Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 9,639
- 13,004
Kuna wasaka fursa za ajira wenye zaidi ya miaka mitano mijini wanapambana, lakini kwa bahati mbaya hakijaeleweka mpaka sasa hivi.
Poleni sana, na pongezi nyingi kwa bidii, ustahimilivu, subra na moyo wa kutokukata tamaa katika kutimiza ndoto zako.
Hebu tafadhali vijana ndugu zangu, changamkieni fursa hii muhimu ya wazi kabisa, mjitokeze na kujipambanua uwezo, ubunifu, bidii, umahiri na umakini wenu kisomi katika kuchochea mabadiliko ndani ya jamii zinazo wazunguka vijijini au mijini...
Jitokezeni kwa wingi bila woga, wala hofu kugombea nafasi za uongozi katika mitaa na vijiji huko vijijini kwenu mlikotoka, na wale wa mijini nao fanyeni vivyo hivyo. Town pagumu sana hivi sasa na si vizuri ujilazimishe kujibana na kupoteza muda sana huko uliko na fursa kama hizi ukazilazia damu.
Lakini pia baadae 2025, upo uchaguzi mkuu. Hapa nako ipo fursa ya wazi kabisa ya udiwani kwaajili yako. Umahiri wenu wa kisomi unahitajika sana katika kupanga na kuamua uelekeo wa halmashauri nchini.
Mwende mkazisimamie halmadhauri, mwende mkazijenge halmashauri, mwende mkaziongoze halmashauri.
Inahitajika baraza la madiwani la wasomi.
Nimewasanua mapama ili muanze kwenda kujipanga mapema pia huko vijijini kwenu mlikotoka. Achana aibu, wala usione haya. Hata mbuyu ulianza kama mchicha 🐒
Mambo mengine tutasasidiana kadiri inavyowezekana.
Nawapenda sana vijana wenzangu 🐒