Mambo matano ya Hayati Rais Magufuli yaliyoshtua Dunia

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
950
2,866
1. Acacia
Hayati Rais John Magufuli alipiga marufuku usafirishaji mchanga kutoka machimbo ya madini kwenda nje ya nchi, Hayati Rais Magufuli alisema wawekezaji wamekuwa wakikiuka taratibu kwa muda mrefu na kusema Tanzania imeliwa vya kutosha na kumuagiza waziri wa nishati na madini kusimamia suala hilo, wakati tangazo hilo likitoka hisa za kampuni hiyo zikashuka kwenye soko la dunia.

2. Covid 19
Hayati Rais John Magufuli aliongea akiwa Chato akajibiwa toka Washngton Dc aliuliza iweje chanjo ya Ukimwi inafanyiwa majaribio toka mwaka 1985 lakini chanjo ya Corona imefanyiwa majaribio kwa miezi saba tu? pia akawaondoa hofu Watanzania akisema, "Watu tusitishane, tunatishana mno.

Niwaombe ndugu Wakristo na Watanzania kwa ujumla wa Madhehebu yote, huu ndio wakati mzuri sana wa kumtegemea Mungu kuliko wakati wote, tuendelee kuchapa kazi, tuendelee kuujenga uchumi wetu, hatuwezi kusalimu amri kwa ugonjwa huu wa Corona na kushindwa kumtegemea Mungu na tukashindwa kuendeleza uchumi wetu" amesema Rais Magufuli.

3. SGR
It is not clear why Magufuli’s government has decided to dangle only 400kms of the SGR on Turkey’s face. Some pundits think some sections of the Tanzania SGR might be considered for the Chinese, given China’s huge influence in the region, and its deep pockets for African governments. But it is also clear that Turkey is still interested in all, or at least some more of the sections.

At the January joint press conference with Magufili, Erdogan described the 400 Km request for funding put to him by the Tanzanians as “too small for me”- probably meaning he (Turkey) could do with some more –or all- sections of the SGR project.

4. Bwawa la Rufiji.
Tanzania ilikataa agizo la UNESCO la kuitaka kusitisha Ujenzi wa mradi wa Stiegler's Gorge katika pori la akiba la selous, Tanzania ilisisitiza uamuzi wake wa kuendelea na mpango wa kujenga mradi mkubwa wa kuzalisha umeme katika maporomoko ya mto Rufiji (Stiegler's Gorge Hydro Power Project) yaliyopo ndani ya pori la akiba la Selous mbele ya wajumbe wa Kamati ya Urithi wa Dunia kutokana na umuhimu wake kwa maendeleo ya Watanzania,

Hayati Rais John Magufuli alitangaza kutekeleza sera ya kujenga uchumi wa viwanda hali itayopelekea kuwa na mahitaji makubwa ya nishati ya umeme hivyo kwa kuzingatia vyanzo vilivyopo imekuwa ni muhimu sasa kufikiria tena ujenzi wa mradi huo kama chanzo kingine muhimu cha nishati kuwezesha kufikia azma hiyo.

Itakumbukwa kuwa mnamo mwaka 1982 wakati pori hili (Selous) limewekwa katika orodha ya maeneo ya urithi wa dunia, Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhifadhi wa Asili (IUCN) liliutambua mradi huo wa Stiegler's Gorge kutokuwa na madhara makubwa katika uharibifu wa mazingira ukizingatia ukubwa wa pori hilo na eneo litakalotumika kujenga mradi huo.

5. CCM
Ujio wa Hayati Rais John Magufuli kama Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama ulileta mabadiliko makubwa ndani ya Chama,moja ya mabadiliko hayo ni ukaguzi wa mali za Chama na kupunguza wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama toka 500 hadi kufikia wajumbe 250.
 
Watu walikuwa wanavaa sare za CCM kwa kujificha alipoingia yeye watu walivaa bila woga bila kujificha mpaka leo sare za CCM zinapendeza na unaweza kwenda benki kuchukia
Qumanina yani Sare za CCM zilikuwa zinafaa kuchukulia mkopo benki benki ipi kwanza? Benki ya mama yko au ya hyo mzee wenu Yani watu km nyie ubongo wenu umejaa makamasi
 
1.Acacia
Hayati Rais John Magufuli alipiga marufuku usafirishaji mchanga kutoka machimbo ya madini kwenda nje ya nchi,Hayati Rais Magufuli alisema wawekezaji wamekuwa wakikiuka taratibu kwa muda mrefu na kusema Tanzania imeliwa vya kutosha na kumuagiza waziri wa nishati na madini kusimamia suala hilo,wakati tangazo hilo likitoka hisa za kampuni hiyo zikashuka kwenye soko la dunia.

2.Covid 19
Hayati Rais John Magufuli aliongea akiwa Chato akajibiwa toka Washngton Dc aliuliza iweje chanjo ya Ukimwi inafanyiwa majaribio toka mwaka 1985 lakini chanjo ya Corona imefanyiwa majaribio kwa miezi saba tu!? pia akawaondoa hofu Watanzania akisema, "Watu tusitishane, tunatishana mno. Niwaombe ndugu Wakristo na Watanzania kwa ujumla wa Madhehebu yote, huu ndio wakati mzuri sana wa kumtegemea Mungu kuliko wakati wote, tuendelee kuchapa kazi, tuendelee kuujenga uchumi wetu, hatuwezi kusalimu amri kwa ugonjwa huu wa Corona na kushindwa kumtegemea Mungu na tukashindwa kuendeleza uchumi wetu" amesema Rais Magufuli.

