Search results

  1. ndege JOHN

    Naona ni idea nzuri kuishi mkoa tofauti na mkeo

    Future wife ni mjasiriamali mzuri ila mkoa ninapofanyia kazi hakuna mishe mishe mzunguko mdogo watu wengi hawana kazi so wamekalia majungu sana na usengenyaji nilichofikiria ni kupanga maghetto mawili moja mkoa mwingine akae mke so nachokifanya ni kila ijumaa mchana namfuata mke tunakaa wote...
  2. ndege JOHN

    Unawajua Wanyama wasiolea watoto wao

    Kuna nyoka, mjusi, kinyonga hawa wakishazaa au kutaga mayai hao wanaondoka hawana Tena time na watoto wao. Sungura na panda wao watakaa kidogo na watoto labda week then wanawaacha wajitegemee. Nyani ye akiona mtoto mlegevu mlegevu anamwachia toka juu ya mti. Buibui yeye sometimes sio tu ana mu...
  3. ndege JOHN

    Wanaovizia scholarship za japan tukutane hapa

    Kupeana mawili matatu yanayohusu changamoto za kwenye application hio toka wizara ya elimu ya japan. Maana application imekaa Kwa lugha sio nyepesi kivile.. Mpo mliona tangazo?
  4. ndege JOHN

    Biashara haramu ya mbao kwenda China inavyofadhili uasi Msumbiji

    Usafirishaji wa mbao, unaokadiriwa kuwa na thamani ya dola za kimarekani milioni 23 kwa mwaka, kutoka misitu ya kale ya Msumbiji hadi China unasaidia kufadhili waasi wa itikadi kali za Kiislamu pamoja na mtandao mkubwa wa uhalifu kaskazini mwa nchi hiyo. Biashara hii haramu ya miti ya...
  5. ndege JOHN

    Usikute Elon Musk sio genius ila tu kawekeza kwenye project za akili nyingi

    Kuna watu hufikiria labda mtu kufanikiwa na kuwa Tajiri sana ni akili na upepo ndio uliomfikisha pale kumbe nyuma kuna watalaam wengi waliomuuzia wazo akalikubali akatia hela na kweli outcomes ikaja. Kwa mfano kina Bahkresa wao wametulia tu makampuni yana management nzuri yanakua. Yeye haumizi...
  6. ndege JOHN

    Kwenye ndege mnavuta oxygen kutoka wapi wakati ndege inaruka layer ya stratosphere kusiko na hewa

    Nielimisheni hii kitu sote tunajua tunaishi layer ya trotosphere 0-20 km na ndo kwenye hewa nzuri ya oxygen. Ndege za abiria zinakwenda stratosphere sasa ndege inatumia mfumo gani mpaka mnavuta hewa kawaida kama mpo chini huku. Je kuna mitungi ya oxygen inayozalisha na kuwasambazia? Huu...
  7. ndege JOHN

    Waziri ana nafasi ya kujua mambo mengi, wanayosema wanakuwa wameshauriwa na wataalamu wengi. Hawasemi tu kwa kuropoka

    Kwanini unchallenge mtu wa rais? Mnaoponda Waziri wa Rais maana yake hapo una mchallenge Rais na Rais hapingwi. Ukimdharau mtu pengine awe na madhaifu ndio tumpelekee Rais ili akae na watu wake. Washauri wake mtaandika mengi ila Waziri hata kama angekuwa na elimu ndogo ana washauri wake...
  8. ndege JOHN

    Mnaonaje hela ya kuzoa takataka ikatwe juu kwa juu kama ile ya kodi ya nyumba katika luku?

    Sijui niseme halmshauri zetu zimeshindwa hili suala la uzoaji takataka kwani miji mingi naona ni michafu sana na pia wananchi wenyewe wabishi kutoa hela za taka wajumbe wa halmshauri ya kijiji wanalalamikia hili. So me naona japo ni suala dogo ambalo hata private sector inaweza kuifanya ikipewa...
  9. ndege JOHN

    Breakfast yako kuu kwa sasa ni ipi?

