Ogopa sana, Usikutane na mtu asiekuwa na cha kupoteza

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Oct 21, 2021
4,799
11,236
kwenye maisha yako usijekukutana na mtu ambae hana cha kupoteza... Hawa watu wana matatizo mkubwa, mfano wa watu wasiokuwa na cha kupoteza, mtumishi wa serikali ya Tanzania ambae amefanya kazi muda mrefu na hana maendeleo.. Mwanamke anaeishi uswahilini na hana mume (single mother) mwanachama wa ccm aliekipambania chama kwa muda mrefu na hajakumbukwa kwenye fursa yoyote.. Kijana wa Kitanzania asiekuwa na mali, kipaji au elimu😁
 
Ukiwa boss ndio ukakutana na mtu wa aina hiyo, ukimtishia unamfukuza kazi, anakwambia nifukuze tu, wala hata sijali! Inabidi boss arudi nyuma akiwazia familia ya jamaa, inabidi amvumilie tu huyo kwa kuilinda familia ya jamaa!
 
Mkuu wengine huwa ni wapuuzi tu masikini viburi, wakishatimuliwa huwakuta mitaani wanatilisha huruma
 
Back
Top Bottom