Hivi zile shepu kwenye sendoff na ndoa ni za kweli au kuna namna?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
9,639
13,004
hivi ni kweli pisi kali zinazoolewa siku hizi zimezaliwa na shepu nzuri na kali zilizochongoka namna ile, au hua kuna namna inafanyika?

maana kila send off au ndoa ninayobahatika kuhudhuria, nakuta muhusika karembwa mno, lakini pia muonekano wa ombu lake huwa katika umaridadi wa kiwango cha juu sana, ukilinganisha na tunavyokutana nae mtaani....

hamjaona au kukutana na hiyo ndrugo zango...
 
Ule ni utapeli mkuu , vigodoro na mikanda ya bana tumbo huwa inahusika ,ukiitoa masingiri ya supu ya mchemsho na bia yanamwagiga mkuu.
 
Attachments

  • 1715705715454.jpg
    1715705715454.jpg
    288.4 KB · Views: 3
hivi ni kweli pisi kali zinazoolewa siku hizi zimezaliwa na shepu nzuri na kali zilizochongoka namna ile, au hua kuna namna inafanyika?

maana kila send off au ndoa ninayobahatika kuhudhuria, nakuta muhusika karembwa mno, lakini pia muonekano wa ombu lake huwa katika umaridadi wa kiwango cha juu sana, ukilinganisha na tunavyokutana nae mtaani....

hamjaona au kukutana na hiyo ndrugo zango...
Thinktank wa CCM ukitupia madini adimu yenye dira ya taifa
 
Sasa wewe jichanganye ukimbilie kuoa, ndio utakuja kugundua kuwa kumbe zile nywele, kucha, kope, nyusi, ngozi, meno, kifua, makalio, tumbo unavyoviona kwenye sherehe za kuchumbiana na kuoana vyote ni bandia.
 
huenda hii kitu pia ikawa ni miongoni mwa vyanzo vya kuzorota na kusambaratika kwa mahusiano na ndoa nyingi za kisasa nini?🐒
 
Back
Top Bottom