Search results

  1. N

    Natamani kumcheki lakini nashindwa kwa kuhofia kuonekana dhaifu kwake

    Yapata wiki sasa tangu tupishane kiswahili na mwandani wangu Kuna muda wazo la kumcheki linanijia lakini najikaza kisabuni kwa kuogopa ataniona niko so weak kwake. Ooh my God why this happen to me. Lord give me strength to overcome this Kilichobaki akili na moyo vinapingana, moyo...
  2. N

    Fanya hivi ukiona mwenza wako kabadilika

    Kwa kawaida hakuna mahusiano yanayokosa changamoto hata kama mpo ndani ya ndoa, vikombe kabatini tu vinagongana sembuse binadamu wawili waliokutana ukubwani na wote wakiwa na meno 32. Huwa inatokea kuna wakati mnafurahia sana mapenzi yenu lakini pia kuna wakati shetani anaingilia kati na kuanza...
  3. N

    Nahitaji kusoma NIT nipate cheti cha udereva halali ambacho kitakua na leseni ya C1, C2 na C3

    Nahitaji kwenda kusoma NIT ili nipate cheti cha udereva halali ambacho kitakua na leseni ya C1, C2 na C3 Je ada yao pale ni Tshs ngapi, kozi inachukua muda gani mpaka kumaliza na kupata cheti na je ni vitu gani watahitaji kwa upande wangu ili kuruhusiwa kusoma Natanguliza shukrani kwa...
  4. N

    Leo ndo siku ya watu kuchukua UTI sugu na mimba zisizotarajiwa sababu ya ngono zembe

    Hakika leo ndo siku ambayo wazinzi wengi wanaamini kwamba sikukuu kwao haiwezi ikaisha hivi hivi bila kudaka malaya na kwenda kujipigia Leo ndo siku ambayo wengi wanaenda kubeba UTI sugu na mimba sizizotarajiwa Fanya ngono uwezavyo lakini kumbuka kwamba watu wanatumia vidonge vya kufubaza...
  5. N

    INAUZWA Nauza mrUk Subwoofer kubwa bei chee Tshs 110,000

    Nauza Subwoofer aina ya mrUk UK21T23 kwa bei ya Tshs 110,000 Nimeitumia kwa muda wa miezi 3 tu bado ina upya wake na boksi lake pia bado lipo Haina tatizo la aina yoyote na haijawahi kwenda kwa fundi ila naiuza ili nitatue changamoto zangu Ukiiona ndo utaamini ninachoeleza hapa Karibu...
  6. N

    INAUZWA MrUK Subwoofer inauzwa bei chee

    Nauza Subwoofer aina ya mrUk UK21T23 kwa Tshs 140,000 Subwoofer hii nimeitumia kwa muda wa miezi mitatu tu hivyo bado ina upya wake na haina tatizo la aina yoyote na boksi lake pia lipo Mziki ni mkubwa na hauumizi masikio na inafaa hata kwa sherehe ndogo ndogo za nyumbani. Napatikana Mbezi...
  7. N

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa bei chee Kibaha kwa Mfipa upande wa chuo

    Habari Nauza kiwanja Kibaha kwa mfipa chenye ukubwa wa miguu 20 kw 19 Bei ni Tshs 3,500,000 maongezi kidogo yapo Kiwanja ni changu mwenye, kipo sehemu nzuri na huo mtaa maji, umeme na huduma zote za kijamii zipo Njoo nikuuzie umiliki kiwanja leo hii mana kadri siku zinavyokwenda ardhi...
  8. N

    Akisoma HGL anaweza soma Bachelor ya IT?

    Wakuu msaada wenu unahitajika. Kuna ndugu yangu amesoma masomo ya Arts O Level lakini hesabu yupo vizuri. Huyu ndugu yangu anataka akimaliza form six asome bachelor ya IT. Sasa anachohitaji kujua ni je ni combi gani anatakiwa lazima asome form 5 & 6 ili iwe rahisi kwa yeye kuapali bachelor ya...
  9. N

    Plot4Sale Nauza kiwanja Kibaha kwa Mfipa

    Habari Nauza kiwanja changu ambacho unaweza jenga nyumba ya makazi chenye ukubwa wa miguu 20 kwa 19 maeneo ya Kibaha kwa Mfipa. Tshs 5,000,000. Kutoka Kwa Mfipa stand hadi kwenye Kiwanja kwa pikipiki ni mwendo wa dakika 7-10 na kwa miguu ni mwendo wa dakika 20-25, kipo upande wa kushoto ukiwa...
  10. N

    Wanaofanya nafasi za ulinzi TAZAMA wanavaa uniform au wanavaa tu kiraia?

