Search results

  1. Ester505

    Malipo ya kufundisha tuition ni kiasi gani kwa mwezi mtoto akifatwa nyumbani kwao?

    Nawasalimu. Naomba kwa wazoefu wanifahamishe Bei ya kumfundisha mtoto tuition akifatwa nyumbani kwao.wa darasa la tano na darasa la kwanza. Msàada jamani.
  2. Ester505

    Rafiki yangu anahitaji mume

    Rafiki yangu anahitaji mume. SIFA ZA ANAYEMHITAJI; Awe mkristo Awe na Umri kuanzia miaka 43 na kuendelea. Asiwe mlevi. Awe na kazi kuajiriwa/ kujiajiri Asiwe na zaidi ya watoto 2. Mwenye uelewa. Awe mkarimu. Awe Mvumilivu Awe na Nia ya DHATI&UHITAJI WA MKE( KUFUNGA NDOA) SIFA ZA RAFIKI YANGU...
  3. Ester505

    Naomba mnisaidie kuhusu mkunde pori

    Ni hivi nimechukua majani ya mkunde pori nikachemsha. Sasa nikinywa maji yake napata usingizi na mwili nausikia umechoka. Je NI kawaida??
  4. Ester505

    MSAADA: Utaratibu wa kupata Police Clearance Certificate (Criminal Record Check Certificate)

    Habari, Naomba kujua jinsi ya kupata police clearance certificate. Na je, inatuchukua siku ngapi au naweza kupata online? Msaada tafadhali.
  5. Ester505

    Naomba kujua kilo moja ya mwani (seaweed) ni bei gani

    Naomba kujua kwa sasa kilo moja ya mwani ni shilingi ngapi? Gharama za kusafirisha mwani kutoka Tanzania hadi UAE ni shilingi ngapi? Nawasubiri kwenye komenti zenu. Asanteni.
  6. Ester505

    Wanawake NENDENI kwenye makambi ya wanawake wa kilokole mponye ndoa zenu

    Jamani bila kuchelewa NI hivi,siku HIZI unyago hakuna. Ikiwepo siku moja,mbili. Nawashauri,NENDENI kwenye makongamano ya wanawake wa kilokole jamani,Kuna Mambo kuhusu mahusiano mpaka ndoa yaaani NI 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Nakwambia mabinti Wana masomo Yao,walioolewa Wana...
  7. Ester505

    Hata kama kakuacha, ondoa mawazo ya kujiua na kuua watoto

    Nawasalimu kwa salami pendwaaa,jibu NI kazi Iko hivi Kuna watu walipendana sàana,huku na huko wakamwita shekhee,akachoma ubani,ndoa ikafungwaaa. Ndoa ikawajibu jamani wakapata watoto wawili. Sasa huyo mume NI mshika chaki na mke NI mshika chaki,jamoooon mnanielewaa! Sasa Kama mnavyojua Tena...
  8. Ester505

    Unachokitafuta kwa mchepuko, kuna mtu kakiona kwa mke wako

    Nawasalimu kwa salaamu pendwa,ya kitaifaaa. Kazi iendeleee. Endelea na kazi ya kukitafuta hicho kitu kwa mchepuko, lakini kumbuka Kuna mtu KAKIONA kwa mkeo. Na tukumbushane tu kuwa, ukisema cha Nini wenzio wanalia wanasema watakipata lini. TULIA KWA MKEO.
  9. Ester505

    Msaada: Kwa anayeijua Internet Pesa je ni halali na salama?

    Nawasalimu, Naomba kwa wanaoijua hiyo Internet Pesa jamani waje. Kuna mtu anataka kuingia.
  10. Ester505

    Yuko wapi kijana Majaliwa yule muokoaji??

