Search results

  1. Mwizukulu mgikuru

    Kijana unayepambana kimaisha using'ang'anie kuishi uswahilini

    Kijana unaepambana kimaisha ukipata auheni kidogo hama huko uswahilini, hasa hasa jiji la Dar es Salaam, uswahilini ya Dar es salam ni milango ya kuzimu ..watu wamechoka, watu wamekata tamaa, Jana yao ni Bora sana kuliko Leo. Mwanyamala kwa kopa, Manzese, Tandika, Mbagala sehemu sehemu...
  2. Mwizukulu mgikuru

    Wewe Mtumishi wa serikali au sekta binafsi ......

    Wewe Mtumishi wa serikali au sekta binafsi inakuwaje unapambana au kushindana na jobless... Mimi jobless siijui na sina matumaini na kesho yangu, kwa sababu nikilala nikiamka mipango yangu kichwani na nguvu zangu ndio pesa yangu na mafanikio yangu, Mimi ni Mnyonge tu ..wewe ikifika mwisho mwezi...
  3. Mwizukulu mgikuru

    Viongozi serikalini wanajikopesha pesa za miradi mfano afya nk....

    Kuna baadhi ya Viongozi wa serikalini Tanzania ni warafi kwelikweli yaani pamoja na kupewa posh na mishahara bado wanajikopesha pesa za miradi zinazotolewa za wafadhiri, Leo imekamilika wiki ya sita toka vijana waliopata ajira za mikataba lakini hawajalipwa chochote zaidi ya kuwapigisha...
  4. Mwizukulu mgikuru

    Ogopa sana, Usikutane na mtu asiekuwa na cha kupoteza

    kwenye maisha yako usijekukutana na mtu ambae hana cha kupoteza... Hawa watu wana matatizo mkubwa, mfano wa watu wasiokuwa na cha kupoteza, mtumishi wa serikali ya Tanzania ambae amefanya kazi muda mrefu na hana maendeleo.. Mwanamke anaeishi...
  5. Mwizukulu mgikuru

    Kwanini mtu kilaza huwachukia vilaza wenzie?....

    huwa nashangaa kumuona kilaza akiwachukia vilaza wenzie... Au mwizi anamchukia mwizi mwenzie mfano mwendanzake aliwachukia vilaza ila yule mzee alikuwa kilaza kwelikweli..
  6. Mwizukulu mgikuru

    Wale tuliopewa muonekano na ngozi nzuri hata kama tuna changamoto za kimaisha tukutane hapa

    Kuna wale ambao mungu ametupendelea hata tukikaa jela miezi kadhaa huwa hatuchuji, tunafanyiwa figisu za hapa na pale ili tuharibikiwe na kufubaa lakini bado tunazidi kung'aa tu na maadui zetu wakituona huwa wanazidi kuchanganyikiwa zaidi tukutane hapa 😊
  7. Mwizukulu mgikuru

    Mzazi pambana umrithishe mtoto chochote kitu, elimu ni haki ya mtoto

    Wazazi wenzangu tupambane tuwaachie watoto wetu chochote kitu, elimu na malezi ni haki ya mtoto. Mimi Namshukuru mungu kwa hiki kidogo basi anachochakuanzia kwenye maisha yake. Tusiwe na ubinafsi, tupunguze uvivu wa kufikiri, mimi mzee wangu nilimuambia asinipe chochote ili niwe na amani...
  8. Mwizukulu mgikuru

    Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

    Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa wengi kadri muda unavyosonga mbele. Sijui itakuwaje baada ya miaka 20 ijayo. Mbaya zaidi, hawa...
  9. Mwizukulu mgikuru

    Umri wa miaka 36 ndoa imekuwa ngumu

    Jamaa yangu ana umri wa miaka 36 amepambana sana kupata mwenza, lakini akianzisha uchumba na Mwanamke hawafiki mbali uchumba unakufa. Hii itakuwa ni shida gani! Au ni nguvu za giza zinamtesa?
  10. Mwizukulu mgikuru

    Ajira za TAMISEMI za Ualimu na Afya zina ukweli ndani yake au ni siasa?

    Siku mbili tatu hivi Kuna tangazo limekuwa likitembea linalohusiana na ajira za ualimu na afya. Japo tangazo hili ukilitafuta kwenye website ya TAMISEMO halionekani, sasa nauliza Tangazo hili linaukweli ndani yake?
  11. Mwizukulu mgikuru

    Kwanini hawa rafiki zangu wanaumia sana mioyo yao

    Wakuu nipo Daressalam yapata mwezi sasa, nilitoka mkoani kuja huku kufukuzia fursa mbalimbali na kuongeza exposure. Ukizingatia mimi sio mtu wa kuishi sehemu moja kwa muda mrefu, kule mkoani kuna ishu zangu ambazo huwa nafanya na zinaniingizia pesa ya kuendesha maisha yangu. Toka nimekuja...
  12. Mwizukulu mgikuru

    Mwanamke hakuumbiwa majukumu, ni Shida tu.....

