Search results

  1. Tlaatlaah

    Unadhani vyama vya siasa vibebe kauli mbiu gani tunapoelekea chaguzi chaguzi mbalimbali?

    Vyama vya kisiasa na wanasia, hasa katika nyakati za uchaguzi huibua na kuibuka na catchphrases, slogan au kauli mbiu za kusisimua wanainchi, kuwatambulisha au kuelezea hisia, uelekeo au shauku za uongozi wao na vyama vyao, endapo watapewa ridhaa kuongoza na wanainchi. vyama na wanasiasa...
  2. Tlaatlaah

    Hivi ni kweli kuna dawa ya mapenzi?

    kwamba eti kuna mganga wa kienyeji mahali Fulani, anaweza kumrudisha mpenzi wako alie potea au kukutoroka au kukufanya upendwe sana na boss wako ofisini au akupe dawa ya kupandishwa cheo kazini? Au akupe dawa ya mvuto wa kimapenzi?🐒 vipi ndugu, uliwahi kujaribu kupitia njia hii na vipi matokeo...
  3. Tlaatlaah

    Tetesi: Mbatia kuanzisha chama kipya cha siasa

    Taarifa za chini ya capet ni kwamba, taratibu za awali zimeshakamilika ikiwa ni pamoja na jina la chama, rangi za chama, nembo pamoja na logo ya chama. Majibu ya msajili yatatoa uelekeo. Nyuma ya mpango huu, viongozi waandamizi kutoka vyama mbalimbali vya siasa, wanatajwa kuhusuka ikiwa ni...
  4. Tlaatlaah

    Mapenzi kijijini na mjini

    Mapenzi miongoni mwa wachumba au wanandoa vijijini na mijini hutofautiana kulingana na mazingira.... Mathalani vijijini mapenzi hufanyika zaidi nyakati za usiku kwa heshima, ukilinganisha na mjini, ambapo mapenzi hufanyika nyakati zozote tu, hususani mchana, kutokana na upatikanaji rahisi wa...
  5. Tlaatlaah

    Kuwa Mpinzani kisiasa ni mateso sana

    Hasa ukiwa kwenye chama cha siasa ambacho ni dhaifu na kisicho na uelekeo, sera wala mipango itakayowavutia wananchi kukiamini, kukuunga mkono na kukichagua kuongoza. Ni mateso kuishi na kufanya kazi ya siasa kwenye, Chama cha siasa cha upinzani ambacho hata viongozi wake waandamizi...
  6. Tlaatlaah

    Uchaguzi 2025 Wasomi na wahitimu wa vyuo mtaani, nafasi za uongozi Serikali za mitaa na udiwani 2025 zinawahitaji sana

    Kuna wasaka fursa za ajira wenye zaidi ya miaka mitano mijini wanapambana, lakini kwa bahati mbaya hakijaeleweka mpaka sasa hivi. Poleni sana, na pongezi nyingi kwa bidii, ustahimilivu, subra na moyo wa kutokukata tamaa katika kutimiza ndoto zako. Hebu tafadhali vijana ndugu zangu...
  7. Tlaatlaah

    Baada ya msimu wa covid-19 masuala ya sherehe kubwa za send off na ndoa kama yamepungua hivi

    yaani mwaka unaisha unajikuta umeletewa kadi moja au mbili za michango ya send off au ndoa. akati kabla ya msimu wa korona, mpaka mwaka unaisha ndani ya nyumba, una kadi 6 hadi 13 zikikuomba mchango wa hali na mali, wewe ukiwa kama ndugu wa karibu, jamaa, jirani au rafiki wa kweli, ambapo...
  8. Tlaatlaah

    Wanafunzi wa vyuo vikuu wainishi maisha ya kifahari sana siku hizi kulikoni

    Yaani maisha yao ni mazuri kweli na ya kifahari mno. Nyumba na vyumba wanazoishi mtaani ni za maana sana, na ndani ya nyumba zao kumekamilika kila idara, sijui wanalipwa mshahara huko vyuoni siku hizi. Wanaishi kama wafanyakazi wa mashirika flani hivi ya kimataifa, haonekani akienda chuo...
  9. Tlaatlaah

    Konda na dereva wa daladala kuwa wachafu na rafu kazini kwao

    Kuanzia sare zao za kazi yaani, shati na suruali. kwanza ni vichafu, lakini pia ni vichakavu na sielewagi vinachakaaga kwa kazi gani au kuvaliwa wapi zaidi ya humo humo kwenye daladala 🐒 Sawa, kazi ni kazi ilia angalau wawe wanaoga, wawe wanasafisha midomo, walau kunyoa ndevu na kua nadhifu...
  10. Tlaatlaah

    Uchaguzi mkuu ujao upinzani Tanzania uunganishe nguvu au wagombee hivi hivi kiholela kama kawaida?

