Madam samia: Huu si wakati muafaka kufanya uchaguzi

Wimbo

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
783
525
Ukipenda unaweza kuchukua ushauri huu, huu si wakati muafaka wa kufanya uchaguzi kabla katiba haijakaa sawa, moja ya jambo muhimu miiko ya kulinda tunu na uchumi wa Taifa bado inahitaji maboresho vinginevyo kila mmoja atakayeingia ataanzisha yake na kulipa muzigo Taifa kama unavyohangaika hivi sasa.

Miradi mingi inasuasua wakandalasi wengi hawajalipwa kazi zimesimama, huku waziri wako wa fed ha akitanabahisha kuwa tuna hali nzuri., bado wakwepaji wa kodi wengi na makemeo yamepungua, wawekezaji miiko waliyowekewa gains nguvu sana kulinda haki ya M Tanzania wawekezaji wa kicking kwa mfano bado hawafuati Syria za kazi na kulipa ujira stability haya yote yanahitaji kushughulikiwa.

Ahilisha uchaguzi malizia muzigo ulioachiwa wakati, huohuo ipe nafasi katiba waTanzania waondoe nyongo yao, weka mpito wa miaka miwili tufanye kazi kuzitimiza ahadi hadi 2027, katiba iongeze muda badala miaka 5 iwe saba, 2027 chukua form ugombee tutakupa.

Sasa hivi usiangalie tu hao unaowaona katika vyama vya upinzani , kimya kingi kinamshindo mkuu hutoamini mwaka kesho kivumbi kitakachojitokeza kitakachojitokeza, tunaziona jitihada zako ila nachelea kusema wasaidizi wako wanaishia kukupamba bila kukupa hali halisi.
 
Back
Top Bottom