Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu.
Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika;
1. ENEO HUSIKA...
Jumapili saanane usiku na jumatatu ya Pasaka haikuwa njema.
Umeme ulikatika karibia nchi nzima.
Chanzo cha tatizo kilikuwa kujizima mitambo huko Kidatu
Tumeelezwa na TANESCO kuwa , kujizima huko kunatokana na maji "kuzidi" na mitambo kujizima.
Maelezo hayo kimsingi hayana maana kabisa...
Kwa umri wangu huu ninapoingia miaka 60 sijawahi kushuhudia umeme kuwa stable hapa nchini kwetu Tz. Kuna sababu nyingi zimekuwa zikitolewa ambazo zimekuwa zikijirudia hizohizo miaka yote:
1. Maji kupungua bwana la mtera
2. Kukosekana kwa mvua
3. Hitilafu ya mitambo
4. Mitambo kufanyiwa...
Je, bado kuna shida ya kukatika kwa umeme au maji!?
Je, mwenezi Maul Makonda amepita eneo lako!?
Je, shida zako zimetatuliwa!?
Umati huu ulimfananisha mwenezi Paul Makonda na hayati Rais Magufuli, je wewe una maoni gani!?
Je, umefarijika na ziara anazofanya mwenezi paul makonda kutatua...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 26,2023 amewaapisha Viongozi mbalimbali Wateule Ikulu jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amempa miezi sita ya matazamio Mkurugenzi Mkuu mpya wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga na kumwagiza kuwa baada ya hiyo miezi...
Wakuu,
Baadhi ya maeneo leo umeme umekatika mapema asubuhi mpaka sasa hola. Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa juu ya kukatwa kwa umeme kwa baadhi ya maeneo.
Je, haya ni maandalizi ya kutunyima taarifa kwa yale yatakayojiri kesho? Haishindwi kutokea na mitandao yote ya kijamii ikawa chini...
Uwanja wa Taifa giza Tena,Mwigulu ansema tupo salama
Jamani ,tuwe serious hii Ni mara ya pili.
CAF fungieni uu uwanja tafadhali
===========
Mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji Young Africans SC dhidi ya Rivers United ya Nigeria imesimama kwa...
Itakumbukwa 28 Machi, 2023 kulikuwa a mechi baina ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda (Uganda the Cranes) kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Siku hiyo umeme ulikatika wakati mechi hivo inaendelea katika Uwania wa Benjamin Mkapa...
Taarifa ya habari ya UTV imeripoti leo magari ya kubeba cement yamekwama kwa zaidi ya siku saba kwa ukosefu wa mzigo wa cement kutokana na kusimama uzalishaji.
TANESCO imeshindwa kutoa umeme wa kutosha kwa uzalishaji na meneja wa kiwanda amedai wanatumia zaidi ya milioni 500 kwa mwezi kununua...
Ndugu wahusika,
Mimi ninatatizo la hizi aina ya MITA za TANESCO Mpya, Yaani maeneo yangu IFIKAPO jioni ya saa 12 jioni mpaka saa 4 usiku ni shida Kila dakika Moja umeme unakatika na kuwaka mfululizo, cha ajabu majirani zangu umeme upo mda wote.
Nilijaribu kuulizia Taneco wanasema aina ya MITA...
Wiki hii kukatika umeme kunanitesa kuliko kawaida, wanakata asubuhi saa 12 wanarudisha jioni saa 12 na nusu. Masaa zaidi ya 12.
Niseme wazi siku zile 10 za mgao zilizotolewa sikuwa na kazi nyingi sana hivyo wala sikuona kama ni issue sana na wala sikuathirika.
Balaa lipo wiki hii nina kazi...
Ni siku ya tatu sasa umeme unakatika bila sisi wateja kujulishwa kama kuna matengenezo yoyote yanaendelea.Nashauri kama kuna marekebisho yoyote yanayofanyika ni vyema tukataarifiwa kwenye vyombo kwamba eneo flani litakosa umeme kwa muda flani ili kupisha maboresho katika miundombinu ya umeme...
Spika Job Ndugai amehoji tatizo la kukatika kwa umeme nchini na kuitaka kamati ya nishati kukutana haraka na bodi ya mpya ya Tanesco ili kuwaeleza kazi kubwa iliyoko mbele yao.
Sakata hilo liliibuliwa na mbunge wa Kilombero mh Abukary Assenga aliyetaka kujua ni kwa nini Tanesco wanakata umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.