    Chama Cha Mapinduzi kipo imara zaidi kwa sasa kuliko nyakati nyingine zozote zilizopita... Kinaungwa mkono na makundi maalumu karibu yote, wanawake, vijana na wazee, lakini pia kinaaminika na kuungwa mkono na taasisi za kidini, taasisi za kiraia, mashirika ya kitaifa na kimataifa. Na kwahivyo...
  11. Tlaatlaah

    Hivi zile shepu kwenye sendoff na ndoa ni za kweli au kuna namna?

    hivi ni kweli pisi kali zinazoolewa siku hizi zimezaliwa na shepu nzuri na kali zilizochongoka namna ile, au hua kuna namna inafanyika? maana kila send off au ndoa ninayobahatika kuhudhuria, nakuta muhusika karembwa mno, lakini pia muonekano wa ombu lake huwa katika umaridadi wa kiwango cha juu...
  12. Tlaatlaah

    Nashukuru Mungu kunusurika ajali leo

    Katika ajali niliyoipata mchana wa leo Jumamosi May 11, 2024.. Mwenyezi Mungu ameninusuru, na amenijalia ahuweni ya mapema kwenye majeraha mabaya niliopata kwenye mguu wangu wa kulia na kwenye michubuko michache maeneo mbalimbali ya mwili. Nashukuru Mungu pia wahusika wengine wa ajali hiyo...
  13. Tlaatlaah

    Kama chama kimeshindwa kushughulikia na kumaliza issue ya wabunge 19 wa covid-19? Ni nini wataweza sasa

    sidhani kama kuna raia au mwanainchi anaweza kuamini na kukipa dhamana chama ambacho kimeshindwa kabisa, kutatua na kufikia muafaka wa tatizo lake dogo tu, dhidi ya wanachama wake, ambao ati kimewafukuza uanachama, hali ya kua, siku nenda rudi majukwaani na kwenye vikao vikuu vya ndani...
  14. Tlaatlaah

    Wanasiasa wanawake wana cha kujifunza na kujivunia kwa hawa wachache

    Uthubutu wao, utashi wao kamili wa kisiasa, ujasiri katika kujisimamia na kusimamia wengine, umakini wao katika kujipambania na kupambania wengine, uvumilivu wao na subra kwenye mazingira ya vitisho, dhuluma, dhihaka au manyanyaso ya aina zote katika mambo mbalimbali ambayo waliona ni uhuru na...
  15. Tlaatlaah

    Pisi kali ni majasiri na wavumilivu sana

    Kwa mfano, pisi kali anavaa nguo fupi sana, mabega na mgongo vipo wazi, halafu mpo mahali pa burudani club, na kwa mfano mmeamua kuketi nje sehemu ya wazi na kupata burudani mbalimbali kama vile chakula, vinywaji na labda mnaenjoy live band music 🎵 Aise huwa pana mbu wakali mno, wanaong'ata...
  16. Tlaatlaah

    Ulianza lini kupenda na kufuatilia SIASA?

    katika mazingira tofauti tofauti, mathalani mitandaoni, vyuoni na majukwaani kuna aina tofauti tofauti za wanasiasa na siasa. wapo vijana katika siasa, wazee, wanawake kwa wanaume. wapo wanataaluma wa siasa za kitaifa na kimataifa. Lakini pia wapo wasio na taaluma bali vipaji na utashi wao tu...
  17. Tlaatlaah

    Uelekeko wa CCM na Tanzania kwa ujumla

    uelekeo makini sana wa Tanzania kama nchi, chini ya chama tawala CCM, ulibainishwa, ulichambuliwa, ulifafanuliwa na kuelezewa kwa kina, kwa kirefu sana kinagaubaga, na kwa umakini na uwazi wa kipekee mno, na makamu mwenyekiti wa ccm bara, comrade Abdulrahman Kinana. kwamba, kama nchi tupo...
  18. Tlaatlaah

    Tushirikishane mbinu za kuondoa michirizi

    Hivi kumbe hii michirizi ya sehemu za makwapani, tumboni, mapajani, nyuma ya magoti n.k huwapata hata wanaume pia? nilidhani ni kwa wanawake tu. Ni vizuri kushirikishana namna ya kuzizuia tafadhali, naona zinawakosesha amani na kujiamini waungwana...
  19. Tlaatlaah

    Chadema fanyeni vikao vya ndani kukosoana, kurekebishana, na kusahihishana

    Ni vizuri mkafanya vikao vya ndani, kurekebisha na kusahihisha kasoro na dosari zinazoonekana mpaka nje ya chama, ambazo zinaweza kuathiri taswira, umoja na maelewano ya viongozi waandamizi wa chama kwenye jamii.... Sio kwa ubaya lakini, kukosoana hadharani hakutawaacha salama, vinginevyo, aina...
  20. Tlaatlaah

    Upinzani nchini umekosa uelekeo kabisa

    ukata wa fedha, sera na mikakati mibovu isiyo na tija ya kuwaunganisha wanachama wao imekua ni chanzo cha kuzorota kwa hamasa katika harakati zao mitandaoni na mtaani. maandamano yamekosa mvuto kabisa, chaguzi za ndani ya vyama vya kisiasa hata haijulikani zipo, zimeisha au bado zinaendelea...
Back
Top Bottom