Search results

  1. Wimbo

    KILICHOWAKUTA WAZAMBIA TUSIPOANGALIA KINAWEZA KUTUKUTA NA WATANZANIA

    Miradi mingi ya ujenzi wa miundombinu inajegwa na wakandarasi wa kigeni hasa Wachina, miradi hiyo mingi imesimama pesa ya kuwalipa hakuna. serikali inajaribu kuwashawishi waendelee kujenga kwa fedha zao na sisi tutalipa riba ambayo ni mzigo mkubwa kwa Nchi, yapo mambo mengi madogomadogo Mama...
  2. Wimbo

    Pongezi kwa CDF Mstaafu Mabeyo kutuvusha katika kipindi kigumu, baada ya hapo kwanini Katiba haikulindwa?

    Pongezi kwa Mabeyo Mkuu wa majeshi Mstaafu kwa kusaidia kutuvusha katika kipindi kigumu, baada ya hapo suala la kuifunga awamu kipindi kinachompa ruhusa ya makamu wa Rais kushika madaraka kwanini ilitokea kizungumkuti na kuamua kubadili gear angani nakuanza awamu mpya awamu ya sita lengo...
  3. Wimbo

    Si lazima mtu afe ndiyo mtaa upewe jina lake

    Hakuna shaka kwamba Mama Maria Nyerere, atadumu katika historia kama mke wa mwasisi wa Taifa letu. Kama ukili wetu ukiona mafanikio ya mwanamme basi nyuma yake kuna mwanamke mwenye busara. Tusingoje Maria afe ndo tumpe mtaa.
  4. Wimbo

    Betting, michezo ya kubahatisha ni dhambi hata kama inaingizia nchi pesa nyingi

    Naliomba Bunge tunapofikia kujadili ustawi wa jamii michezo ya kubahatisha toeni sauti Taifa linaangamia, hata kama Mwigulu anaona ni sawa tu kwa kuwa pesa inaingia, faida ya pesa inayopatikana na madhara ya michezo hiyo kwa Taifa ni ni sawa na tone. Mwenyezi Mungu ameharamisha betting kwa nini...
  5. Wimbo

    Madam samia: Huu si wakati muafaka kufanya uchaguzi

    Ukipenda unaweza kuchukua ushauri huu, huu si wakati muafaka wa kufanya uchaguzi kabla katiba haijakaa sawa, moja ya jambo muhimu miiko ya kulinda tunu na uchumi wa Taifa bado inahitaji maboresho vinginevyo kila mmoja atakayeingia ataanzisha yake na kulipa muzigo Taifa kama unavyohangaika hivi...
  6. Wimbo

    Tuzo za Malkia wa Nguvu zinahitaji marekebisho

    Ahsante Clouds aksante Kusaga and your team, kuna watu wamefanya mambo makubwa, pengine record zao si rahisi kuzivuja, mfano Mama Mongera na spika mstaafu Makinda na wengine wengi wameshapewa tuzo nyingi na pengine idadi yake hawaimbuki; Lengo la tuzo ni kukumbuka mchango wake lakini la muhimu...
  7. Wimbo

    Waziri Bashungwa pamoja na kazi nzuri unayoifanya kuna baadhi ya Watumishi wako wanakuharibia

    Mh. Innocent Bashungwa wewe ni Mtu makini sana na ndiyo maana kila wizara unayopelekwa unafanya vizuri sana. hongera sana, lakini kuna watu wanakuharibia kazi, tarehe 11 February 2024 mtumishi wako wa office ya Tanroad Njombe kwa mbwembwe tu na akiwa mlevi kazini alimshambulia mkandalasi kwa...
  8. Wimbo

    Rais Samia; mwisho wa siku wewe ni Mtanzania Mzanzibari mkazi wa kizimkazi

    Tunamshukuru Mungu kwa kukutunuku nafasi hiyo, kama ulivyosema mwenyewe " uliluzukiwa" na kweli it was not easy for you kukalia kiti hicho kwa sababu imani ya walio wengi kwa kuangalia wanawake wengine waliowahi kuongoza Nchi mf Madamu Banda wakaharibu isingelikuwa rahisi kukuamini, ingebidi...
  9. Wimbo

    Happy Birthday Madamu Samia Suluhu Hasani

    Nianze kwa shukrani , nimshukuru Rabuka, Yeye ni mwenye auni, tena mwingi wa baraka, Nguvuze zapita kani, haziwezi elezeka, HONGERA MAMA SAMIA 63 KUTIMIZA. Mengi alikujalia , wete tumeshuhudia vema umesimamia, kwa upendo kadilia, sifa Tunampatia, Muumba wa hidunia, HONGERA MAMA...
  10. Wimbo

    Kuteuliwa kwa Dkt. Nchimbi: Rais Samia sasa kunywa chai yako kwa raha zako

    Kuteuliwa kwa Dr. Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa chama ni turufu kubwa sana, chama kimerudi mikononi mwa wenyenacho, wenye uchungu nacho, ambao hawategemewi kuezua nyasi ili nyumba ivuje. Mtu mwenye tamaa ya kuiona Tanzania inaendelea kung'ara na kuwa kielelezo cha Amani na mshikamano, mtu ambaye...
  11. Wimbo

