Search results

  1. Crocodiletooth

    Ndani ya chadema ni mvurugano tu, wapo walio bora na wasio bora, ndiyo shida kuu!

    Kwa jinsi nilivyotonywa na paparazzi maalumu ambaye yu ndani ya chadema na ni mwanachama wao kinda kinda ki, wapo wanaopewa kipaumbele cha kifedha ili kujenga mahekalu yao na familia zao, kibaya zaidi wapo waliowekwa pembeni na hawaruhusiwi kuhoji lolote, suala hili linaleta shida na tabu kubwa...
  2. Crocodiletooth

    Jinsi bwana Coca-Cola alivyojianzishia kabiashara kake!

    This Day In History May 8 1886 American pharmacist John S. Pemberton developed Coca-Cola, a drink he originally billed as a cure-all tonic. On May 8, 1886, Dr. John Stith Pemberton invented Coca-Cola, forever changing the history of eating habits around the world. The drink’s name refers to two...
  3. Crocodiletooth

    Ifike wakati mambo ya Muungano yasijadiliwe kama turufu za wanasiasa, tuendako siko!

    Tusipoziba ufa, tutajenga ukuta, Ni busara shughuli na maswala ya muungano na tunu zake, yakatolewa nje, aidha yakawa siyo maswala ya kujadiliwa na wanasiasa wa vyama vya siasa vilivyopata usajili na kuandikishwa kama vyama vya kisasa, badala kuwepo na mipaka ya kiutaratibu maalumu juu ya...
  4. Crocodiletooth

    Happy birthday Innocent Bashungwa, kwanini baadhi ya viongozi hutenguliwa ghafla!

    Bwana Inno alivyokataa Bilioni 5 za Hayati kwenye miaka ya 2018 Alitokea mfanyabiashara mmoja alimfuata Bwana Inno ofisini pale Wizara ya Biashara, na alifika pale akaanza kumshawishi ili amkubalie ombi lake la kwenda kumuombea kibali cha kuagiza sukari kutoka nje kwa sababu wakati huo SHUGA...
  5. Crocodiletooth

    Ni mikoa gani ambayo mvua hizi hazinyeshi kwa hapa Tanzania?

    Ni mikoa gani ambayo mvua hizi hazinyeshi kwa hapa Tanzania? Tujuzane!
  6. Crocodiletooth

    Uzalendo na utumishi waliokuwa nao akina Sokoine, Warioba haupo tena, waliopo ni wote ni wezi tu wenye wivu

    Watanzania wa leo kwa asilimia 99%, ni wezi tu, uzalendo na utumishi kwa ajili ya umma wa watanzania haupo tena, kwa leo hii usione mtu anapigia kelele mwenzake au kiongozi fulani ni mwizi ukazani huyo ni mzalendo, sivyo kabisa, huyo anapiga kelele kwa kukosa uteuzi ili yeye yale ya wizi...
  7. Crocodiletooth

    Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

    Welcome to Botswana 🇧🇼 In Botswana, citizens get free land, free healthcare, and free education. University students receive $154 in allowances monthly. It has low debt. It has Africa's best Police service. It is an upper-middle-income country. It has Africa's highest credit rating. It is...
  8. Crocodiletooth

    UKIMWI upo, tuvae condom. Vilainishi mbali mbali si kinga sahihi!

    Salaam , hakika kweli mfungo umekwisha, maongezi haya niliyashuhudia katika sehemu fulani ya starehe nikabakia kutahayari juu ya mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea katika meza jirani na nilipokuwa nimekaa napata moja mbili, babu yenu nikabakia mdomo wazi, dunia inakimbia kweli, wajukuu wangu...
  9. Crocodiletooth

    Baba vanga, bibi wa Hungary, anayeaminiwa mno duniani kwa najimu zake za kweli!