    Naomba kuuliza kwa ambao wanafanya kazi kwenye Bomba la mafuta la TAZAMA Hivi wanaofanya nafasi za ulinzi TAZAMA wanavaa uniform au wanavaa tu kiraia? Na je kama una uzoefu wa kazi hii ukipata kazi unapangiwa tu kituo cha kazi au kuna mafunzo wanakupa tena? Natanguliza shukrani kwa...
  11. N

    Kuna sehemu ninayoweza kutuma barua maeneo ya Mbezi ya Magufuli kwa njia ya posta au ni lazima kwenda Posta?

    Naishi Mbezi ya Magufuli, na nilikua na shida ya kutuma barua kwa njia ya posta. Hivi ni lazima niende Posta au hata upande huu wa kuelekea Kibaha kuna shirika la Posta? Naomba msaada wa kujuzwa kwa wanaofahamu.
  12. N

    TAZAMA wanalipaje kwa nafasi za ulinzi?

    Habari, Naomba kujuzwa kwa wenye uzoefu na hawa jamaa wa mradi wa bomba la mafuta la TAZAMA (TANZANIA ZAMBIA MAFUTA) Hivi wanalipaje kwa nafasi ya ulinzi? Mana nimeona wametangaza nafasi na wamesema mshahara mnono. Naomba kwa mwenye uzoefu au ambae anafanya nao kazi anijuze. Ahsante
  13. N

    Phone4Sale Nauza simu aina ya Itel A37 kwa bei ya Tshs 60,000 tu

    Nauza simu aina ya itel A37 kwa bei ya Tshs 60,000 tu *Screen (5.7 Inches) *Battery (3020 mAh) *RAM (1.00 GB) *Storage (16.00 GB) *3G/2G auto Simu iko kwenye hali nzuri sana, inakaa sana na charge na haijawahi kufunguliwa na fundi wa aina yeyote, nauza bidhaa ambayo ipo kwenye ubora na haina...
  14. N

    INAUZWA Tablet nzuri ya Samsung inauzwa bei chee

    Habari Nauza Tablet nzuri aina ya Samsung kwa beinya kutupa, bei ni Tshs 480,000 ila maongezi kdg yapo Tablet hii imetumika miezi mitatu tu hivyo bado ni mpya kabisa na aina mchubuko wa aina yeyote, ukiiona ndio utaamini. Model Name: Galaxy Tab A8 Battery Capacity : 7040 mAh (Typical) OS...
  15. N

    Kitanda kinauzwa

    Kitanda chenye ukubwa wa tano kwa sita kinauzwa, bei ni Tshs 75,000 maongezi kidogo yapo. Napatikana Mbezi Makabe, kama unahitaji piga simu 0712268434 tufanye biashara. Karibuni
  16. N

    Toshiba External Hard Disk GB 500 inauzwa

    Nauza External hard drive (Toshiba) yenye ukubwa wa GB 500 Ipo kwenye hali nzuri sana na haina tatizo la aina yoyote Bei Ni Tshs 65,000 maongezi kdg yapo Nipo Mbezi Stand ya Magufuli TAYARI IMESHAUZWA
  17. N

    TAMISEMI

    Kuna yoyote humu amefanikiwa ku apply nafasi za ualimu kupitia huu mfumo wao ? Kama yupo naomba anipe mbinu ni muda gani system inakua imetulia mana me kila nikijaribu naona mapichapicha tu
  18. N

    "What is your salary expectation?"ni moja ya swali ninalolichukia toka kwa mwajiri

    Moja kati ya swali ninalolichukia toka kwa mwajiri ni "What is your salary expectation ?" Huwa najiuliza kwanini mwajiri aniulize hivi wakati tayari ana scale yake kashaiandaa kwa position husika Ni ngumu sana kumshawishi mwajiri aliepanga kukulipa 1,000,000 basic salary kisha akulipe...
  19. N

    Data Officer MDH

    Kwa wale ambao tulifanya usaili wa pili kwamaana ya "Oral Interview" kuna yeyote yumo humu ambae kashaitwa kazini ? Mana inabidi tuulizane ili kama kuna wenzetu wameshaitwa basi tuliokosa tupunguze matarajio. Kama kuna yeyote mwenye info za ndani tunaomba atujuze ili nijue ama tujue kama...
  20. N

    Interview ya MKUTA ni moja ya interview mbovu niliyowahi kuhudhuria katika maisha yangu

    Mwitikio wa Kudhibiti Kifua Kikuu na Ukimwi Tanzania (MKUTA) Hawa jamaa niseme tu kwamba hawapo serious au hawajui nini wanatakiwa kufanya Kama mwezi umepita walitangaza nafasi moja ya kazi wakanialika interview kupitia Zoom Meeting, chakushangaza kuna rafiki yangu mmoja nae aliniambia...
Back
Top Bottom