Kwanini nafsi yangu imehuzunishwa sana na kifo cha Veteran Actor huyu wa Nigeria

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,221
27,377
Imeandikwa kwenye kitabu cha Injili ya Yohana 11 kwamba " When Jesus learned about the death of his friend Lazurus his soul was troubled"

This was me today after I learned about the passing away of this great man.

Huyu Zulu Adigwe kwenye kitabu changu ndio Actor bora kabisa wa wakati wote kuwahi kutokea juu ya uso wa dunia.

Na kama ulikuwa hajui basi nakujulisha ya kwamba picha ya kwenye Avatar yangu ni picha ya mwamba huyu ambae ndio Actor pekee duniani ambae nimetazama movies na tamthiliya zake zote..

I have got a very deep respect over this great man.

Huyu kwangu ni rafiki na ndugu ambae hatukuwahi kukutana .

Kwa wingi wa busara na hekima alio jaaliwa now huyu mtu wa maana kabisa nilitamani walau siku moja nifanye interview ya walau masaa matatu kuhusu maisha.

Am sure as heaven ningeweza kujifunza vitu muhimu kabisa kuhusu maisha kwa sababu mtu huyu alikuwa ni mtu mwenye hekima na busara nyingi.

Watu walio wahi ku experience an NDE ( Near Death Experience ) wanasema kwamba roho yako inapo uacha mwili kwa.mara ya mwisho huwa unaonyeshwa kwenye kitu kama projector mambo yote muhimu katika maisha yako kuanzia kuzaliwa kwako hadi kufa kwako. And then huonyeshwa pia watu ambao walikuwa wanakupenda ama kukubali sana na ambao wataumizwa na kifo chako. Departed Soul huyu kama atagundua kwamba miongoni mwa watu wanao mpenda hana taarifa za kifo chake basi ata kuhakikisha mtu huyo anapata taarifa ndani ya muda mfupi( o can relate this kwa sababu leo nimepata taarifa za msiba wa mwamba huyu ndani ya dakika 30 tangu afariki. Kuna watu wapo Nigeria hawajui kama huyu mwamba amefariki na kwa hapa Tanzania Nina uhakika Mimi ndio Mtanzania pekee ninae fahamu kuhusu kufariki kwa mwamba huyu au pengine ndio Mtanzania wa kwanza kujua hilo. To me this might signify that probably Zulu Adigwe'soul after the departure it learned about me/ or it picked me up in the realm of the spirit and make sure I get this news so I can afford him a decent burial.

Hawa departed spirit pia huenda kwenye nafsi za watu hao na kuwaisaidia kuomboleza. Unaweza kuwa una jisikia vibaya sana kuhusu kifo cha celeb fulani na usijui kwanini ipo to that extent kumbe ni huyo soul ndio anahuzunika kwa kukuonea huruma kumpoteza yeye.

Rest In Eternal Peace ZULU Adigwe

😭😭😭😭
 
Attachments

  • FB_IMG_1714849816716.jpg
    FB_IMG_1714849816716.jpg
    57.5 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1714849811140.jpg
    FB_IMG_1714849811140.jpg
    32.5 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1714849800904.jpg
    FB_IMG_1714849800904.jpg
    62.1 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1714849777180.jpg
    FB_IMG_1714849777180.jpg
    48.5 KB · Views: 2
  • images (6).jpeg
    images (6).jpeg
    10.3 KB · Views: 4

Pole sana, tumshukru MUNGU kwa maisha aliyomtunuku hapa duniani huyo mpendwa ambayo yalifanyika baraka na chanzo cha furaha, amani, faraja, hekima na maarifa kwa wengine.

Mwendo ameumaliza.
 
Aamin.
Halafu jana ndio nimegundua he was born in the same year with my father. Wote wamezaliwa mwaka 1950. Baba angu alizaliwa mwezi December ila huyu kwamba alizaliwa mwezi May kama ambavyo Mimi nimezaliwa mwezi mei.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Imeandikwa kwenye kitabu cha Injili ya Yohana 11 kwamba " When Jesus learned about the death of his friend Lazurus his soul was troubled"

This was me today after I learned about the passing away of this great man.

Huyu Zulu Adigwe kwenye kitabu changu ndio Actor bora kabisa wa wakati wote kuwahi kutokea juu ya uso wa dunia.

Na kama ulikuwa hajui basi nakujulisha ya kwamba picha ya kwenye Avatar yangu ni picha ya mwamba huyu ambae ndio Actor pekee duniani ambae nimetazama movies na tamthiliya zake zote..

I have got a very deep respect over this great man.

Huyu kwangu ni rafiki na ndugu ambae hatukuwahi kukutana .

Kwa wingi wa busara na hekima alio jaaliwa now huyu mtu wa maana kabisa nilitamani walau siku moja nifanye interview ya walau masaa matatu kuhusu maisha.

Am sure as heaven ningeweza kujifunza vitu muhimu kabisa kuhusu maisha kwa sababu mtu huyu alikuwa ni mtu mwenye hekima na busara nyingi.

