Search results

  1. BARD AI

    Saikolojia: Mtoto wa chini ya miaka 6 anayeshuhudia matukio ya Ukatili ana uwezekano wa kuyafanya akiwa mkubwa

    Leo kuna jambo nimelisikia kutoka kwa Mtaalamu mmoja wa Saikolojia aliyehojiwa na Clouds FM akisema matukio ya Ukatili yamekuwa yakiendelea kutokea kwasababu Watoto wanaoishi katika mazingira hayo wanaharibiwa kisaikolojia na hali hiyo inawafanya kuja kutenda Ukatili pale wanapokuwa wakubwa...
  2. BARD AI

    Diddy atuhumiwa na Mwanamke mwingine kwa udhalilishaji wa Kingono

    Sean "Diddy" Combs anakabiliwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kijinsia. Mwanamitindo wa zamani Crystal McKinney anadai rapper huyo aliyefedheheshwa aliwahi kumlazimisha kufanya ngono ya mdomo kufuatia hafla ya Wiki ya Mitindo ya Wanaume mnamo 2003. kulingana na hati za mahakama...
  3. BARD AI

    Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

    Nakukumbusha hao wanachama unaosema waliwahi kuwachangia Mbowe na Wabunge wengie waliofungwa na Meko takriban Tsh. Milioni 400 ndani ya siku 3 tu
  4. BARD AI

    Prof. Mukandala: Meli ya MV Bukoba ilifanya kazi Tanzania kwa miaka 17 bila kusajili na haikupaswa kuletwa nchini

    Aliyewahi kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Rwekaza Mukandala amezitaja sababu mbalimbali zilizosababisha kuzama kwa meli ya Mv Bukoba kwa kurejea maandiko, hotuba, tafiti, hukumu za kesi zilizohusu sakata hilo. Profesa Mukandala ameyasema hayo leo Jumanne Mei 21...
  5. BARD AI

    Safari ya Rais Ruto nchini Marekani yadaiwa kugharimu Tsh. Bilioni 3.94

    Imedaiwa kuwa Safari ya siku 4 ya Rais William Ruto ambaye amealikwa na Rais Joe Biden, itagharimu takriban Tsh. Bilioni 3.94 kutokana na uamuzi wa Ikulu ya Kenya kukodi Ndege aina ya Boeing 737-700 kutoka kampuni ya Royal Jet ya Dubai. Hatua hiyo imeibua mijadala ya nchini humo kwa Wananchi...
  6. BARD AI

    Shirika la Bima la China (SINOSURE) kuisaidia Tanzania kutafuta Fedha za ujenzi wa SGR Lot 5

    Shirika la Bima la China - SINOSURE linaendelea na taratibu za upatikanaji fedha za kugharamia ujenzi wa Kipande cha Tano cha Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Isaka hadi Mwanza chenye urefu wa Kilomita 341 na kuonesha nia ya kusaidia upatikanaji fedha za ujenzi wa kipande cha sita cha ujenzi wa Reli...
  7. BARD AI

    Statement of ICC Prosecutor Karim A.A. Khan KC: Applications for arrest warrants in the situation in the State of Palestine

    On the basis of evidence collected and examined by my Office, I have reasonable grounds to believe that Yahya SINWAR (Head of the Islamic Resistance Movement (“Hamas”) in the Gaza Strip), Mohammed Diab Ibrahim AL-MASRI, more commonly known as DEIF (Commander-in-Chief of the military wing of...
  8. BARD AI

    President Raisi's death met with muted mourning and furtive celebration

    Iran declared five days of mourning for President Ebrahim Raisi on Monday. However, the subdued atmosphere did not reflect the intense public grief that has been seen in the past for other senior figures in the country's 45-year history. While government loyalists gathered in mosques and public...
  9. BARD AI

    Prof. Janabi: 90% ya Wagonjwa wa Figo wanaosafisha Damu Muhimbili ni kutokana na Kisukari na Shinikizo la Juu la Damu

    Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo, Prof. Mohamed Janabi amesema kila siku takriban Wagonjwa 150 wa Figo wanasafishwa Damu hospitalini hapo na 90% wamegundulika kuwa na Kisukari na Shinikizo la Damu Amesema kama watu wasipochukua hatua za...
  10. BARD AI

    Jacob Zuma apigwa chini kushiriki Uchaguzi Mkuu wiki ijayo Afrika Kusini

    AFRIKA KUSINI: Mahakama ya Juu imetoa uamuzi unaomuondoa Jacob Zuma, Rais wa zamani wa taifa hilo katika orodha ya Wagombea katika Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Mei 29, 2024 Kwa mujibu wa nyaraka za Mahakama, imeelezwa kuwa Zuma amepoteza sifa za kushiriki Uchaguzi kutokana na Kifungo cha...
  11. BARD AI

