mtego

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Loading failed

    Wanawake mnatukosea sana, huu mtego mnachomoka vipi ndugu zangu wanaume

    Ndugu zangu habari za wakati huu Wanawake tunawapenda sana sema kuna wakati mnachokitafuta mtakipata, sisi wanaume ni binadamu tuu na hatujakamilika kivile. Umekaa umetulia zako ghafla simu inaingia namba ngeni sauti halisi ya mwanamke haieleweki anaibuka tuu na kusema baby wangu unaendeleaje...
  2. Roving Journalist

    Waziri Jafo: Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma

    Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Waziri mwenye dhamana, Dkt Selemani Jafo akisema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu wa watu wa Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma. Jafo amesema hayo jana Jumanne Aprili 23, 2024 akitoa...
  3. Mkalukungone mwamba

    Viongozi wa Simba wanajiroga wenyewe na kujiweka kwenye mtego mbaya kwa mashabiki wao

    Viongozi wa Simba wanajiroga wenyewe na kujitega kwenye mtego mbaya kwa mashabiki wao. Simba wameendele kuachana na makocha wao kwa kipindi cha miaka 3 mfululizo Novemba 2021 - Mei 2022 Pablo Franco Juni 2022 - Septemba 2022 Zoran Mac Septemba 2022 - Januari 2023 Juma Mgunda Januari 2023 -...
  4. Mjanja M1

    Unatokaje kwenye huu mtego?

    Upo zako unagonga menu, mara Paap watu usiowajua wanatolea udenda msosi wako. Utafanyaje?
  5. Stuxnet

    Zoezi la Vyeti Feki Kenya: Rutto Asiingie Mtego wa Magufuli

    Magufuli alifanya hili zoezi la vyeti feki kwa Tanzania lakini alikuwa selective. Magufuli hakugusa TPDF, Bunge na Wakuu wa mikoa. Hata Polisi na TISS nao hawakuguswa. Halafu alidhulumu mafao ambayo ni jasho lao. Nashauri tu kuwa kama William Rutto anataka lifanikiwe alifanye across-the-board...
  6. Kiboko ya Jiwe

    Serikali tulipeni fedha zetu sisi watumishi muliotunyima mshahara wa Machi

    Mbona wabunge wanalipwa bila mapingamizi yoyote. Wakistaafu wabunge pesa zao hazina mizunguko wanapewa cash zote. Mbona munaleta uonevu kwa watumishi kwa visingizio vidogo vidogo? Mishahara yenyewe ya watumishi ni kiduchu, ukipata inadumu siku 5 tu inaisha. Sasa tangu tulipwe tarehe 23 mwezi...
  7. Stuxnet

    Kichere umeingia Mtego wa Timothy Apiyo

    Timothy Apiyo (RIP) aliyekuwa Chief Secretary wa State House enzi za J K Nyerere aliwahi kufanya makosa Kama haya ya CAG Kicheere. Watendaji walileta mapendekezo ya kuboresha mafao ya kustaafu. Lakini yeye akayapiga chini enzi hizo yuko ofsini na ni kijana. Hatimaye kwenye miaka ya mwishini...
  8. M

    Wakikwambia wako tayari kukupenda na umaskini wako kataa kabisa huo mtego, watakusumbua mbeleni

    WAKIKWAMBIA WAKO TAYARI KUKUPENDA NA UMASKINI WAKO KATAA KABISA HUO MTEGO,WATAKUSUMBUA MBELENI Zipo kauli kuwa mapenzi sio pesa bali ni upendo tu wa moyo ndio unaamua mapenzi, hii ni kweli lakini sio kweli kwamba pesa haitakiwi mwenye mahusiano. Usijazwe kichwa kwa maneno kuwa atakupenda tu...
  9. jerryempire

    Chuo cha Ardhi kuweni makini na huu mtego wa suala la mapacha kudai kufanyiana mtihani

    Habari. Naomba niende moja kwa moja kwenye hii issue. Kuna taarifa ambayo kwa sasa inatambaa sana hapa jf na hata kwenye mitandao ya kijamii kama x,na you tube. Issue inahusu swala la mapacha wawili waliokuwa wanafunzi wa ardhi kusema kuwa kuna Mtihani mmoja wa supplementary walishawahi...
  10. Wimbo

    Rais Samia, ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ni mtego

    Vile ambavyo serikali ya awamu ya tano iliwaaminisha wananchi kuwa bandari ya Bagamoyo ulikuwa mradi usiotufaa kwa masharti yake, na ikafikia hatua ya kuuita kwamba ni mradi ambao ungekubaliwa na mtu mwendawazimu. Je, serikali imegeuka kuwa mwendawazimu? Inawezekana maslahi yapo lakini mashaka...
  11. Melki Wamatukio