Watu walio wahi ku experience an NDE ( Near Death Experience ) wanasema kwamba roho yako inapo uacha mwili kwa.mara ya mwisho huwa unaonyeshwa kwenye kitu kama projector mambo yote muhimu katika maisha yako kuanzia kuzaliwa kwako hadi kufa kwako. And then huonyeshwa pia watu ambao walikuwa wanakupenda ama kukubali sana na ambao wataumizwa na kifo chako. Departed Soul huyu kama atagundua kwamba miongoni mwa watu wanao mpenda hana taarifa za kifo chake basi ata kuhakikisha mtu huyo anapata taarifa ndani ya muda mfupi( o can relate this kwa sababu leo nimepata taarifa za msiba wa mwamba huyu ndani ya dakika 30 tangu afariki. Kuna watu wapo Nigeria hawajui kama huyu mwamba amefariki na kwa hapa Tanzania Nina uhakika Mimi ndio Mtanzania pekee ninae fahamu kuhusu kufariki kwa mwamba huyu au pengine ndio Mtanzania wa kwanza kujua hilo. To me this might signify that probably Zulu Adigwe'soul after the departure it learned about me/ or it picked me up in the realm of the spirit and make sure I get this news so I can afford him a decent burial.

Hawa departed spirit pia huenda kwenye nafsi za watu hao na kuwaisaidia kuomboleza. Unaweza kuwa una jisikia vibaya sana kuhusu kifo cha celeb fulani na usijui kwanini ipo to that extent kumbe ni huyo soul ndio anahuzunika kwa kukuonea huruma kumpoteza yeye.

Rest In Eternal Peace ZULU Adigwe

😭😭😭😭
Pole sana kwa msiba
 
U cant imagine Mimi nimejua jana kwa sababu taarifa rasmi ya familia imetoka rasmi jana. So in my mind huyu great man amefariki jana kwa sababu jana ndo nimejua kuwa amefariki.. In addition to that bado mwamba hajazikwa pia. Familia imesema taarifa ya mazishi yake itatangazwa hapo baadae.

Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi. AMEEN.
 
Attachments

  • images (6).jpeg
    images (6).jpeg
    10.3 KB · Views: 1

Attachments

  • FB_IMG_1714849816716.jpg
    FB_IMG_1714849816716.jpg
    57.5 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1714849811140.jpg
    FB_IMG_1714849811140.jpg
    32.5 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1714849800904.jpg
    FB_IMG_1714849800904.jpg
    62.1 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1714849800904.jpg
    FB_IMG_1714849800904.jpg
    62.1 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1714849777180.jpg
    FB_IMG_1714849777180.jpg
    48.5 KB · Views: 2
Imeandikwa kwenye kitabu cha Injili ya Yohana 11 kwamba " When Jesus learned about the death of his friend Lazurus his soul was troubled"

This was me today after I learned about the passing away of this great man.

Huyu Zulu Adigwe kwenye kitabu changu ndio Actor bora kabisa wa wakati wote kuwahi kutokea juu ya uso wa dunia.

Na kama ulikuwa hajui basi nakujulisha ya kwamba picha ya kwenye Avatar yangu ni picha ya mwamba huyu ambae ndio Actor pekee duniani ambae nimetazama movies na tamthiliya zake zote..

I have got a very deep respect over this great man.

Huyu kwangu ni rafiki na ndugu ambae hatukuwahi kukutana .

Kwa wingi wa busara na hekima alio jaaliwa now huyu mtu wa maana kabisa nilitamani walau siku moja nifanye interview ya walau masaa matatu kuhusu maisha.

Am sure as heaven ningeweza kujifunza vitu muhimu kabisa kuhusu maisha kwa sababu mtu huyu alikuwa ni mtu mwenye hekima na busara nyingi.

Watu walio wahi ku experience an NDE ( Near Death Experience ) wanasema kwamba roho yako inapo uacha mwili kwa.mara ya mwisho huwa unaonyeshwa kwenye kitu kama projector mambo yote muhimu katika maisha yako kuanzia kuzaliwa kwako hadi kufa kwako. And then huonyeshwa pia watu ambao walikuwa wanakupenda ama kukubali sana na ambao wataumizwa na kifo chako. Departed Soul huyu kama atagundua kwamba miongoni mwa watu wanao mpenda hana taarifa za kifo chake basi ata kuhakikisha mtu huyo anapata taarifa ndani ya muda mfupi( o can relate this kwa sababu leo nimepata taarifa za msiba wa mwamba huyu ndani ya dakika 30 tangu afariki. Kuna watu wapo Nigeria hawajui kama huyu mwamba amefariki na kwa hapa Tanzania Nina uhakika Mimi ndio Mtanzania pekee ninae fahamu kuhusu kufariki kwa mwamba huyu au pengine ndio Mtanzania wa kwanza kujua hilo. To me this might signify that probably Zulu Adigwe'soul after the departure it learned about me/ or it picked me up in the realm of the spirit and make sure I get this news so I can afford him a decent burial.

Hawa departed spirit pia huenda kwenye nafsi za watu hao na kuwaisaidia kuomboleza. Unaweza kuwa una jisikia vibaya sana kuhusu kifo cha celeb fulani na usijui kwanini ipo to that extent kumbe ni huyo soul ndio anahuzunika kwa kukuonea huruma kumpoteza yeye.

Rest In Eternal Peace ZULU Adigwe

😭😭😭😭
Mwamba umeumia Sana. Pole
Ukiona hivyo kuna kitu ulipaswa uombee kabla Lakini hukufanya hivyo
Ukakimbila Jamii forum 😭
 
Alicheza vizuri kwenye film ya izaga ooh so sad hata mimi nilimkubari sana
 
When a cowboy trades his spurs for wings. R.I.P classmate.
 
Back
Top Bottom