    Wizara ya Ulinzi kutumia Tsh. Trilioni 3.32 kwa mwaka 2024/25

    DODOMA: Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. 3,326,230,419,000 kwaajili ya matumizi ya Wizara, Vikosi vya Ulinzi kutoka Jeshi la Wananchi (JWTZ) na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mwaka 2024/25. Kwa mujibu wa Hotuba ya Bajeti iliyowasilishwa na Waziri...
  12. BARD AI

    Kwa jinsi hali ilivyo nchini, ukipewa nafasi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria utabadili nini kuongeza Uwajibikaji na Haki?

    Kama leo imetokea umepata nafasi ya kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, ukangalia hali ya masuala ya Kisheria nchini pamoja na mfumo wa utoaji Haki, utaanza na mabadiliko gani ili kuongeza Haki na Uwajibikaji nchini?
  13. BARD AI

    Waziri wa Ulinzi: JWTZ si sehemu ya Siasa, ni taasisi mahsusi kwa kazi mahsusi

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena L. Tax amesema Migogoro ya ardhi inayohusisha maeneo ya Jeshi inapaswa kutatuliwa kwa mashauriano kwa kufuata Sheria zilizopo na si Kisiasa Akiwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2024/25 amesema, maeneo ya Jeshi ni maalum kwa...
  14. BARD AI

    DR Congo: Serikali yasema waliojaribu kupindua Serikali ni Wakongo na raia wa Marekani

    DR-CONGO: Serikali imesema jaribio la Mapinduzi lililozimwa mwishoni mwa Wiki iliyopita liliongozwa na Christian Malanga, Mwanasiasa mwenye uraia wa Congo lakini makazi yake yapo Nchini Marekani akiwa na kundi la Wanajeshi walioasi. Msemaji wa Jeshi la DRC amesema takriban Watu 50 akiwemo Mtoto...
  15. BARD AI

    Mikoa ya Arusha na Manyara inaongoza kwa Ukeketaji Tanzania

    Mikoa ya Arusha na Manyara imetajwa kuwa na Kiwango kikubwa cha Ukeketaji nchini Tanzania ikiwa na Wastani wa 43% ya Vitendo hivyo ikifuatiwa na Mikoa ya Mara 28%, Singida 20% na Tanga 19% Mikoa mingine Dodoma (18%), Iringa (12%), Morogoro (10%), Kilimanjaro (9%), Njombe (7%) Pwani (5%) na...
  16. BARD AI

    Ndani ya mwaka mmoja Watoto 225,003 wanaolelewa Vituoni wameongezeka Tanzania

    Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imesema hadi kufikia Aprili 2024, kulikuwa na Vituo 3,862 Vilivyosajiliwa kwa Kulelea Watoto 397,935 (Wakiume 175,517 & Wakike 222,418) na Vituo 206 vya Kijamii vyenye Watoto 11,675 Idadi hiyo ni ongezeko la Watoto 225,003 sawa na...
  17. BARD AI

    Mei 17: Siku ya Shinikizo la Damu Duniani, Je unajua hali yako na unachukua tahadhari?

    Siku ya Shinikizo la Damu Duniani huadhimishwa Mei 17 ya kila mwaka ikiwa na lengo la kuongeza ufahamu utakaosaidia Kuzuia, Kugundua hali na Matibabu ya Shinikizo la Damu. Shinikizo la Damu huathiri mtu mzima 1 kati ya 3 duniani kote huku likisababisha matatzo mengine kama Kiharusi, Mshtuko wa...
  18. BARD AI

    Kitu gani maarufu kinautambulisha Mkoa unaotokea bila kutaja jina la Mkoa wenyewe?

    Nadhani kila Mkoa nchini Tanzania una alama yake au kitu fulani maarufu sana kinachutambulisha Mkoa bila hata kuambiwa ukiona unajua tu hii kitu ya mkoa fulani. Twende kazi wadau, nini kinautambulisha mkoa wako?
  19. BARD AI

    Kenya inaongoza Afrika Mashariki kwa madeni makubwa katika taasisi za Mikopo duniani

    Kwa mujibu wa taarifa ya Madeni iliyopo katika tovuti ya Shirika la Fedha Duniani (IMF), imeonesha takriban nchi 47 kutoka Afrika zimeendelea kuwa na Madeni katika taasisi hiyo ya Fedha ambapo hadi hadi kufikia Mei 16, 2024 Nchi 10 zilikuwa na Deni la takriban Tsh. Trilioni 72.3. Aidha, Nchi...
Back
Top Bottom