    Mwanamke ameumbwa kuhudumiwa tu, Mwanamke ili atafutiwe na apewe atumie na ikitokea Mwanamke akatafuta na watu wakatumia basi watu hao hivyo vitu vitawatokea puani kwa masimango au kashfa yoyote watakayopewa. Mfano huu hapa baba yangu wakati anamuoa mama yangu wa pili (mama wa kambo) alikuwa...
  13. Mwizukulu mgikuru

    Wizara ya Mambo ya Ndani itunge sheria kali kuwabana Bodaboda

    Bodaboda wamekuwa ni kero. wanajifanya wamekata tamaa ya kuishi wanajifanya ni machizi fresh, wavuta bangi mbichi. Ni wao tu ndio wanaopitia maisha magumu Sana hapa nchini Hawataki kabisa kufuata sheria za usalama barabarani ni Juzi tu nusura bodaboda anigonge na pikipiki nilipokuwa...
  14. Mwizukulu mgikuru

    Interview kufanyika online utumishi hiki ni kiini macho kingine kwa watoto wa wakulima

    Sektretarieti ya ajira na utumishi wa umma, leo wametangaza kuanza mchakato wa kufanya usahili kwa njia ya mtandao (online interview) hiki ni kipigo kingine kwa watoto wa wakulima wasiokuwa na mjomba, shangazi, au baba wa kuwashika mkono..
  15. Mwizukulu mgikuru

    Vijana wa Kariakoo (mawinga) ni muda sasa wa kurudi vijijini kulima

    Vijana mnachosha sasa na mmekuwa kero, mnakomaa na maduka ya watu na akija mteja mnamparamia kana kwamba wateja wengine hawajui kilichomleta kariakoo au hafahamu bei ya kile alichokuja kukinunua. Ni muda sasa wa kwenda kulima kumbuka machimbo ya bidhaa yameongezeka Kuna chimbo la katoro Geita...
  16. Mwizukulu mgikuru

    Ujenzi wa misikiti ni kichaka cha upigaji wa fedha za wafadhili

    Ndugu zangu waislamu, nimekuwa nikitembea maeneo mengi sana, misikiti inajengwa hata sehemu kusipokuwa na waumini wa kuswali ndani ya misikiti hiyo. Muda wote inakaa imefungwa tu, misikiti imekuwa ni nyumba za popo. Misikiti hii mingi inajengwa kwa fedha zinazotolewa na wafadhili. Vipo vitu...
  17. Mwizukulu mgikuru

    RC Batilda Buriani tatizo la umeme Tabora hulioni?

    Nipo Tabora leo ni siku ya tatu nikifanya kazi maalumu ili kuendelea kulijenga taifa. Kinachonisaidia ni kuwa nina powerbank tatu, toka nimefika Tabora umeme unakatwa asubuhi na kurudi usiku saa nne, na muda Mwingine unaweza kukatwa hata mara sita. Nauliza mkuu wa Mkoa, Batilda Buriani hili...
  18. Mwizukulu mgikuru

    usicheze kamari ukiwa Normal....

    narudia tena wakuu, ndugu zangu wa jf na wadau wengine...msicheze kamari mkiwa normal...
  19. Mwizukulu mgikuru

    Mtu yeyote anaeishi kwa kujikombakomba ni mvivu mkubwa

    Angalia sifa kuu ya mtu yeyote ambae huishi kwa kujikomba komba au kujipendekeza kwa watu, mara nyingi hawa ni watu wenye sifa kuu ya kuwa wavivu wakubwa...mfano ndugu zangu warangi hawapendi kazi ngumu, hawapendi kazi zinazotumia kiwango kikubwa cha kufikiri yaani kutumia akili nyingi....
  20. Mwizukulu mgikuru

    Godbless Lema kaamua kumpigia mbuzi gitaa…!

    Mmetoka wote chuo , halafu unataka ukute kijana uliyekuwa naye chuo awe ana kila kitu kama nyumba,gari na kazi nzuri,mbona wewe huna?Kwani unataka kuolewa na baba yako? Angalieni Dream, Vision, ethics na discpline na mkaanze kupigana pamoja kujenga maisha yenu. Hao ambao mnawaona na material...
Back
Top Bottom