    Wengine kila asubuhi chai Mkate wengine hupendelea Viazi mviringo kila asubuhi na wengine kiporo cha wali. Mimi Kwa mazingira ninayokuwepo asubuh siwezi kukwepa Mihogo Kama mnavojua cassava Kwa sasa ndo ipo on chart bila kuchoka Maharage na Juice ya passion. Kwanini kwanza navikubali vitu hivo...
  10. ndege JOHN

    Ndege JOHN nakupa mchongo uufanyie kazi, deal na breakfast ya vyakula vya asili

    Anzisha mgahawa weka wafanyakazi wawili tafuta eneo zuri deal na breakfast ya vyakula vya asili tu. Nunua sahani 20 za udongo na Uma 20 na vijiko 20 na sufuria 5. Mazingira yawe masafi yenye maji ya kutosha na yanayovutia bila kusahau jiko kubwa la gas na friji liwepo. Asubuhi nenda sokoni...
  11. ndege JOHN

    14 wafariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya bango kuanguka India

    Takriban watu 14 wameaga dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya bango kubwa kuanguka wakati wa dhoruba ya ghafla katika mji wa Mumbai nchini India. Bango hilo, lenye ukubwa wa mita 70 kwa 50 kwa mujibu wa polisi, lilianguka kwenye nyumba na kituo cha petroli jijini siku ya Jumatatu...
  12. ndege JOHN

    Nini maana ya kasma ya mwajiri

    Katika ujazaji form ya maombi ya uanachama wa Mfuko wa Bima ya afya kuna kipengele cha kujaza kasma ya mwajiri. Nini maana yake Kwa anayeelewa.
  13. ndege JOHN

    Zifahamu nyaya za baharini na mtandao wake katika mabara

    Kebo za chini ya bahari, pia hujulikana kama nyaya za mawasiliano za chini ya bahari, ni nyaya za nyuzi-optic zinazowekwa kwenye sakafu ya bahari na zinazotumiwa kusambaza data kati ya mabara. Kebo hizi ndizo uti wa mgongo wa mtandao wa kimataifa, unaobeba wingi wa mawasiliano ya kimataifa...
  14. ndege JOHN

    Madhara yanayotupata kwa sababu ya kutumia simu muda mwingi

    Unaweza kujikuta unakuwa sio mfanya mazoezi Tena sababu kuu ikiwa ni simu kuniletea Dunia karibu vitu kama vyote live sasa muda wa kujiweka fit umechukuliwa. Unaweza kujikuta wengi wa vijana tunaishia kujichua wengine hata Mara nne Kwa siku Kwa sababu una access ya porno all the time hivyo...
  15. ndege JOHN

    Kama Rushwa nchini Tanzania isingekuwa kubwa basi tungejua hizi kesi 3 zimeishaje

    1. Wizi wa mafuta kigamboni 2. Mchimba Madini Mtwara 3. Mtandao wa POS fake katika halmshauri Hakuna kazi life is not fair.
  16. ndege JOHN

    Bilionea ni mtu mwenye hela sana, akikupa million 200 hapati gepu

    Kuna watu wenye hela zao Sema tu hujakutana nao wapo huko duniani Wanasubiri marafiki wawape pesa fikiria fikiria hela ziko hewani ni wewe kuzidownload tu tafuta rafiki mzuri mwenye idea maana kila kitu kinaanzia kwenye idea.
  17. ndege JOHN

    Barabara za blue Qatar.

    Taifa pekee lenye lami zilizopigwa rangi ni Qatar.
  18. ndege JOHN

    Kwa dunia ya sasa mke wa kweli yupo kijijini au mjini ?

    Eti wakuu wanawake wa mjini wa kuunga unga kelele nyingi na njaa ya kutisha. Mjini bwana unapiganiwa hatari mwanamme mmoja inagombaniwa na wanawake wa nne maisha ni magumu sana. Ukiwa mtenda mabaya maisha yatakuwa mabaya.
  19. ndege JOHN

    Lijue eneo lenye makaburi mengi zaidi duniani

    Panafahamika kama peace valley huko Iraq.. Unaweza ukadhani ni mji kumbe hapo kuna kabauri zaidi ya million 5. ====== The world's largest cemetery, in Iraq's Shi'ite holy city of Najaf, is expanding at double its usual rate as Shi'ite militias bury their dead from the war against Islamic...
  20. ndege JOHN

    Kuna mtu anaomba ushauri amepata content

    Kuna Jamaa ana kipaji ila anauliza ata create account Kwa njia gani ili zikalink zote akawa anapata hela Kwa views anachotaka kujua account ili ulipwe hela Kwa views lazima atengenezewe na watalaam wa IT au hata yeye anaweza kukamilisha mchakato wote. Iwe fb iwe Instagram iwe Twitter iwe...
Back
Top Bottom