Baba vanga, bibi wa Hungary, anayeaminiwa mno duniani kwa najimu zake za kweli!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,909
21,394
Bibi huyu kipofu, ambaye ameshatutoka ulimwenguni toka 1996, ni bibi aliyefanikiwa kutabiri mambo mengi ambayo wanasayansi wakubwa ulimwenguni wamekuwa wakifuatilia najimu zake na vyote alivyokuwa akibashishiri vilitokea kwa 100%,ndiye aliyesema dunia yetu hii iyakwisha rasmi 5079.
-Nimejikuta natafakari sana je kinjukuri ka kinjukuri kitafika huko?
IMG_20240405_095410_936.jpg
 
Mwisho wa dunia ni pale jua litakapo amua sio binadamu atabiri.. kwa sasa acha mwanga uangaze, maana mwanga ndo chanzo cha nishati hai nyingi sanaa duniani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom