Mwalimu Mushi wa Ilboru apewe maua yake “Nishani ya kitaifa”

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,710
8,996
Kwa mawazo yangu kati ya walimu wakuu ambao wanahitaji nishani za kitaifa ni Mwalimu mkuu wa zamani wa Ilboru. Huyu ndiyo alifanya Ilboru kuwa shule ambayo kwa miaka yote ni ya kipekee kwa kutoa madaktari wengi, wanasheria wengi na vipaji vya juu sana hapa nchini kwetu. Kila nchi nilienda watoto wa Mwl Mushi wanafanya makubwa

Tundu Antiphas Lissu

@TunduALissu
Follow

At a sprightly age of 87 years, Mzee Geoffrey Mushi, aka Mzee Bino, is as lucid a mind and as commanding a presence as when he served as my headmaster at Ilboru Secondary School in the early '80s. It's a rare privilege to catch up with him after nearly 40 years of separation.”

1715570642590.png

1715570690072.png

1715570733295.png

1715570784840.png

1715570823850.png

1715570907374.jpeg

1715570969992.png

1715571110242.png

1715571200917.jpeg

Hapo sijaenda kwenye madaktari bigwa. Lakini kikubwa wote hawa wanasifu ubunifu wa Mwalimu Mushi. Cha ajabu tunatoa shahada na ma PHD kwa wanasiasa badala ya watu ambao wamebasilisha maisha ya watu wengi sana na kutengeneza vijana viongozi wazuri wa vizazi vingi
 
Najihisi mwenye bahati kusoma Ilboru
Mkuu wa kipindi changu tulimwita Shula
 
🔹Kwani alikuwa anafundusha soma gani?

🔹 Kwanza kati ya shule ambazo waalimu walijichukulia ujiko wa bure ni ilboru. Walikuwa hawafundishi ni wanafunzi wenyewe wanajiongeza

🔹Pili hapo kwenye hiyo list hakuna aliyetoboa ambaye anaweza ku compete kwenye level za kimataifa. Bado wanajitafuta sawa . Wamezidiwa na darasa la saba B akina musukuma, tabasamu na kishimba. Huna hoja
 
Uwezo wa MTU hautokani na shule MTU aliyosoma .

Kuwa smart ni kujiongeza .

Kama haujasoma shule za watu bright waweza kuandika ulichoandika.

MTU Kama Tundulissu uwezo wake wa akili umeanza kuonekana tangu akiwa Mdogo Sana , alipenda kujitaftia maarifa na kusoma vitabu.
 
Sijui huwa wanawaza nini hawa wanaosifu ati shule au chuo fulani ndio kimemshape mtu, wakati wengi ni uwezo binafsi tu
 
🔹Kwani alikuwa anafundusha soma gani?

🔹 Kwanza kati ya shule ambazo waalimu walijichukulia ujiko wa bure ni ilboru. Walikuwa hawafundishi ni wanafunzi wenyewe wanajiongeza

🔹Pili hapo kwenye hiyo list hakuna aliyetoboa ambaye anaweza ku compete kwenye level za kimataifa. Bado wanajitafuta sawa . Wamezidiwa na darasa la saba B akina musukuma, tabasamu na kishimba. Huna hoja
Wewe una chuki na Ilboru huenda ulifanya vibaya au hukusoma hiyo shule relax ndugu yangu.
 
Sijui huwa wanawaza nini hawa wanaosifu ati shule au chuo fulani ndio kimemshape mtu, wakati wengi ni uwezo binafsi tu
Mkuu Mmanyanigho,

Hapa mnaongea Lugha tofauti.

Wewe unasema “ wengi ni uwezo binafsi tu” lakini si “wote”

Yeye anasema “uwezo wa mtu hautokani na shule mtu aliyosoma Bali ni uwezo binafsi”
Yeye ametoa hitimisho la kwamba wote wenye uwezo hawatokani na shule walizosoma ila wewe umesema wengi ni uwezo binafsi.

Kuna tofauti kati ya “wengi” na “wote”

Mfano;

Maraisi wote marekani walikaa ikulu ( White House)

George Washington alikuwa raisi wa Marekani

George Washington aliishi ikulu (conclusion)

Mfano huo hapo juu ni uongo kutokana na kauli kuu ya kwanza , sababu John Adams ndio alikuwa raisi wa kwanza kuishi ikulu. Hivyo inafanya kauli kukosa ukweli.

Mimi binafsi ninasema shule ilini- shape kwa kiasi kikubwa.
 
Kwa mawazo yangu kati ya walimu wakuu ambao wanahitaji nishani za kitaifa ni Mwalimu mkuu wa zamani wa Ilboru. Huyu ndiyo alifanya Ilboru kuwa shule ambayo kwa miaka yote ni ya kipekee kwa kutoa madaktari wengi, wanasheria wengi na vipaji vya juu sana hapa nchini kwetu. Kila nchi nilienda watoto wa Mwl Mushi wanafanya makubwa

Tundu Antiphas Lissu

@TunduALissu
Follow

At a sprightly age of 87 years, Mzee Geoffrey Mushi, aka Mzee Bino, is as lucid a mind and as commanding a presence as when he served as my headmaster at Ilboru Secondary School in the early '80s. It's a rare privilege to catch up with him after nearly 40 years of separation.”

View attachment 2989040

View attachment 2989041
View attachment 2989042
View attachment 2989043
View attachment 2989044
View attachment 2989047

View attachment 2989048
View attachment 2989049
View attachment 2989050

Hapo sijaenda kwenye madaktari bigwa. Lakini kikubwa wote hawa wanasifu ubunifu wa Mwalimu Mushi. Cha ajabu tunatoa shahada na ma PHD kwa wanasiasa badala ya watu ambao wamebasilisha maisha ya watu wengi sana na kutengeneza vijana viongozi wazuri wa vizazi vingi
Nimewakumbuka na school mate wangu.namwona taji,msimila paskali,wadogo zangu nyalandu,mwigulu nk ilborian
 
Back
Top Bottom