    Ajabu ya mwaka 2023

    Warabu wa ajabu sana kama nyumbu wa Serengezi vile1! ninyi kimya tu mnabaki na 'alahwakbaru' jamani hata kukemea au kuandamana ninyi mnakula starehe tu wenzenu mizoga parestina nzima wenzenu wahanga wa vita sasa wanakufa njaa ninyi poa tu. shame on you.
  12. Wimbo

    Rais Samia, ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ni mtego

    Vile ambavyo serikali ya awamu ya tano iliwaaminisha wananchi kuwa bandari ya Bagamoyo ulikuwa mradi usiotufaa kwa masharti yake, na ikafikia hatua ya kuuita kwamba ni mradi ambao ungekubaliwa na mtu mwendawazimu. Je, serikali imegeuka kuwa mwendawazimu? Inawezekana maslahi yapo lakini mashaka...
  13. Wimbo

    Wajumbe wa kamati kuu hili lenu, kabla hamjatoka Dodoma

    1. Mpeni maua yake Dr Samia anajitahidi sana kuifanya CCM iendelee kuwa Chama cha kutumainiwa. 2. Tunaelekea uchaguzi mwakani, ile ya kufikilia (kujua kusoma na kuandika) ni sifa pekee ya kumpa mtu uongozi ikataeni Dunia imebadilika sana. viongozi waandaliwe kwa umakini, watayalishwe wenye...
  14. Wimbo

    Leteni changamoto zenu zote mapema, CCM iko imara

    Hapa najifanya msemaji wa Chama kwa kuwa nakipenda Chama changu, nakiamini na sina mpango wowote wa kukiacha, tunapoelekea miaka mingine mitano ya Samia, wapinzani wa ndani ya chama, mafisadi yaliyoko ndani ya chama, manyangau walioko ndani ya chama, leteni hoja zenu mapema, wanachama...
  15. Wimbo

    Antony Mtaka hatumiki kikamilifu

    Antony ana vipawa na vipaji ambavyo havijatumiwa kwa ukubwa wake, kila fulsa anazopewa anatosha kila mahali anapopangiwa anamudu mpaka chenji inabaki. Watu wa jinsi yake huwa wanapatikana wachache kwa msimu, tunapopata bahati ya watu kama hawa tuwatumie vizuri.
  16. Wimbo

    Ombi: Mechi ya Taifa Stars ioneshwe TBC 1

    Ahisante Mama Samia kwa kuwawezesha watu wengi waingie uwanjani kuishangilia Timu yao kwa kununua tiketi zote za mzunguko, hiyo ni hamasa kubwa kwa timu yetu ni deni wanalopashwa kulilipa wawakilishi wetu, ninaamini kila atakaye ingia atafanya uzalendo wa kuishangilia timu yetu big up sana...
  17. Wimbo

    Rais Samia nakushauri ufute safari za nje

    Nampongeza Chakwela kwa kufuta safari zote za nje hadi March 2024, wote walioko nje matembezi kurudi nyumbani, kupunguza matumizi ya Serikali pamoja na ma-allowance za wabunge na mawaziri ili kubalance uchumi wa Nchi yake. Mama Samia nakushauri na wewe uchukue uamuzi huo, safari za nje zina...
  18. Wimbo

    Sina roho mbaya ila huu si wakati muafaka wa pensheni za Wenza wa Marais

    Sote tunajua nchi inamadeni mengi, miradi mingi tunayojipamba nayo kwamba tumetekeleza ni madeni ya kuja kulipa baadae na kiasi kidogo cha misaada, mikopo bado inatukimbiza kwa mbali dhidi ya mapato. Hivi ni wakati muafaka kweli wabunge kujadili sheria ya pensheni ya wenza wa Marais na mawaziri...
  19. Wimbo

    Aliyesema siasa zinahitaji vyeti nani?

    Bado naona watu wanapambana humu kuhusiana na shule ya Makonda, ni wangapi wana makaratasi kibao vyeti vya vyuo wameshindwa kujimanage siasa ni karama ni uwezo binafsi wa kujaaliwa na Mwenyezi Mungu usiohitaji masters au PHD zikiwepo ni added advatage. Ukitaka kajipime na Kishimba au msukuma...
  20. Wimbo

    Makonda, nilimwomba Mungu sana kwa ajili yako, ahsante Mungu umesikia

    Mungu umejibu maombi, mtumishi wake Makonda umemkumbuka tena, Katika tumbo la samaki alimokuwa umetoka na maono na upako Mpya kuna kitu ndani yake kwa ajili ya wa Tanzania naamini muda uliompa kujitafakari anarudi na upako Mpya kuleta matumaini kwa wanaCCM wengi ambao walikuwa wamekunjana mioyo...
Back
Top Bottom