Search results

  1. LIKUD

    Hospitali gani nzuri ya kutahiri watoto wa kiume hapa mjini Dar? Jina la Dokta Tafadhali!

    Pia kuna watu wananishauri eti niwatahiri kienyeji kwamba ndio watakaa vizuri zaidi but it doesn't make sense with me. Mimi nilitahiriwa Muhimbili mwaka 1989 nikiwa nna miaka minne. Watoto wangu nimechelewa sana kuwatahiri. Mmoja miaka 9 (std.4) na mwingine miaka 7( std.2). Nilichelewa...
  2. LIKUD

    Mpaka leo hii sijui kwanini mchezaji wa mpira nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 halafu mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh. Laki 3

    Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo. Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi) Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi . So katika taifa letu hili la...
  3. LIKUD

    Sababu halisi kwanini ni ngumu sana kwa Mbantu kufanikiwa kwenye biashara

    Hata hivyo, miongoni mwa wabantu wapo baadhi ya wabantu ambao wamefanikiwa ku walk out of this curse. Mfano wachagga, wakinga etc. Ila wengi wa wabantu hawawezi kabisa kufanikiwa kwenye biashara. Sababu kuu ni hii hapa chini: Wabantu wanapokuwa wanafanya biashara huwa wanashindwa...
  4. LIKUD

    Kwanini nafsi yangu imehuzunishwa sana na kifo cha Veteran Actor huyu wa Nigeria

    Imeandikwa kwenye kitabu cha Injili ya Yohana 11 kwamba " When Jesus learned about the death of his friend Lazurus his soul was troubled" This was me today after I learned about the passing away of this great man. Huyu Zulu Adigwe kwenye kitabu changu ndio Actor bora kabisa wa wakati wote...
  5. LIKUD

    Ney Wa Mitego You are The True Son Of Your Father. Kwenye hii ngoma yako mpya " Bachelor" umeweza sana kaka. Hakuna swali.

    Kwenye hii ngoma yako kama ingekuwa ni demu basi ni Beyonce Knowles. Na kama ingekuwa mchezaji wa mpira wa miguu basi ni Said Mwamba Kizota au Haruna Moshi Boban. A very catchy melody . Ni aina ya wimbo ambao hata ukiusikia kwa mara ya kwanza unakukumbusha sehemu ambayo...
  6. LIKUD

    Masikini Nabi( Nassredine)

    Alikuwa anaongoza vizuri tu tena kwa tofauti ya point nyingi ila now wameànza kumfanyia mtimanyongo. Jana marefa wa mchongo wamefanya ukhanithi wao mwisho wa siku Nabi kupoteza mechi muhimu. Sasa hivi ana point 64 wanaomfuata Raja Casablanca wana point 60 na mchezo mmoja kibindoni(kiporo)...
  7. LIKUD

    Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

    Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni haramu kama ilivyo nyama ya nguruwe. Kwahiyo kwa hermonize kuingia kwenye muziki tayari...
  8. LIKUD

    Muislamu au Mkristo kuamini kwamba kitabu cha dini yako ni bora kuliko akili yako ni kumkosea sana Mwenyezi Mungu. Sababu hii hapa

    Kitabu cha imani yako kimetungwa na watu. Akili yako imeumbwa na Mungu mwenyewe. Ila wewe una amini kitabu cha imani yako ambacho kimetungwa na wanadamu ni bora kuliko akili yako ambayo imeumbwa na Mwenyezi Mungu. Huko ni kumkosea heshima Mwenyezi Mungu kwa kiwango cha hali ya hali ya juu sana.
  9. LIKUD

    Andiko lisemalo " Kila nafsi itaonja mauti" ni swali na sio jawabu. Wachina wameanza kujibu. Babu zetu walikaribia kabisa kupata jawabu

    Sisi wafuasi wa dini za kiafrika tuna amini kwamba Mwenyezi Mungu (Chanzo cha vitu vyote ) alituumba wana wa dunia na kutuweka kwenye sayari ya dunia ili tuweze kujibu maswali mbalimbali ambayo yeye Mwenyezi Mungu ametuuliza. Moja kati ya swali ambalo Mungu ametuuliza ni " Tutafanya nini ili...
  10. LIKUD

    Kuna mtu kawauliza swali wanaosema "Mungu hafananishwi na kitu chochote" wameshindwa kujibu wanamtukana na kumpa vitisho. Mpeni majibu tafadhali

    Ilikuwa kwenye mjadala kuhusu maoni ya Harmonize kwamba katika miaka ishirini aliyo ishi duniani amegundua kwamba huenda Mungu ni mwanamke.. Wenye dini zao wanasema Harmonize apigwe mawe kwa sababu amekufuru na kwamba " Mungu hafananishwi na kitu chochote kile" Swali la jamaa lilikuwa: 1...
  11. LIKUD

    Wanaume mlio oa na mlio na watoto wa kike wakubwa ( mabinti vigori/li) Hivi jina " Dullah" liliwakosea nini mbona mnali demonize hivyo?

    Kosa jamaa aambiwe " Kaka mkeo alikuwa anaongea na Dullah" yani jamaa hata kama hamfahamu huyo Dullah basi atawaza tu kwamba huyo Dullah anatembea na mkewe. Atagombana na mkewe na atakuwekea jealousy wewe Dullah. Unashangaa tu unakutana na mtu barabarani ana kuangalia kwa chuki unabaki...
  12. LIKUD

    Wimbo "Mtoto wa Geti kali" wa Inspector Haroun haukuwa kwa ajili ya mwanamke (haukumlenga mwanamke)

    Wimbo wa mtoto wa geti ulikuwa kwa ajili ya kuwapa faraja " watoto wa kiume" (elewa maana ya " mtoto" wa kiume) pamoja na wanaume makabwela wasio kuwa na akili za kiume. Wimbo huo ulikuwa una appeal zaidi na nafsi na fantasy za makundi ya watu nilio wataja hapo juu yani watoto wa...
  13. LIKUD

    Kwa heshima ya Motsepe na Mamelodi. Mamelodi wajitoe kwenye hatua ya nusu fainali ili nafasi yao ichukuliwe na Yanga

    Motsepe ametia aibu soka la Afrika. Hata waarabu huwa hawakataagi magoli ya wazi namna hiyo.. kiasi inakuwa ngumu ku rule out kwamba refa amekuwa bribed. Afrika nzima inaandamana mtandaoni wanasema "it was a clear goal" Kuna hashtag ina sanaa kama moto wa nyikani huko mtandaoni watu wanasema...
  14. LIKUD

    Kwa uonevu wa wazi dhidi ya goli la Yanga leo, suluhisho ni timu za Tanzania kujitoa mashindano ya Afrika. Na tujitoe kwa staili hii

    Goli limeingia, saa ya refa imelia kuashiria goli limeingia. Read anapokea maelekezo kutoka kwa watu wa v.a.r ( probably watu wa motsepe) Yani hata kwenda kuangalia tu var kimchongo amejistukia amekataa hata kwenda . Dah ushoga mtupu. Suluhisho ni kwa timu za Tanzania kujitoa kwenye...
  15. LIKUD

    Ngoma ngumu kwa Mamelody, washusha kiingilio. Injinia awashika pabaya

    Mwanzoni Mamelody waliweka kiingilio Rands 20 . Then Injinia wa mpira, Hersi Said akatangaza kiingilio bure kwa kila shabiki wa Yanga atakae ingia uwanjani loftus kuwaspoti Yanga ( umewekwa utaratibu wa kuwalipia mashabiki wote wa Yanga watakao ingia uwanjani leo) Mamelody wametangaza...
  16. LIKUD

    Shabiki mnazi wa Mamelody aingia ubaridi. Aomba mechi iahirishwe

    Huyu ni shabiki mnazi wa Masandawana. Ona alicho kiandika hapa
  17. LIKUD

    Kiroho zaidi: Wazee mliopewa mechi ya Yanga kumbukeni sfaili hii ya ulozi ya kubadilisha jina la mpinzani

    Hii ni kanuni katika uchawi ambayo inatumika toka enzi za Pontyo wa Pilato. Ni hivi unapo ingia Vitani na mshindani mwenye nguvu unatakiwa kwanza kumbadilisha jina lake. Usidhindane na mshindani wako mwenye nguvu kwa kumtaja jina lake ambalo of course lina nguvu na historia. During Lucifer's...
Back
Top Bottom