Zoezi la Vyeti Feki Kenya: Rutto Asiingie Mtego wa Magufuli

Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
10,491
18,193
Magufuli alifanya hili zoezi la vyeti feki kwa Tanzania lakini alikuwa selective. Magufuli hakugusa TPDF, Bunge na Wakuu wa mikoa. Hata Polisi na TISS nao hawakuguswa. Halafu alidhulumu mafao ambayo ni jasho lao.

Nashauri tu kuwa kama William Rutto anataka lifanikiwe alifanye across-the-board kwa sekta zote, asiwe selective

View attachment 2969921
Wenye vyeti fake walitakiwa kushitakiwa na kufungwa au kunyongwa hadi kufa maana walighushi. Dkt Magufuli aliwahurumia. Ningekuwa mimi ningeleta kwanza sheria ya kuwanyonga wote. Na usidhani eti serikali itawapa mafao hizo ni siasa hakuna aliyefoji cheti atapata kitu
 
Wacha tuone wanaharakati wanasemaje kuhusu watu waliofeli kuchukua haki za waliofaulu!
 
Wenye vyeti fake walitakiwa kushitakiwa na kufungwa au kunyongwa hadi kufa maana walighushi. Dkt Magufuli aliwahurumia. Ningekuwa mimi ningeleta kwanza sheria ya kuwanyonga wote. Na usidhani eti serikali itawapa mafao hizo ni siasa hakuna aliyefoji cheti atapata kitu
Ni kweli suala la kughushi vyeti ni kosa kisheria, lakini ukweli ni kwamba utaratibu wa kisheria haukufuatwa wakati walipowafukuza watuhumiwa wa vyeti feki hapa Tanzania.
 
Wenye vyeti fake walitakiwa kushitakiwa na kufungwa au kunyongwa hadi kufa maana walighushi. Dkt Magufuli aliwahurumia. Ningekuwa mimi ningeleta kwanza sheria ya kuwanyonga wote. Na usidhani eti serikali itawapa mafao hizo ni siasa hakuna aliyefoji cheti atapata kitu
Hoja haiko kwenye hatia bali iko kwenye double standards. Magufuli alifanya kwa sekta chache na zingine akaogopa.
 
Huwezi kuingia TISS au jeshini na cheti fake, maana vetting ya huko ni mfumo. Acheni uzushi wa akina mbowe wa kimtaani
 
Wenye vyeti fake walitakiwa kushitakiwa na kufungwa au kunyongwa hadi kufa maana walighushi. Dkt Magufuli aliwahurumia. Ningekuwa mimi ningeleta kwanza sheria ya kuwanyonga wote. Na usidhani eti serikali itawapa mafao hizo ni siasa hakuna aliyefoji cheti atapata kitu
Mkuu iyoo degreee ya chabo isikudanganyeeeeeee sawa
 
Back
Top Bottom