tunyamaze na kumeza ukweli. Tusipende kuishi kwa uongo uongo tu...
  7. K

    Uwakilishi wa ubunge utokane na idadi ya watu

    Naunga mkono uwakilishi ni lazima ulingane na idadi ya watu. Wanzanzibari mfano haijulikani kwanini wawakilishi wao ni wengi sana wakati wapiga kura ni 500k tu. Lakini kuna majimbo mengi yenye watu wengi sana. Utaratibu wa wabunge inabidi ubadilike. Hili halina Chama ni usawa na haki kwa raia...
  8. K

    Je Lissu kapiga chini ya mkanda au kasema ukweli!

    Nilivyokuwa Ilboru 1990-1993 niliambiwa miaka ya nyuma kulikuwa na kijana machachari sana ambaye alikuwa anaitwa Antiphas. Umachachari huo ulitokana na debate club za pale Ilboru ambazo zilikuwa mashuhuri sana. Ilboru kulikuwa na debate club ambazo kila ijumaa ya mwisho wa mwezi kuna debate ya...
  9. K

    Wana CCM wazalendo ungeni mkono demokrasia, katiba mpya kwa manufaa ya nchi yetu

    Kuna watu wengi ambao wapo CCM na ni wazalendo. Lazima muelewe sio matakwa yote ya CCM ni kwa faida ya nchi kuna mambo mengi sana ambayo ni kwa mafanikio ya tabaka la utawala ndani ya CCM. Tabaka hili lenye mtandao mkubwa ni wale wakubwa ambao ndiyo wanafanya maamuzi ikiwa ni pamoja na kuingiza...
  10. K

    Ushauri kazi za ukurugenzi kwa ngazi zote ziwe za kuomba nsio kuteuliwa

    Tatizo tumekuwa na kazi ambazo zinahitaji uwezo wa kusimamia miradi na budget mbali mbali za maendeleo. Lakini tunaweka makada ambao wengi wamezoea kupiga domo kucha kutwa bila kufahamu chochote kuhusu uongozi. Hii imesababisha nchi zima na kila idara kuwa ya machawa na watu wasio jielewa...
  11. K

    Tutakuja kujuta tukimpuuza Mzee Warioba. Tumsikilize wakati bado yupo

    Huyu ni Mzee ambaye alikuwepo tangu wakati wa Nyerere. Kikubwa bado yuko fit na anaweza kujibu maswali. Siku hizi wanasiasa wanajiona wanajua sana kila kitu kuongea kishabiki na kuweka kiki. Lakini ukimuona huyu mzee ambaye kaona mengi anahofia kwasababu anaongea kwa uzoefu na data sio ushabiki...
  12. K

    Uratibu mbaya wa makadirio ya kodi ndiyo sababu kubwa ya ukwepaji kodi

    Mimi ni mtaalamu wa fedha na kwa mawazo yangu tatizo la kodi na TRA linaanza na uratatibu mbaya wa ukusanyaji wa kodi. Kuna kodi za aina mbili kubwa 1. Kodi za mauzo. Kwenye kodi hizi ambazo kwa ulewa wangu ni 18% mlipa kodi sio mfanyabiashara mfano mwenye duka. Mlipa kodi ni mnunuzi na mwenye...
  13. K

    Vitu vinavyo mshusha Mama

    1. Kutokujua anataka nini kwenye siasa. Mara anataka demokrasia lakini hataki katiba mpya. Mara anataka katiba mpya lakini baada ya miaka mitatu. Mara anataka chaguzi huru lakini anataka mkwe wa TAMISEMI ndiye aongoze changuzi za mwaka 2024. Mara anatatuma mabadiliko ya tume huru wakati huohuo...
  14. K

    Kama haukubaliani na Warioba kwenye hili jiangalie wewe ndiyo tatizo!

    https://youtu.be/aGuiTB1XX_0?si=sFKk6zISM0uq2XBb Wakati maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2025 yakiendelea, Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Warioba amesema makundi mawili yanayosigana juu ya uhuru na haki yanapaswa kukutana na kukubaliana kwanza kabla ya kuingia kwenye...
  15. K

    Anayejua sheria za ubebaji mimba (surrogacy contract/laws) Tanzania

    Teknologia imebadilika sana. Hivi karibuni. Kwa ukuaji wa teknologia siku hizi mwanamke anaweza kubebeshwa mimba kwa kuwekewa "embryos" yai la mwanamke mwingine na mwanaume ambalo lime stawishwa kwa kiswahili changu kibaya. Sasa Mbebeji wa mimba anakuwa hana DNA yeyote zaidi ya kwamba yeye ni...
  16. K

    USHAURI: Rais Samia fanya haya makubwa nchi itabadilika na uchumi kukua

    Leo nimerudi kwa upande wa ushauri na hivi vitu navyoshauri kila moja ni kitabu chake lakini nitaweka hapa mambo makubwa ambayo Raisi Samia akivifanya vitabadilisha nchi yetu kwa miaka mingi sana ijayo 1. Boresha sheria mbovu ya uchaguzi iliyopitishwa Bungeni kwa kuongeaza chaguzi za serikali...
  17. K

    Wakati wenzetu wanaongelea katiba mpya sisi wa Tanzania tunaongelea waongeaji wa vyama🤦🏾‍♂️

    Yaani ni lini tutaamka na kuanza kushindana kama nchi. Ni lini tutacha utoto kama nchi na kuanza kuleta maendeleo ya nchi. Badala ya kuongea vitu vya msingi wa TZ wengi wanaongelea waongeaji wa vyama🤦🏾‍♂️ Sijawahi kuona nchi nyingine yeyote ambayo watu wanaongelea waongeaji wa vyama kama TZ...
  18. K

    Faida ya mahakama ni zipi: Hazilindi demokrasia wala haki

    Mahakama za Tanzania hazilindi demokrasia wala haki vizuri sasa ni wakati wa kujiuliza zina faida gani hasa. Imekuwa kama vile mahakama zetu ni wasomi wasiojielewa kazi yao ni nini hasa zaidi ya kuelekezwa na serikali. Kesi zinachukuwa miaka , kura zinaibiwa nje nje mahakama wamekaa tu eti...
  19. K

    Kwanini Vijana wetu wamezidiwa sana na wenzao wa Senegal

    Vijana wetu wamezidiwa sana na vijana wenzao wa Senegal kwasababu. 1. Vijana wa Senegal wanapenda na kutafuta mbinu za kujua habari na sio habari za kulishwa na serikali. 2. Vijana wa Senegal walichoshwa na wazee ambao walikuwa watawala toka uhuru wakati vijana wa Tanzania wenyewe ndiyo...
  20. K

    Chambulo amwambia Gavana wa Benki kuu kuwa dollarization ipo kubwa zaidi serikalini

    https://youtu.be/0UZFmqxo2AY?si=2Q43Jp6nYxZ0pW5U Hadi gavana hajui sababu ya matatizo ya $? Auibu Mwenyekiti wa Chama cha watalii Tanzania, Wilbard Chambulo, amesema kuwa dollarization ipo zaidi serikalini na inasababisha watu wa wengine wadai dola. Amezungumza hayo baada ya Gavana wa Benki...
Back
Top Bottom