3.SGR
It is not clear why Magufuli’s government has decided to dangle only 400kms of the SGR on Turkey’s face. Some pundits think some sections of the Tanzania SGR might be considered for the Chinese, given China’s huge influence in the region, and its deep pockets for African governments. But it is also clear that Turkey is still interested in all, or at least some more of the sections.

At the January joint press conference with Magufili, Erdogan described the 400 Km request for funding put to him by the Tanzanians as “too small for me”- probably meaning he (Turkey) could do with some more –or all- sections of the SGR project.

4.Bwawa la Rufiji.
Tanzania ilikataa agizo la UNESCO la kuitaka kusitisha Ujenzi wa mradi wa Stiegler's Gorge katika pori la akiba la selous,Tanzania ilisisitiza uamuzi wake wa kuendelea na mpango wa kujenga mradi mkubwa wa kuzalisha umeme katika maporomoko ya mto Rufiji (Stiegler's Gorge Hydro Power Project) yaliyopo ndani ya pori la akiba la Selous mbele ya wajumbe wa Kamati ya Urithi wa Dunia kutokana na umuhimu wake kwa maendeleo ya Watanzania,

Hayati Rais John Magufuli alitangaza kutekeleza sera ya kujenga uchumi wa viwanda hali itayopelekea kuwa na mahitaji makubwa ya nishati ya umeme hivyo kwa kuzingatia vyanzo vilivyopo imekuwa ni muhimu sasa kufikiria tena ujenzi wa mradi huo kama chanzo kingine muhimu cha nishati kuwezesha kufikia azma hiyo.

Itakumbukwa kuwa mnamo mwaka 1982 wakati pori hili (Selous) limewekwa katika orodha ya maeneo ya urithi wa dunia, Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhifadhi wa Asili (IUCN) liliutambua mradi huo wa Stiegler's Gorge kutokuwa na madhara makubwa katika uharibifu wa mazingira ukizingatia ukubwa wa pori hilo na eneo litakalotumika kujenga mradi huo.

5.CCM
Ujio wa Hayati Rais John Magufuli kama Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama ulileta mabadiliko makubwa ndani ya Chama,moja ya mabadiliko hayo ni ukaguzi wa mali za Chama na kupunguza wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama toka 500 hadi kufikia wajumbe 250.
6:: Miaka 6 watumishi kukosa nyongeza ya mishahara.
 
Hivi ile mashine iliyopima zile sample sita ikiwemo Kwale, Oil, kondoo, fenesi baadhi vikakutwa na Covid 19 bado ipo?
 
Mke, watoto, dereva wa Lisu wote ni raia wa Marekani! Aende akashinde huko USA.

Tanzania hatutaki wanafiki.

#tutashitakiwa MIGA
 
Hayati Rais John Magufuli alipiga marufuku usafirishaji mchanga kutoka machimbo ya madini kwenda nje ya nchi,Hayati Rais Magufuli alisema wawekezaji wamekuwa wakikiuka taratibu kwa muda mrefu na kusema Tanzania imeliwa vya kutosha na kumuagiza waziri wa nishati na madini kusimamia suala hilo,wakati tangazo hilo likitoka hisa za kampuni hiyo zikashuka kwenye soko la dunia.
So what, mbona aliruhusu makinikia yasafirishwe, akaruhusu kesi zifanyike tena huko nje sio Tanzania, akawapa wazungu 86% ya hisa za kampuni mpya ya Twiga Minerals. Pia aliyekua VP wa ACACIA ambaye alituaminisha ni fisadi sio tu alimuachia huru ila alimpa na ubunge huko Njombe. Huyu JPM mnamkuza ila hakuna alichobadili kwenye madini. Hata ukuta alipojenga unaambiwa na CAG kuwa wizi ndio uliongezeka maana chanzo hakikua ukuta, kwani walinzi hawahongeki?. Yule jamaa alikua anatumia nguvu kuliko akili.
 
hatuwezi kusalimu amri kwa ugonjwa huu wa Corona na kushindwa kumtegemea Mungu na tukashindwa kuendeleza uchumi wetu"
JPM alikua mlaghai sana, mbona yeye alikua anatumia Pacemaker, yaani badala ya kumtegemea Mungu amponye Moyo, yeye alikua anategemea betri ya mzungu imsaidie kusukuma Moyo!! Alafu anajibaraguza kuwa kuvaa barakoa au kutumia chanjo ni kutomtegemea Mungu.

No wonder wafuasi wake wengi ni elimu ndogo.
 
5.CCM
Ujio wa Hayati Rais John Magufuli kama Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama ulileta mabadiliko makubwa ndani ya Chama,moja ya mabadiliko hayo ni ukaguzi wa mali za Chama na kupunguza wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama toka 500 hadi kufikia wajumbe 250.
Ukaguzi ulipofanyika nani alikamatwa? Mbona chaguzi za 2020 zilijaa rushwa? CCM haikuwahi kubadilika kipindi cha JPM, majizi yalikuwepo kama kawaida na hakuyachukulia hatua. Mfano Nchambi alikamatwa na nyara za serikali ila akaachiwa kwa plea bargain na wala hakufutwa uanachama. Pia mafisadi ya makinikia yalitajwa ila hawakukamatwa
 
Back
Top Bottom