Nimeshuhudia na kushiriki chaguzi nyingi ndani ya Chadema na ndani ya CCM,chaguzi nyingi ndani ya vyama vyetu zinavunja katiba za vyama hivyo kwa makusudi kabisa,wasimamizi wa chaguzi hizo kwa kuwa wanakuwa na mamlaka ya nafasi za uongozi kutoka ngazi za juu,hutumia mwanya huo kufanya kadri...
1. Acacia
Hayati Rais John Magufuli alipiga marufuku usafirishaji mchanga kutoka machimbo ya madini kwenda nje ya nchi, Hayati Rais Magufuli alisema wawekezaji wamekuwa wakikiuka taratibu kwa muda mrefu na kusema Tanzania imeliwa vya kutosha na kumuagiza waziri wa nishati na madini kusimamia...
CCM imara ni imani ya kiitikadi ndani ya mioyo ya Wananchi Watanzania,Awamu ya kwanza ya CCM iliyoongozwa na Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ilikuwa ni ya kijamaa,kiongozi wa CCM akifanya ziara eneo fulani, basi Wananchi wanyonge walioonewa waliamini amekuja mkombozi wetu, na kwa hakika...
Kikao cha 75 cha mkutano wa 59 wa Umoja wa Mataifa kilichofanyika Aprili 16,2021 kilitambua mchango wa kiuchumi kwa taifa la Tanzania na alama za uongozi za aliyekuwa rais wa Tanzania, Hayati Daktari John Pombe Magufuli.Kikao hicho kiliongozwa na Volkan Bozkir Rais wa baraza kuu la UN kikiwa na...
Mama kaenda Marekani kaja na wali wenye virutubisho, Tanzania yenye ardhi yenye rutuba asilimia 80 mvua inayonyesha na maji yanayotiririka masaa 24, Tanzania yenye amani isiyo na vita, Tanzania ilitolelewa kijamaa iliyolima mashamba ya Ujamaa kuvuna mavuno ya kutosheleza, leo tumefanywa kama...
Serikali yote ni ya CCM, walisema wapinzani wanawachelewesha lakini tunajionea wenyewe miaka mitatu ya Rais Samia vitu vyote vimepanda bei mara mbili toka utawala wa Hayati Rais Magufuli, petroli imepanda bei, sukari imepanda bei, unga umepanda bei, Mchele umepanda bei, maharage yamepanda bei...
Miaka mitatu sasa tangu Hayati Rais John Pombe Magufuli afariki akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tuliosoma falsafa na historia tumekutana na hoja kwamba mtu hafariki mpaka siku mtu wa mwisho anapoacha kumuwaza,yani ukimfikiria,ukimkumbuka,ukimtaja,anaendelea kuishi katika mioyo ya...
Wasaidizi wa Mwenyekiti Wetu Wa Chama Taifa na Rais wapo busy kuandaa matamasha wao kwa wao kumpongeza na kumchukulia fomu moja,Ajabu ni kwamba huku mtaani Kiongozi wetu ushawishi wake unashuka kwa kiwango kikubwa sana.
Maisha magumu
Hakuna umeme
Hakuna maji ya bomba
Mfumuko wa bei wa bidhaa...
Hakuna bin-adam yeyote awe kiongozi ana raia asiyekua na mapungufu,viongozi wote walikuwa nayo uzuri ni kwamba walifanya mengi mazuri kuliko mabaya ndio maana tunakubali kwamba walikuwa the greatest,lakini mapungufu yao yapo na yanajadilika sana na yanafahamika sana,lakini leo 2024...
Nilikuwa darasa la pili mwaka 1992, Shule ya msingi Bungo pale Morogoro mjini, nilipomuona kwa mara ya kwanza Rais Ali Hassan Mwinyi akishuka kwenye helkopta viwanja vya Gymkhana kuelekea uwanja wa Jamhuri kwenye sherehe ya Mei Mosi, niliendelea kumsikia kwenye taarifa ya habari na kumsoma...
Ushindi wa magoli 4-0 wa Yanga dhidi ya CR Belouizdad umechangiwa kwa ukubwa na Pacome Zouzoua aliyeonyesha performance nzuri sana yenye spirit ya hali ya juu sana katika siku yake ya "Pacome Day" ilikuwa ni shoo ya Pacome Zouzoua aliyeonyesha kiwango kikubwa kwenye mchezo huo akiwapa raha...
Mwaka Mpya wa China umewakutanisha Wachina na kufanya tathmini juu ya mfumuko wa bei Tanzania.
Wachina wauza mashuka, mataulo, mapazia, chupa za maji, vyombo vya Udongo, maua, chupi, chupa za chai na vyandarua wamesema bei wanazouza sasa zinawapa hasara kubwa sababu dola imepanda thamani...
Meya wa Kinondoni alalamika hakuna maji, sukari na Umeme unakatika katika, mambo hayo yalikuwa hayapo wakati wa Magufuli na wahusika hawatoi majibu wanachengachenga na viongozi hao wapo kwa ajili ya Wananchi jee kwanini hawatoi majibu?
Kwa mara ya kwanza nimeona Marehemu anatukanwa kwenye awamu ya Sita,sijui kama utamaduni wa Mtanzania?
Sukari kilo 5,500
Nyama kilo 10,000
Mchele kilo 4,000
Unga kilo 2,800
Petroli lita 3,300
Umeme Giza kama enzi za Richmond,
Viongozi wananunua nyumba Palm Jumeirah Dubai na South Afrika...
Sitasahau Mei 2015 uwanja mzima wa Sheikh Amri Abeid, Arusha ukiimba "Lowassa Lowassa, Lowassa Lowassa, sitasahau ile picha Dr. Emmanuel Nchimbi na wengi wa wanachama wa CCM wakiimba "Tuna imani na Lowassa" kwenye mkutano wa NEC 2015.
Kipindi cha mchujo hakijanitoka akilini, Edward Lowassa...
Jamii ina mengi yasiyotatuliwa, ziara ya Mwenezi wa CCM Paul Makonda imegundua changamoto nyingi ambazo hazijatatuliwa ni kama vile viongozi wengi wamechaguliwa kwa bahati mbaya hawakujiandaa kuwa viongozi na ndio maana wameshindwa kutatua matatizo yaliyo kwenye jamiii wanazozihudumia, je...
Andiko la mwisho la Ole Mushi hebu lipitie👇🏿
UKOLONI UNARUDI TANZANIA?
Na Thadei Ole Mushi.
Miaka 60 ya Uhuru tumeshindwa kabisa kusimamia rasilimali zetu wenyewe.
Migodi tumeitoa kwa Wazungu, Misitu tumeitoa kwa Mwarabu, Posta tumeitoa kwa Mwarabu, Misitu tumeitoa kwa mwarabu, Gesi...
Je, bado kuna shida ya kukatika kwa umeme au maji!?
Je, mwenezi Maul Makonda amepita eneo lako!?
Je, shida zako zimetatuliwa!?
Umati huu ulimfananisha mwenezi Paul Makonda na hayati Rais Magufuli, je wewe una maoni gani!?
Je, umefarijika na ziara anazofanya mwenezi paul makonda kutatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.