    Kwa mwenye TAARIFA zake jamani maana alivuma Sana kipindi kile Cha ajali ya ndege, maana inasemekana yeye alisaidia kuokoa watu ndani ya Ile ndege iliyodondokea kwenye maji na akaambiwa akasomee kozi ya uokoaji.
  11. Ester505

    Kama unajiona huna mapungufu, ndoa itakushinda

    Jamani, nawapenda wote humu ndani kwa maoni, ushauri, kuelimisha, kufahamisha n.k Ukweli Tangu niingie JF sijawahi juta. Ni hivi Wananzengo,Kama UNAJIONA na kujikuta wewe huna mapungufu, wewe mtakatifu, yaani kila unachofanya hukosei, baaaasi nakuomba Sana usioe, Wala usiolewe tulia tu. Siku...
  12. Ester505

    Mumewe hawezi kusimamisha tena

    Iko hivi;Kuna rafiki yangu anasema mumewe hawezi kusimamisha Tena mjegeje baada ya mshipa mmojawapo wa mjegeje kuvunjika. Huyu mumewe alienda kwa mchepuko wake,Sasa wakati wa kunyanduana ndo mchepuko akaikalia. Sasa alivyoikalia ndo mshipa wa mjegeje ukavunjika. Mumewe hakusema alivyorudi...
  13. Ester505

    Tujifunze kwa Vicky kuhusu ndoa

    TUJIFUNZE KWA Vicky jamani kuhusu ndoa. Unakutana na mtu anakwambia nimefunga ndoa na Fulani ndoa ya serikali. Sasa huba nilemeee, wewe unafunga NAE Tena ndoa ya dini may be kanisani. Ndugu zangu, wewe unayefunga Nae ndoa ya pili wakati ndoa ya kwanza haijavunjwa MAHAKAMANI huna haki kisheria...
  14. Ester505

    Njooni tumsaidie ndugu yangu, kapata mwanaume Mkenya

    Jamani naomba tumsaidie huyu ndugu yangu. Amepata mwanaume Mkenya. Je wako vizuri? Mimi nimeshindwa kumjibu, naomba tumsaidie.
  15. Ester505

    Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mbao banzi

    Naomba mwenye uzoefu na hii Biashara jamani anieleze A-Z. Nataka kuianza
  16. Ester505

    Watengenezaji sofa msaada

    Heshima kwenu. Naomba kujua kuhusu mbao zinazotumika kutengenezea sofa. Je ni mbao ngumu au Kuna aina nyingine???
  17. Ester505

    Kwa wenyeji wa Msata (Bagamoyo)

    Heshima yenu wakuu. Naomba uzoefu wenu kuhusu MSATA. Je Kuna fursa gani ya BIASHARA mtu anaweza kufanya? Vipi kuhusu Gharama za nyumba za kupanga? Au Kama Kuna sehemu nyingine NI nzuri kwa BIASHARA pia sio mbaya kama utasema Msaada wenu tafadhali,ndugu yangu anahitaji kujua.
  18. Ester505

    Msaada:kupata Cheti Cha ustawi wa jamii

    Jamani kwa wale wazoefu,je mwalimu mwenye degree ya elimu anaweza kupata cheti Cha ustawi wa jamii ili afundishe shule yake ya chekechea?? Maana wakaguzi huwa wanavihitaji wakati wa ukaguzi. Je afate taratibu zipi ili apate hicho cheti.
  19. Ester505

    Tujifunze kwa Yusufu Baba wa Yesu

    Kama YUSUFU alimlea YESU, Nawashauri wanaume muache kuhangaika na DNA. Tulieni tu, maana huwa NI mipango ya Mungu. Na huwezi kujua huyo unayemlea Leo kesho atakuja kukusaidia kwa kiasi gani. Hata wewe unayekataa kumlea mtoto wa mwanamke uliyemkuta NAE hii inakuhusu. NIKO PALE NIMEKAA...
  20. Ester505

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Morogoro, 760 sqm

    Kiwanja kinauzwa Morogoro mjini. NI Cha makazi na biashara. Bei Ni 6,300,000. 0785367879
Back
Top Bottom