    Mpenzi wangu kanipatia zawadi ya mtego wa kuogea

    Nimejikuta nikijiuliza maswali mengi sana. Mida ya asubuhi wakati tunaelekea kazini tumekutana na baba mmoja akiwa anauza madodoki ya kuogea. Mara nashangaa anaitwa na kuanza kuhojiwa ubora wa dodoki hilo. Kama masihara, huyo mwanamke kalinunua na kulitia kwenye kifuko cha shing'mia. Wakati wa...
  12. EP cosmetics

    TITUS AMIGU: NI MTEGO MBAYA SANA

    Kutoka kwa Pd. Titus Amigu: NI MTEGO MBAYA MNO Katika suala la baraka mgogoro ni kwamba mashoga na wasagaji ni WANAHARAKATI (ACTIVISTS). Ndiyo maana watakuja kanisani kuomba baraka wakijitambulisha. Wanapigania kutambuliwa kisheria, kijamii na kikanisa (kidini). Kwao kuwapa baraka maana yake...
  13. I

    Natafuta sumu au mtego wa paka pori

    Kuna paka ananitia hasara ya kula kuku na bata, kila nikimvizia kwa lengo la kumuua nashindwa. Je nitumie sumu au mtego gani ili afe?
  14. Millionaire Mindset

    Umenasa kwenye mtego kwa sababu umejichanganya

    Kuna wakati unahisi mambo hayaendi, hasa katika masuala ya fedha na kipato. Unaona unapambana kwa bidii lakini maendeleo ni kama vile hayaonekani. Unahisi umerogwa siyo? NATAKA kukwambia UKWELI kwamba ni kweli kuna mtu anakuchezea, lakini mtu huyo si mwingine, bali ni wewe mwenyewe. Najua...
  15. M

    Zitto: Tuliweka mtego tukamrekodi afisa wa TFS Kasulu akipokea rushwa

    Ndg. Zitto kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo akiongea na wananchi wa Kagerankanda, Kasulu vijijini amedai kuwa walimwekea mtego wa rushwa afisa wa Wakala wa Misitu Tanzania Katika msitu wa Makere Kusini ukiitizama mipaka iliyokuwepo mwaka 1956 na hivi sasa pori la akiba limeingia kwenye...
  16. kavulata

    CCM wamenasa kwenye mtego wa Wasukuma, hawatoki tena

    Wasukuma ni wengi zaidi Tanzania, ni wachapakazi kwa asili. Wasukuma na wanyamwezi idadi Yao ni kubwa inakaribia theluthi ya Watanzania wote. Pamoja na wingi wao, uchapakazi wao mkubwa na wingi wa rasilimali zilizoko kwenye mikoa Yao, wasukuma walikuwa sio chochote Wala lolote huko nyuma kwenye...
  17. P

    Serikali imeingia kwenye mtego wa kina Dkt. Slaa mazima, wametimiza lengo la kufungua maandano yao!

    Salam wa nyuki wa mama na team kupinga ubadhirifu, unyanyasaji na mikataba yenye kuleta hasara kwa nchi. Akina Slaa na Mwabukusi safari hii wamecheza kama pele, wametumia mtandao vizuri kucheza na akili za viongozi wa serikali na wamefanikiwa kwenye hilo. Sasa mapambano yanafanywa 'kisayansi'...
  18. MamaSamia2025

    Soma hapa ujue jinsi ya kujinasua kwenye mtego wa madeni ulionasa

    Wakuu kwa sasa hali ilivyo ni kuwa watu wengi sana wamenasa kwenye mtego mbaya wa madeni na kujinasua imekuwa mtihani. Iwe mtu alikopa kwa sababu yoyote ile ni kwamba muda wa kudaiwa hakuna anayeonewa huruma. Aliyeomba mkopo wa biashara ikabuma anapata taabu sawa na aliyekopa mkopo akauhonga...
  19. L

    Nchi zinazoishutumu China kwa kuweka mtego wa madeni. Je, zilishakaa na kujiuliza tatizo halisi linaanzia wapi?

    Wachina wana wazo moja kwamba ukitaka kuendelea na kukuza uchumi wa nchi basi lazima kuwe na miundo mbinu mizuri na imara. Wazo hili ndilo lililopelekea China kuziacha nyuma nchi nyingi ambazo hapo awali zilikuwa zinaonekana ziko sambamba na nchi hii katika umasikini. Kupitia ujenzi na...
  20. Maleven

    Vitu gani ambavyo ni mtego?

    1. Ukiwa unaondoka ugenini wakakwambia mbona haraka, usiondoke kesho usubiri kesho kutwa n.k huo ni mtego. Ondoka, hapo wanajikosha tu. 2. Unaaga kwenda kazini, mpenzi wako anasema usiende mpunzike kidogo, huo ni mtego, ukibaki unajipunguzia credits. 3. Unaongea na mtu af anasema nikipata...
Back
Top Bottom