Masikini Nabi( Nassredine)

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,204
27,329
Alikuwa anaongoza vizuri tu tena kwa tofauti ya point nyingi ila now wameànza kumfanyia mtimanyongo.

Jana marefa wa mchongo wamefanya ukhanithi wao mwisho wa siku Nabi kupoteza mechi muhimu.

Sasa hivi ana point 64 wanaomfuata Raja Casablanca wana point 60 na mchezo mmoja kibindoni(kiporo)

Mechi bado ni nyingi na bado kuna mechi kati ya Raja na FAR Rabbat.

Hawa jamaa wanaweza kumfanyia Nabi mtimanyongo akakosa ubingwa.

Binafsi natamani sana Nabi abebe ubingwa wa Morocco kwa sababu sisi kama Yanga hatumdai chochote, Profesa Nabi mtu wa maana kabisa kama alivyo Profesa Gamondi.

Morocco ligi.png
 
Uzi wako ulipaswa kuelezea ni vipi mtimanyongo umetokea. Marefa walifanya yapi? Ilikuwaje?
 
Yaani mmezoea kulalamika mpaka mmegeuka vilalamishi professionals.Yaani sasa mnalalamika mpaka nje ya mipaka ya Tanzania.Kweli unaitendea haki ibara ya 2 kwenye katiba yenu lalamika na bisha mpaka kufa.
 
Jana RABAT wamecheza au Uzi umeuona Twitta huko umekurupuka kuleta rekebisha jana Hakukua na match ya ligi ya BOTOLA tunajua sana sisi wawekezaji.
 
Jana RABAT wamecheza au Uzi umeuona Twitta huko umekurupuka kuleta rekebisha jana Hakukua na match ya ligi ya BOTOLA tunajua sana sisi wawekezaji.
Alipocheza kilitokea nini maana mleta uzi kaongea utafikiri wote wametazama hiyo mechi. Nini kilitokea kimaamuzi hadi huyu mleta uzi aseme kuna uonevu?
 
Mechi bado tatu akinipanga vizuri anabeba ubingwa... Mambo ya kulaumu marefa angeachana nayo
 
Watu ambao hawajui mpira utawajua tu hapo kimahesabu bado mechi 3 hizo mechi nyingi sijui umezitolea wapi
 
Back
Top Bottom