    Bibi huyu kipofu, ambaye ameshatutoka ulimwenguni toka 1996, ni bibi aliyefanikiwa kutabiri mambo mengi ambayo wanasayansi wakubwa ulimwenguni wamekuwa wakifuatilia najimu zake na vyote alivyokuwa akibashishiri vilitokea kwa 100%,ndiye aliyesema dunia yetu hii iyakwisha rasmi 5079. -Nimejikuta...
  10. Crocodiletooth

    Series, hadithi za mambo mbalimbali ya zama za uumbaji

    GALACTIC HISTORY Swerdlow anaandika kwamba kuna AINA SABA tofauti katika himaya ya DRACO. Aina moja ina ngozi nyeupe iliyogawanyika, macho kama ya paka, mbwa na Taya na meno yaliyotawanyika. The DRACO walitawala DUNIA maeneo ya Pacific HIVI leo ambapo kulikua na bara lililo potea au lililo...
  11. Crocodiletooth

    Shirika la Exit International la Marekani limezindua mashine maalumu la kujiua iitwalo ‘Sarco Pod’

    Shirika la Exit International la Marekani limezindua mashine maalumu la kujiua iitwalo ‘Sarco Pod’ ambayo inafanya mtumiaji afurahi na kuchanganyikiwa kwa wakati mmoja kabla ya kuaga Dunia, pia mashine hiyo haisababishi maumivu wakati mtumiaji anapotaka kujiua. Kabla ya kujiua mashine hiyo...
  12. Crocodiletooth

    Mchele wa msaada ugawiwe mashuleni kama ilivyodhamiriwa!

    Tuache kuonyesha ujinga wetu katika ngazi ya kimataifa juu ya uwezo wa akili zetu kufikiri, tumepewa msaada na marafiki zetu wa muda mrefu, waliwahi kutupatia, mafuta, mahindi, samaki na vingi tu ndani ya nchi yetu, Pia izingatiwe wangelikuwa na uovu, basi kwa kuwa chanjo, dawa na vingi tu...
  13. Crocodiletooth

    Kumekuwa na wimbi la wauza maziwa mitaani na barabarani, Je maziwa hayo ni salama?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kuuza maziwa fresh na mtindi mitaani, Je maziwa hayo huwa ni salama kwa afya za watumiaji? Niliwahi fanya tafiti kidogo kwa kumuuliza kijana mmoja muuzaji wa maziwa haya, aliniambia wanayanunua ubungo na hivyo wao huyauza tena mitaani kwa faida kidogo. Je, ni...
  14. Crocodiletooth

    Enzi hizo Pepe Kalle na Hidaya Khamis Masawe

    Mnamo Mwaka 1991 Pepe Kalle na bendi yake ya Empire Bakuba walikuja Tanzania kufanya onesho katika jiji la Arusha. Walipowasili Arusha, walikodi taksi iliyokuwa inaendeshwa na mwanamama Hidaya Khamis Massawe. Wakiwa kwenye taksi wakawa wanazungumza kilingala wakimsifia dereva bila kujua kuwa...
  15. Crocodiletooth

    Mrisho Gambo: Nawatakia CHADEMA heri ya maandamano Arusha. Nitasikiliza hoja zao, zenye mashiko tutazifanyia kazi

    Ujumbe mzuri sana huu, huku ndiko kuiva kisiasa. "Nawatakia heri CHADEMA kwenye maandamano kesho Arusha. Naamini kwenye siasa za ushindani wa hoja. Nitasikiliza hoja zao zenye mashiko tutazifanyia kazi. Nitachukulia maandamano na Mkutano wao wa hadhara kama sehemu ya mikutano yangu ya hadhara...
  16. Crocodiletooth

    Kitanda kinaweza kufungwa kwa juu ya dari, je usemi huu unaukweli?

    Stay away from older women Stay away from older women If i stay away from older women can't feel ok, the older the tighter,,,the tighter the sweeter......
  17. Crocodiletooth

    Je Rais wa Kenya W. Ruto yupo sahihi kwa hili?

    "Nimeongea na watendaji wa serikali yangu kuhusu baadhi ya wahubiri kucheza na imani za wakenya. Kuanzia sasa yule anataka kuuza maji asajiliwe na mamlaka ya maji, yule anataka kuuza mafuta asajiliwe na food and drugs authority, na yule anataka kuuza mbegu asajiliwe wizara ya kilimo. Watambulike...
Back
Top Bottom